ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Picha za zamani ndio unajifariji nazo si ndio? 😁😁ChoiceVariable
CBD ya dodoma [emoji1787][emoji1787][emoji15][emoji15][emoji15]View attachment 2670981
Ata ukileta pic za sasa bado Pako ivo ivo pamepauka hatari.Picha za zamani ndio unajifariji nazo si ndio? 😁😁
Mwambie mikdle akuoneshe zipo humu kibao tuu.Ata ukileta pic za sasa bado Pako ivo ivo pamepauka hatari.
Sijaona pic ya maana naona zote n za kuunga UNGA na tugorofa uchwala labda Barbara zinazo pita maporini ndo mmejitaidiMwambie mikdle akuoneshe zipo humu kibao tuu.
Pole zako,Dodoma sio level za Mwanza tenaSijaona pic ya maana naona zote n za kuunga UNGA na tugorofa uchwala labda Barbara zinazo pita maporini ndo mmejitaidi
Hiyo picha ya mwaka 2023 unasema ya zamani [emoji16][emoji16][emoji15][emoji15]....Hilo jengo la dodoma city hotel hulioni..dodoma ni jangwa [emoji1787][emoji16][emoji16]Picha za zamani ndio unajifariji nazo si ndio? [emoji16][emoji16]
Mwanza sio Jiji ni Big SlumHiyo picha ya mwaka 2023 unasema ya zamani [emoji16][emoji16][emoji15][emoji15]....Hilo jengo la dodoma city hotel hulioni..dodoma ni jangwa [emoji1787][emoji16][emoji16]
Kama kawaida hutoki pale Pale [emoji16][emoji1787][emoji1787]..mji wa serikali na medeli ... Kwingine ni vumbi na jangwa [emoji1787][emoji1787]Mwanza sio Jiji ni Big Slum
Unajifanya hujaona hii video si ndio?Kama kawaida hutoki pale Pale [emoji16][emoji1787][emoji1787]..mji wa serikali na medeli ... Kwingine ni vumbi na jangwa [emoji1787][emoji1787]
Learn mwanza [emoji91][emoji91][emoji91][emoji116][emoji116]View attachment 2671852
Kuna nini kipya hapo .....si Bora chuga Ina sound modern kuliko Hilo jangwa la Kalahari [emoji1787][emoji16]Unajifanya hujaona hii video si ndio?
WivuKuna nini kipya hapo .....si Bora chuga Ina sound modern kuliko Hilo jangwa la Kalahari [emoji1787][emoji16]
Mwanza sio Jiji ni Big Slum
Hilo ni Jiji au Uswazi?Jiji halisi lipo ivi sio kama ilo jangwa
View attachment 2672637
Iko wapi acha kujikosha hapa,Mwanza imejaa slums tupuUsiwe mgeni na thread....kama mitaa tumepost mingi sana ...na Iko miles kutoka CBD ..
Linapokuja suala la Mipango Miji na Barabara,Mwanza fishing Village wakae mbali kabisa na Dom..Yes exactly ndiomana huwezi kuona wameposti picha zaidi ya ya maeneo ya rock city mall basi😀😀ukitoa CBD the rest ni full uswazi,vichochoro vya barabara na mipango miji isiyoeleweka. Kwa Dodoma mitaa ambayo unaweza kuiita uswazi ni Chadulu,Mkalama na Chang'ombe kwa mbali lakini mitaa mingine yote imepangiliwa mipango miji+miundombinu full lami .Dodoma ndio Jiji pekee ambalo ikitokea ajali ya moto basi Zimamoto kufika na kuzima moto ni dakika chache tu kutokana na mpangilio bora wa makazi ya watu + kufikika kwa barabara za lami(CBD yote ipo full covered na barabara za kiwango cha lami)
endelea kujifariji tu 😀😀eti barabara zinazopita maporini😆😆,kama ni maporini nenda kajaribu kuanza ujenzi uone cha mtema kuni.Kwa taarifa yako Dodoma ndio Jiji pekee East and Central Africa lililopimwa na kupangiliwa mipango miji kwa zaidi ya asilimia 90. Dodoma ndio Jiji pekee ambalo ukikosea kufanya ujenzi basi ndani ya sikumbili tu wanakuja watu wa Jiji (zamani CDA) kusimamisha ujenziSijaona pic ya maana naona zote n za kuunga UNGA na tugorofa uchwala labda Barbara zinazo pita maporini ndo mmejitaidi
Wivu tuu huyo achana naeendelea kujifariji tu 😀😀eti barabara zinazopita maporini😆😆,kama ni maporini nenda kajaribu kuanza ujenzi uone cha mtema kuni.Kwa taarifa yako Dodoma ndio Jiji pekee East and Central Africa lililopimwa na kupangiliwa mipango miji kwa zaidi ya asilimia 90. Dodoma ndio Jiji pekee ambalo ukikosea kufanya ujenzi basi ndani ya sikumbili tu wanakuja watu wa Jiji (zamani CDA) kusimamisha ujenzi