The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,436
- 10,944
Je ni kweli dodoma CBD inaizidi mwanza CBD..
Jibu ni hili
Dodoma hamuiwezi,tumewachoka Kila siku vijengo hivyo hivyo 😁😁😁😁.
Mall kubwa kama Mlimani City kujengwa Dom ,video👇
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je ni kweli dodoma CBD inaizidi mwanza CBD..
Jibu ni hili
Huna akili wewe, makao makuu ya nchi mbona serikali na taasisi zote zilikuwa Dar?
Wakati unaendelea kusubiri NHC wajenge mall ya mchongo hapo mtumba ..Dodoma hamuiwezi,tumewachoka Kila siku vijengo hivyo hivyo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].
Mall kubwa kama Mlimani City kujengwa Dom ,video[emoji116]
Hizi ni ndoto!Wakati unaendelea kusubiri NHC wajenge mall ya mchongo hapo mtumba ..
private investor Yuko site . location nyakato national.
Proposed for mega shopping mall and bussines complex [emoji91][emoji91][emoji91]
[emoji116][emoji116]View attachment 2485131View attachment 2485132
Hii kutu naona mambo yameiva nyumba zinabomolewa kama zote.Wakati unaendelea kusubiri NHC wajenge mall ya mchongo hapo mtumba ..
private investor Yuko site . location nyakato national.
Proposed for mega shopping mall and bussines complex [emoji91][emoji91][emoji91]
[emoji116][emoji116]View attachment 2485131View attachment 2485132
Acha hadithi na ndoto ambazo hazitaweza tokea huko Mwanza..Wakati unaendelea kusubiri NHC wajenge mall ya mchongo hapo mtumba ..
private investor Yuko site . location nyakato national.
Proposed for mega shopping mall and bussines complex [emoji91][emoji91][emoji91]
[emoji116][emoji116]View attachment 2485131View attachment 2485132
Ndoto wakati mambo ni live na tulisubiri miaka kama 7 hivi hii project.Hizi ni ndoto!
Ndoto hiziNdoto wakati mambo ni live na tulisubiri miaka kama 7 hivi hii project.
Endelea kuja na maumivu tena ni floor 19Acha hadithi na ndoto ambazo hazitaweza tokea huko Mwanza..
NHC is real inaenda kujenga wewe endelea kujifariji.
Mwanza mkipata Hilo jengo hatutalala humu.
Unataka nilete evidence gani muhamnNdoto hizi
Ziko wapi ,onyesha zinavyobomolewa 😂😂Hii kutu naona mambo yameiva nyumba zinabomolewa kama zote.
Ya nyumba kama zote zikibomolewa 😁😁Unataka nilete evidence gani muhamn
Nikileta tunafunga uzi?Ziko wapi ,onyesha zinavyobomolewa 😂😂
Onyesha hata site establishment vinginevyo unaendelea kuotaEndelea kuja na maumivu tena ni floor 19
Ata mimi nilikuwa siamn kama itaanzaYa nyumba kama zote zikibomolewa 😁😁
Huna ndio maana unaongea maneno meengi yasiyo na msingiNikileta tunafunga uzi?
Endelea kuota bahati nzuri ni usikuAta mimi nilikuwa siamn kama itaanza
Poa hakuna nouma lkn jmos nitashuka hapo site, kwa leo baki kutokuamnEndelea kuota bahati nzuri ni usiku
Mkinichagua Kigoma itakuwa kama Dubai!Unataka nilete evidence gani muhamn
Nyie endeleeni kubisha Mwanza inakuwa na Mall kubwa ya pili, hapa Tanzania.Mkinichagua Kigoma itakuwa kama Dubai!