Kitombile
JF-Expert Member
- Mar 21, 2021
- 6,976
- 7,726
Ata Morogoro kuna chuo kikubwa sana cha SUA pamoja na Mzumbe.Nimekwambia udom pekee morogoro bado haifikii..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ata Morogoro kuna chuo kikubwa sana cha SUA pamoja na Mzumbe.Nimekwambia udom pekee morogoro bado haifikii..
Moro hii hii ambayo kimiundombinu na majengo inapitwa na Udom.. moro vs manyoni itafaa
Moro nyingine dogo mahoteli ya morogoro yaliyo enda angani hawezi fananisha na vibanda umiza vya hapo dodomaMoro hii hii ambayo kimiundombinu na majengo inapitwa na Udom.. moro vs manyoni itafaa sana
Ebu tuma picha tuoneMoro nyingine dogo mahoteli ya morogoro yaliyo enda angani hawezi fananisha na vibanda umiza vya hapo dodoma
Udom naifananisha na kota za waarabu hapa moro
Ni central bussiness district . au eneo la kati kati ya mji...kwa lugha nyingine wanaita city centre, downtown au Town center.Naomba kujua kirefu cha CBD
Azitoe wapiEbu tuma picha tuone
Hii picha imekaa patamuView attachment 2270642
Part of mwanza CBD
[emoji16][emoji23]alichokutana nacho haaminiMaskiniiiii mleta uzi,Wasukuma wamemchukulia demu,sasa yeye kaja kushushia hasira JF
Sijawahi ona eneo la chuo lenye mazingira mazuri kama chuo cha benki kuuView attachment 2270906
Capripoint Mza
Its classicSijawahi ona eneo la chuo lenye mazingira mazuri kama chuo cha benki kuu
Mwanza kuzuri sana aseee.View attachment 2268296
Bwiru
Ukikuta nyumba kama hizi Dom ujue zimejengwa na serikali ila hapa mza hizi ni za watu binafsi
Hawana ,,,,,,.....Cha kusema ,,,waache wakae hvyoWatu wa Dodoma mko wapi mbona kama mmepotezwa hivi