The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Dom is a huge construction site,Ardhi inalia,sio mimi nimesema bali mashuhuda 👇Kaa utulie mbona unawenge.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dom is a huge construction site,Ardhi inalia,sio mimi nimesema bali mashuhuda 👇Kaa utulie mbona unawenge.
Una matatizo Sana mkuu,Dom gani ambayo Mwanza na Arusha wanaweza kuishinda?Dodoma ni pazuri, itaipiku arusha mda c mrefu, ila kwa mwanza bado sana, sio mjini tu ata mitaani mwanza ni pazuri sana kushinda miji yote Tz
Dar haihusiki
Naujanja wote huo kumbe unatumia cm za wauza vitumbua[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] neno slums nilimekukaa kichwan sana unajua hapo ni wapi?[emoji38][emoji38]Nje ya CBD ya Mwanza kuko.hivi [emoji116]
View attachment 2084213
View attachment 2084214
Kiongozi hizi project za kwenye makaratasi zikija kukamilika nitakupa offer ya kitimoto na beer.Dom is a huge construction site,Ardhi inalia,sio mimi nimesema bali mashuhuda 👇
View attachment 2084605
View attachment 2084606
View attachment 2084607
View attachment 2084608
Kiongozi hizi project za kwenye makaratasi zikija kukamilika nitakupa offer ya kitimoto na beer.
😄😄😝😝 Naona jamaa umeanza kukata tamaa, Infinix hii hii inafikisha ujumbeNaujanja wote huo kumbe unatumia cm za wauza vitumbua[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] neno slums nilimekukaa kichwan sana unajua hapo ni wapi?
Kiongozi siku hizi michoro ya kwenye makaratasi ikikaDom is a huge construction site,Ardhi inalia,sio mimi nimesema bali mashuhuda 👇
View attachment 2084605
View attachment 2084606
View attachment 2084607
View attachment 2084608
Una matatizo Sana mkuu,Dom gani ambayo Mwanza na Arusha wanaweza kuishinda?
Dom kama Dom 👇
View attachment 2084609
View attachment 2084610
View attachment 2084611
View attachment 2084612
View attachment 2084613
View attachment 2084614
View attachment 2084615
View attachment 2084616
View attachment 2084617
View attachment 2084618
View attachment 2084619
View attachment 2084620
View attachment 2084621
View attachment 2084622
View attachment 2084623
View attachment 2084625
View attachment 2084626
View attachment 2084627
View attachment 2084628
View attachment 2084629
View attachment 2084630
View attachment 2084632
View attachment 2084633
View attachment 2084634
View attachment 2084635
Una miaka mingap?Wewe ni mjinga ,hizo ni majengo mbalimbali za wizara na hiyo Nyerere square, hotel tayari inafanyiwa finishing,uwanja unajengwa,ring road zinajengwa nk.
Dom hakuna kitu kinaitwa project ya kwenye makaratasi,umeelewa Mzee.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] unajisikiaje kuona mtu masikini kutoka mkoa masikini anamiliki simu ya mamilioni halafu wewe unaekaa kwenye mji wa kitajiri unamiliki simu sawa na wauzaa karanga[emoji1][emoji1][emoji13][emoji13] Naona jamaa umeanza kukata tamaa, Infinix hii hii inafikisha ujumbe
Project za kwenye makaratasi [emoji116]
View attachment 2084671
View attachment 2084674
View attachment 2084675
Sita.Huna akili nakuletea render nanijenzi umekomaa michoro au una kansa ya ubongo maana ndio shida ya huko kanda ya Ziwa.Hizi
Kiongozi siku hizi michoro ya kwenye makaratasi ikika
Una miaka mingap?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimefurahi sana alivyo tuma hayo mascreenshot jinsi anavyojiweka matawi ya juu kumbe anatumia infinix nimechoka wacha nimfundishe namna ya kucrop afiche ujingaHizi
Kiongozi siku hizi michoro ya kwenye makaratasi ikika
Una miaka mingap?
Kiongoz nimekushusha hadhi usipende dharau masikini wenzako [emoji38][emoji38] na infinix ivi nauli ya kwenda mwanza unayo kweliSita.Huna akili nakuletea render nanijenzi umekomaa michoro au una kansa ya ubongo maana ndio shida ya huko kanda ya Ziwa.
Hii hapa na mahakama kuu,mahakama ya Rufani na kituo cha haki vyote vinajemgwa ,hiyo picha ya hapo ndio hatua ya ujenzi ukiendelea,hivi wewe Dodoma kwa mara ya mwisho ukifika mwaka gani?
View attachment 2084754
View attachment 2084755
View attachment 2084756
View attachment 2084757
Wewe maskini wa mali na akili ndio unahangaika na vitu vidogo vidogo kama simu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] unajisikiaje kuona mtu masikini kutoka mkoa masikini anamiliki simu ya mamilioni halafu wewe unaekaa kwenye mji wa kitajiri unamiliki simu sawa na wauzaa karanga
Jamaa msukuma hajawahi kua mtu wa kupenda sifa... unaleta picha za mabati na igogo bila kujua hayo maeneo yameanza kuchangamka kabla hata ya dodoma kuitwa mji[emoji38]
Miji mikubwa Africa,Asia and South America yote inaslums ukiona mji hauna slums fahamu ya kwamba sio mji mkubwa na ni mji wa juzijuzi
[emoji38][emoji38][emoji38] kiongoz unazidi kujishusha tu nahayo mascreenshot yako now unatumia wife means free yaaani mtelezo alianza ndugai umekuja weweWewe maskini wa mali na akili ndio unahangaika na vitu vidogo vidogo kama simu.
Dom ya juzi ishawajambia nyie wa Mwanza mshazeeka mnajifariji kwenye slums.
View attachment 2084762
View attachment 2084763
View attachment 2084764
View attachment 2084765
View attachment 2084766
View attachment 2084767
Watu maskini ndio huwa mnahangaika na vitu vidogo Ili kujitutumua na kujifariji 😁😁..Kiongoz nimekushusha hadhi usipende dharau masikini wenzako [emoji38][emoji38] na infinix ivi nauli ya kwenda mwanza unayo kweli
Ni kweli Siko vizuri mfukoni lakini haiondoi ukweli kwamba Mwanza ni kubaya na mushajambiwa na Dom yaani haya yote ni maumivu ya ushuzi 😆😄.Ko tulia upate dozi usitapetape.[emoji38][emoji38][emoji38] kiongoz unazidi kujishusha tu nahayo mascreenshot yako now unatumia wife means free yaaani mtelezo alianza ndugai umekuja wewe
Simu ni kitu kidogo kwa watu wanaojielewa wasiopenda sifa ila kwa wewe mpenda sifa ungekua vizuri mfukoni usingenunua infinix
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ona huuu ujinga kumbe na wewe unandugu fukala katoka njombe kaenda mwanza aiseee[emoji38][emoji38][emoji38] mbona kaskip mikoa mingi sana uliwahi kumuuliza tatizo ni au yeye hawezi kununua Kota pale mji wa serikali?Watu maskini ndio huwa mnahangaika na vitu vidogo Ili kujitutumua na kujifariji [emoji16][emoji16]..
Mwanza ni nyumbani kwa ndugu yangu wa damu nakuka huko mara nyingi tuu ila sipapendi siwezi ishi kwa washamba na wasio na ustaarabu,afu full of slums and poor people.
Karibu Sana Njombe ndio home.
💉💉 Ulishawahi kuona Njombe kuna mafukara kama huko Mwanza.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ona huuu ujinga kumbe na wewe unandugu fukala katoka njombe kaenda mwanza aiseee[emoji38][emoji38][emoji38] mbona kaskip mikoa mingi sana uliwahi kumuuliza tatizo ni au yeye hawezi kununua Kota pale mji wa serikali?
Kila sehemu ni kubaya kwa namna yake tatizo lako wewe ni kauli unakua nakauli za kishujaa sana kumbe ziro tu... wivu ndio unawasumbua watu wa mikoani afu Msukuma sio mtu wa kujimwambafai kihivyoNi kweli Siko vizuri mfukoni lakini haiondoi ukweli kwamba Mwanza ni kubaya na mushajambiwa na Dom yaani haya yote ni maumivu ya ushuzi [emoji38][emoji1].Ko tulia upate dozi usitapetape.
Ujenzi wa.hoteli ya Kitalii ya Golden Tulip Dom[emoji116]
View attachment 2084789
CCM inaharibu vijana akili.. unaniuliza mimi kama nishaona mafukara njombe? Kwani wewe ni nani[emoji38][emoji38][emoji38] na sababu ninazo moja ni hauna hela ya Mb mbili unatumia simu za wachunga ng'ombe huku mwanza tatu ngudu yako naye ni fukara coz kapangiwa kwa mafukara na kakubali[emoji382][emoji382] Ulishawahi kuona Njombe kuna mafukara kama huko Mwanza.
Yeye ni mtumishi mimi ni mfanyabiashara.Sasa kama kapangiwa kwa mafukara ulitaka akatae?
Tulia sindano ikuingie,siku kijiji cha wavuvi kikifika hapa mnitag [emoji116]
View attachment 2084790
View attachment 2084791
View attachment 2084792
View attachment 2084793
View attachment 2084794
View attachment 2084795