Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Wewe endelea kuishi mbozi na sumbawanga. Majiji hayawezi.
Usifananishe Sumbawanga na uswazi wa Mwanza,nilishakwambia siwesi Kaa uswazi, kwenye Mawe na mapango ya Mwanza kama tumbili..

Huwezi Kuta miradi ya nyumba kali kama hizi huko Mwanza Kwa washamba..

Sumbawanga 👇
 

Attachments

  • Makubwa_yamefanyika_Jangwani_Sumbawanga(720p).mp4
    18.2 MB
Hili jitu linaishi Sumbawanga huko. Hata hiyo Dom haliijui
Usilinganishe Sumbawanga na takataka inayoitwa Mwanza haina hata barabara.

Ukipata barabara kali kama hizi Mwanza nitag nitoke humu jf 👇
 

Attachments

  • #TANROADS_RUKWA_YAWAPAGAWISHA_WANARUKWA_SASA_TAA_KWANZIA_STENDI_KUU_YA_KATUMBA_MPAKA_KANONDO(3...mp4
    17.3 MB
Wewe mtu wa porini huko Sumbawanga utajua nini mambo ya mjini. Endelea kula nguruwe pori. Mambo ya majiji tuachie wenyewe
Sumbawanga ni Manispaa tamu inayoheshimiwa na Serikali na Kwa wastaarabu..

Sumbawanga ina dual carriage way 2,Mwanza hakuna 😆😆..

Toa ushamba wako wa kuishi uswazi Kwa hii video ya Sumbawanga 👇
 

Attachments

  • 🟢Muonekano_wa_juu_SUMBAWAANGA_Tanzania_,ona_maajabu_ya_Mji_huu_wa_pekee(360p).mp4
    23 MB
Nyie ndio mmesanuka sahv? Ilifaa mpime mji wote ndio muanze kujenga Mwanza ingekua ya kibabe sana...Dodoma pazuri sababu kuna plans
Dodoma ipi unayoisemea Maeneo Mengi pia hajajengwa planned,My Friend this is Africa
 
Leta takwimu,Mwanza inapiga nje ndani😂😂😂Mwanza imekatwa kutoa geita na Simuyu mwaka 2013 ila bado kipigo kiko pale pale na Dar washukuru Mwanza kukatwa la sivyo na yenyewe ingekaa.Ukweli ni kwamba Dodoma bado sana itakiwa ikajipime kwa Arusha na Mbeya then ndo ije kwa Mwanza na Dar.
Kwa kuongezea mwanza ipo kwenye top 3 kwenye idadi ya shule nyingi za sekondari na shule za msingi na kufikia mwaka 2027 mwanza ndo utakuwa mkoa wenye shule nyingi za msingi na sekondari
 
ww mpumbavu sana iwe twice wakat mkoa kila kukicha unakatwa walianza kuikata Geita baadae baadae nusu ya wilaya ya magu ikakatwa tangu lini Dodoma umekataa?
Iyo stat uliotuma mwanza ina nyumba 800K dodoma 700K huoni sio sawa?ilifaa mwanza iwe twice ama thrice dodoma
 
Sa mbona arusha na moshi ni far better than mwanza?na hakuna bahari wala ziwa
Tena hiyo miji miwili ni michosho na hovyo kabisa, Moshi hakuna mji pale. Eti Arusha na Moshi ni far better kwa Mwanza ! Una akili kweli wewe au una akili za kuvutia mmea wa Arusha. Narudia tena siwezi kuishi mji wowote katika nchi hii kama hakuna bahari au ziwa.
 
Hadi 2025 mwanza ishapotea kwenye map ..watasumbua population tu
Yani mwanza inaizidi Arusha population sio maendeleo
Arusha kuna maendeleo gani zaidi ya vijana wavuta bangi kuoa vikongwe wa kizungu. Pole sana.
 
Nyie ndio mmesanuka sahv? Ilifaa mpime mji wote ndio muanze kujenga Mwanza ingekua ya kibabe sana...Dodoma pazuri sababu kuna plans
Dodoma ina uzuri gani ? Labda kwa mshamba kama wewe unaona Dodoma ni mji. Mji gani mitunduru mpaka mjini na vumbi lisiloisha. Wewe vipi ?
 
Dodoma itakufanya upate ugonjwa wa kuhara wewe kima wa uswazi wa buswelu.Ujenzi huu haupo kwenye sensa.

Video zinaongea[emoji116]
Tatizo ukishatoka kuharisha huwa unatoa utumbo tu kwenye jukwaa hili. Kumbe nimegundua hata Mwanza huijui. Eti Buswelu ni uswazi! Nani kakudanganya ? Nimeshakuambia mambo ya Majiji tuachie wenyewe, wewe endelea kula nguruwe pori huko Sumbawanga.
 
Mnagongwa kote kote,kule NHC huku private housing kali sio mabanda kama ya Mwanza..

Saizi nitakuwa nadondosha video za Dom tuu,kama huna bando nenda fb[emoji116]
Wewe kweli ni mburula tu kama kwa karne hii ya 21 bado unashobokea nyumba za national housing basi wewe bwege kabisa. Kwa taarifa yako huku kwetu kwenye samaki watamu hakuna anayeshobokea hizo nyumba maana watu wanashusha mijengo yao ya uhakika na hawana haja na hizo nyumba NHC.
 
Usifananishe Sumbawanga na uswazi wa Mwanza,nilishakwambia siwesi Kaa uswazi, kwenye Mawe na mapango ya Mwanza kama tumbili..

Huwezi Kuta miradi ya nyumba kali kama hizi huko Mwanza Kwa washamba..

Sumbawanga [emoji116]
Huna hata haya. Eti Sumbawanga hata saa moja siwezi kutumia kwenye hicho kijiji
 
Usilinganishe Sumbawanga na takataka inayoitwa Mwanza haina hata barabara.

Ukipata barabara kali kama hizi Mwanza nitag nitoke humu jf [emoji116]
Ushamba mzigo mtu uishi Sumbawanga halafu uje stori na za kimjini. Kweli bangi mbaya sana
 
Wewe kweli ni mburula tu kama kwa karne hii ya 21 bado unashobokea nyumba za national housing basi wewe bwege kabisa. Kwa taarifa yako huku kwetu kwenye samaki watamu hakuna anayeshobokea hizo nyumba maana watu wanashusha mijengo yao ya uhakika na hawana haja na hizo nyumba NHC.
Wivu tuu kwa sababu hakuna 😆😆..

Kwa hiyo tushibokee kwenye hizi dreams house zenu si ndio? 😁😁.

Mwanza ni takataka 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20221105-173826.png
    Screenshot_20221105-173826.png
    312.9 KB · Views: 11
Back
Top Bottom