Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

🀣🀣🀣🀣🀣 Mwanza ila slums nyingi Sana..baadhi ni hizi hapa

Igogo,
Mabatini,
Kirumba,
Butimba,

Nilijua utalii wa slums hufanyika Kibera Nairobi kumbe hadi Mwanza 😜😜😜 Nimecheka hadi kichwa kimeuma πŸ‘‡
Wagogo ni watani wetu usitake kuwasemelea kuku wewe. Ulianza na Arusha vs mwanza, sasa hivi dodoma vs mwanza kama si kibaka basi ni chizi. Ndiyo maana nasema wewe una gene za kike unakuwa malaya malaya.
 
Huyu mtu anapitia migongo ya watani zetu kuongelea upumbavu wake. Nilisema tangu yupo kwenye nyuzi zingine kuwa huyu ni mpumbavu mmoja mpuuzi hivi. Anafikiri akikesha kusema ujinga wake atabadili uhalisia
Hana hoja sa hv .kabaki kuropoka tu ...humu atanyooka tu
 
1663441229597.jpeg
 
Nyie nyumbu wa Dodoma hapo ni kisesa mwanza km 20 kutoka mwanza mjini naomben mniletee sehemu Dodoma kutoka km 20 kutoka city centre iliyojengeka hvy
 

Attachments

  • Screenshot_20220918-115850.jpg
    Screenshot_20220918-115850.jpg
    136.8 KB · Views: 20
Nyie nyumbu wa Dodoma hapo ni kisesa mwanza km 20 kutoka mwanza mjini naomben mniletee sehemu Dodoma kutoka km 20 kutoka city centre iliyojengeka hvy
Hiyo Miyuji ni km ngap kutoka down town hazizidi 10km lakini tayari unakutana na vichaka , jangwa na Nyumba za tembe
 
Hiyo Miyuji ni km ngap kutoka down town hazizidi 10km lakini tayari unakutana na vichaka , jangwa na Nyumba za tembe
Ukiona Mji wako hauko kwenye List basi wewe jua kwamba unaishi kwenye Kijiji cha ujamaa kilichochangamka..

Kila kwenye utamu wa Maendeleo huikosi Dom πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220918-160639.png
    Screenshot_20220918-160639.png
    91.8 KB · Views: 15
Dodoma jiji la matajiri .jiji la estate lisilo na slums. Dubai [emoji12][emoji16][emoji16][emoji14][emoji14][emoji14][emoji817][emoji28][emoji28][emoji116][emoji116]
Miji mingine Ni aibu hata kuwaleta wageni wa heshima Toka ughaibuni .ndo maana Samia anaishia dar muda mwingi..it's a shame to have such a dirty and disorganized capital cityView attachment 2360037View attachment 2360038View attachment 2360039View attachment 2360040View attachment 2360041View attachment 2360042View attachment 2360043View attachment 2360044
Sijaona slums hapo tofauti na hiyo picha ya mwisho ya vijumba vya udongo..

By Far Dom is well developed than Mwanza..
 
Vile watu wa Mwanza wanatoa macho wakiona Maendeleo ya Dom πŸ‘‡
 

Attachments

  • 20220918_075920.jpg
    20220918_075920.jpg
    35.6 KB · Views: 13
Saa hii mkiona hivi lazima mvimbe macho πŸ˜‚πŸ˜ƒ.

Go Dom go πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220918-140758.png
    Screenshot_20220918-140758.png
    147.5 KB · Views: 15
  • Screenshot_20220918-140615.png
    Screenshot_20220918-140615.png
    169.7 KB · Views: 15
Unakumbuka wasukuma wanavyokufanya, unaota mchana kweli umenogewa
Dodoma inaendelea kuwanyea mdomoni watu wa Mwanza πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220831-152612_1.jpg
    Screenshot_20220831-152612_1.jpg
    29.6 KB · Views: 19
  • A35A4DC2-FBC7-4C02-AA36-A984DE670545.png
    A35A4DC2-FBC7-4C02-AA36-A984DE670545.png
    117.3 KB · Views: 17
  • Screenshot_20220920-214738.png
    Screenshot_20220920-214738.png
    246.1 KB · Views: 13
  • Screenshot_20220920-214825.png
    Screenshot_20220920-214825.png
    242.1 KB · Views: 16
  • Screenshot_20220920-214842.png
    Screenshot_20220920-214842.png
    256.1 KB · Views: 15
  • Screenshot_20220920-214804.png
    Screenshot_20220920-214804.png
    265.4 KB · Views: 14
  • Screenshot_20220920-214842.png
    Screenshot_20220920-214842.png
    256.1 KB · Views: 15
  • Screenshot_20220920-214825.png
    Screenshot_20220920-214825.png
    242.1 KB · Views: 13
  • Screenshot_20220920-214851.png
    Screenshot_20220920-214851.png
    271.8 KB · Views: 11
Back
Top Bottom