Mikdde
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 6,200
- 5,879
Tuondolee matangazo ya viwanja hapaMwanza jitahidini kufika hapa kwanza ndio mje kuongea [emoji116]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuondolee matangazo ya viwanja hapaMwanza jitahidini kufika hapa kwanza ndio mje kuongea [emoji116]
Hoja zako ni unrealistic kabisaKingine kinachoibeba Dodoma dhidi ya Mwanza ni ile landscape yake ya tambarare, ni rahisi kuanzisha uyoga Dom kuliko Mwanza thus uyoga za Mwanza ziko concentrated sehemu moja ,njoo Dom kuna pale posta/ ttcl makao makuu kuna bonge jengo, sogea kama unaenda UDOM mkono wako wa kulia karibu ba hazina STILL Bado kuipiku Mwanza
Jangwa hatari...dodoma ilipaswa iwe somalia.Hii ndio Dodoma halisi sasaView attachment 2269504View attachment 2269505
Huyo jamaa umalaya wake ulimpeleka mwanza akapewa mimba mwanza na kutelekezwa..ndio mana amejawa chuki na hasira kuhusu mwanza.Anzisha uzi wako leo kati ya Mwanza na Namtumbo atakuja kuipambania namtumbo kama anaijua nakusema ni bora kuliko Mwanza huwa haiwishi vituko, kila akiona mwanza lazima aje aipondee[emoji1787][emoji1787]
Dodoma tofauti na medeli ,na mji wa serikali wapi pengine utapata majengo ...na unafortunately majengo mengi yamejengwa na taasisi za serikali ....hapo medeli ni ofisi za NHIF,mkaguzi mkuu,hazina,EWURA,BOT,ccm, station, takwimu house na psssf .Kingine kinachoibeba Dodoma dhidi ya Mwanza ni ile landscape yake ya tambarare, ni rahisi kuanzisha uyoga Dom kuliko Mwanza thus uyoga za Mwanza ziko concentrated sehemu moja ,njoo Dom kuna pale posta/ ttcl makao makuu kuna bonge jengo, sogea kama unaenda UDOM mkono wako wa kulia karibu ba hazina STILL Bado kuipiku Mwanza
Punguza kusema ukweli[emoji23]Labda uwe mgogo na uendeshwe na mihemko, ila kama umetembea mikoa Kati ya Mwanza na Dodoma hakuna mwenye Akili timamu atasema Dodoma iko vizuri kuliko Mwanza
Dodoma bila chuo kikuu cha Udom na serikali kuhamishiwa huko na kupewa jiji la Mchongo sijui ingekuaje, Dodoma sio mkoa wa kibiashara kama ilivo mikoa mingine
Dodoma kila kizuri kinakuja Kwa nguvu ya serikali ili kupatafutia hadhi maana wazawa wengi wao choka mbaya, tofauti na Mwanza jamaa wa kule wanafanya biashara na wana pesa aisee
kuna mwaka me nilikuwa mwanza nikashuudia watu wanachangishana kujenga barabara za lami na mawe kuelekewa kwenye makazi Yao, na wanajenga fresh tu bila kasheshe
Mwanza upatikanaji wa pesa ni rahisi ata Kwa ambao sio wazawa ni kama vile ilivo Dar, sasa nenda Dodoma uone, tena na hii miezi ya kipupwe utapauka mpaka kope na hutopata michongo ya pesa mpaka unasepa
Note: comment imetolewa na mtu wa Morogoro
Nothing else kaka na ndio maana nasema Dom kwa Mwanza bado sanaDodoma tofauti na medeli ,na mji wa serikali wapi pengine utapata majengo ...na unafortunately majengo mengi yamejengwa na taasisi za serikali ....hapo medeli ni ofisi za NHIF,mkaguzi mkuu,hazina,EWURA,BOT,ccm, station, takwimu house na psssf .
Ukija sehem nyingine ni chuo cha UDOM ,chuo cha mipango na majengo ya wizara mji wa serikali ... tayari unakuwa ushamaliza majengo ya Dodoma yaliyo nje ya CBD
We ndo unakaza kichwa kaka nime appreciate kuwa Dom nature ya eneo lake inaibeba kwa kuanzisha maghorofa mwishon nasema pamoja na hayo yote Mwanza bado iko juuHoja zako ni unrealistic kabisa
Mwanza ina majengo mengi yaliyo nje ya CBD ,na hatusemi unavyosema yamerundikana sehem moja kama hatukuelewi yaani ....
Okay ..hapo sawaWe ndo unakaza kichwa kaka nime appreciate kuwa Dom nature ya eneo lake inaibeba kwa kuanzisha maghorofa mwishon nasema pamoja na hayo yote Mwanza bado iko juu
UmepanickTuondolee matangazo ya viwanja hapa
Siwezi panik...Umepanick
Acha chuki binafsi.Umepanick
Sasa haka ka jengo ka kuleSiwezi panik...View attachment 2274370
Yaani hapo fishing village kuna tujengo twa kutafutiza kama haka ka huko Isamilo..Siwezi panik...View attachment 2274370
Nitolee takataka yako hapaSasa haka ka jengo ka kule
Yaani hapo fishing village kuna tujengo twa kutafutiza kama haka ka huko Isamilo..
Toa uchafu hapa [emoji116]
Mwanza kutamu sana aseee..Nitolee takataka yako hapaView attachment 2275731View attachment 2275732