The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Ezcuses za maskini hiziKwa kweli Dodoma ni pagumu sana labda uwe mtumishi wa Serikali angalau
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ezcuses za maskini hiziKwa kweli Dodoma ni pagumu sana labda uwe mtumishi wa Serikali angalau
Usifananishe Sumbawanga na uswazi wa Mwanza,nilishakwambia siwesi Kaa uswazi, kwenye Mawe na mapango ya Mwanza kama tumbili..Wewe endelea kuishi mbozi na sumbawanga. Majiji hayawezi.
Usilinganishe Sumbawanga na takataka inayoitwa Mwanza haina hata barabara.Hili jitu linaishi Sumbawanga huko. Hata hiyo Dom haliijui
Sumbawanga ni Manispaa tamu inayoheshimiwa na Serikali na Kwa wastaarabu..Wewe mtu wa porini huko Sumbawanga utajua nini mambo ya mjini. Endelea kula nguruwe pori. Mambo ya majiji tuachie wenyewe
Dodoma ipi unayoisemea Maeneo Mengi pia hajajengwa planned,My Friend this is AfricaNyie ndio mmesanuka sahv? Ilifaa mpime mji wote ndio muanze kujenga Mwanza ingekua ya kibabe sana...Dodoma pazuri sababu kuna plans
Dodoma tunayoisemea ni kama hii hapa,very classy👇Dodoma ipi unayoisemea Maeneo Mengi pia hajajengwa planned,My Friend this is Africa
Kwa kuongezea mwanza ipo kwenye top 3 kwenye idadi ya shule nyingi za sekondari na shule za msingi na kufikia mwaka 2027 mwanza ndo utakuwa mkoa wenye shule nyingi za msingi na sekondariLeta takwimu,Mwanza inapiga nje ndani😂😂😂Mwanza imekatwa kutoa geita na Simuyu mwaka 2013 ila bado kipigo kiko pale pale na Dar washukuru Mwanza kukatwa la sivyo na yenyewe ingekaa.Ukweli ni kwamba Dodoma bado sana itakiwa ikajipime kwa Arusha na Mbeya then ndo ije kwa Mwanza na Dar.
Iyo stat uliotuma mwanza ina nyumba 800K dodoma 700K huoni sio sawa?ilifaa mwanza iwe twice ama thrice dodoma
Tena hiyo miji miwili ni michosho na hovyo kabisa, Moshi hakuna mji pale. Eti Arusha na Moshi ni far better kwa Mwanza ! Una akili kweli wewe au una akili za kuvutia mmea wa Arusha. Narudia tena siwezi kuishi mji wowote katika nchi hii kama hakuna bahari au ziwa.Sa mbona arusha na moshi ni far better than mwanza?na hakuna bahari wala ziwa
Arusha kuna maendeleo gani zaidi ya vijana wavuta bangi kuoa vikongwe wa kizungu. Pole sana.Hadi 2025 mwanza ishapotea kwenye map ..watasumbua population tu
Yani mwanza inaizidi Arusha population sio maendeleo
Dodoma ina uzuri gani ? Labda kwa mshamba kama wewe unaona Dodoma ni mji. Mji gani mitunduru mpaka mjini na vumbi lisiloisha. Wewe vipi ?Nyie ndio mmesanuka sahv? Ilifaa mpime mji wote ndio muanze kujenga Mwanza ingekua ya kibabe sana...Dodoma pazuri sababu kuna plans
Tatizo ukishatoka kuharisha huwa unatoa utumbo tu kwenye jukwaa hili. Kumbe nimegundua hata Mwanza huijui. Eti Buswelu ni uswazi! Nani kakudanganya ? Nimeshakuambia mambo ya Majiji tuachie wenyewe, wewe endelea kula nguruwe pori huko Sumbawanga.Dodoma itakufanya upate ugonjwa wa kuhara wewe kima wa uswazi wa buswelu.Ujenzi huu haupo kwenye sensa.
Video zinaongea[emoji116]
Mpaka utakufa kwa wivu wa Mwanza na bado utaiacha Mwanza ni namba mbili kwa Dar nyau wewe.East Africa tunawakilishwa vyema na Dar,Arusha na Dom..
Mwanza ni rubbish
Wewe kweli ni mburula tu kama kwa karne hii ya 21 bado unashobokea nyumba za national housing basi wewe bwege kabisa. Kwa taarifa yako huku kwetu kwenye samaki watamu hakuna anayeshobokea hizo nyumba maana watu wanashusha mijengo yao ya uhakika na hawana haja na hizo nyumba NHC.Mnagongwa kote kote,kule NHC huku private housing kali sio mabanda kama ya Mwanza..
Saizi nitakuwa nadondosha video za Dom tuu,kama huna bando nenda fb[emoji116]
Huna hata haya. Eti Sumbawanga hata saa moja siwezi kutumia kwenye hicho kijijiUsifananishe Sumbawanga na uswazi wa Mwanza,nilishakwambia siwesi Kaa uswazi, kwenye Mawe na mapango ya Mwanza kama tumbili..
Huwezi Kuta miradi ya nyumba kali kama hizi huko Mwanza Kwa washamba..
Sumbawanga [emoji116]
Ushamba mzigo mtu uishi Sumbawanga halafu uje stori na za kimjini. Kweli bangi mbaya sanaUsilinganishe Sumbawanga na takataka inayoitwa Mwanza haina hata barabara.
Ukipata barabara kali kama hizi Mwanza nitag nitoke humu jf [emoji116]
Una mdororo wa ubongo wewe sio bure,Tanzania nzima inajua Washamba ni Wasukuma 😆😆Ushamba mzigo mtu uishi Sumbawanga halafu uje stori na za kimjini. Kweli bangi mbaya sana
Kimewaaibisha utakosa la kuongea 😁😁Huna hata haya. Eti Sumbawanga hata saa moja siwezi kutumia kwenye hicho kijiji
Wivu tuu kwa sababu hakuna 😆😆..Wewe kweli ni mburula tu kama kwa karne hii ya 21 bado unashobokea nyumba za national housing basi wewe bwege kabisa. Kwa taarifa yako huku kwetu kwenye samaki watamu hakuna anayeshobokea hizo nyumba maana watu wanashusha mijengo yao ya uhakika na hawana haja na hizo nyumba NHC.
Unaweza kuonea wivu mnakokula albino na kuoza kwa Kanda huko kweli? Unless unless una mtindio wa ubongo sababu ya Kansa.Mpaka utakufa kwa wivu wa Mwanza na bado utaiacha Mwanza ni namba mbili kwa Dar nyau wewe.