Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Mwanza is big Slum fishing Village watabisha 😆😆

Dom inaenda kuwafanya vibaya sana
 
Kikuyu Msikitini Dom At Night
20230804_221823.jpg


Sent from my SM-N981U1 using JamiiForums mobile app
 
Haha watu wa Dodoma niliwambia lakini Yani Leo hii mwaifananisha eti dodoma na Mwanza,Arusha kweli dodoma hii Hata kwa mkoa wa K'njaro Bado ona sasa NHC wanavolalamika
jamiiforums-20230806-0001.jpg
 
Shoppers Plaza Dom ni mkusanyiko wa maduka makubwa ya kisasa na yako mengi sana ....watu wengi ambao hawajafika pale hufikiri labda kuna supermarket moja tu ya Shoppers
Kama ni hvyo bas mwanza Kuna mall nyingi
1 rock city mall
2 central market
3.nyanza plaza
4.buzuruga plaza
5.nyerere road plaza
6.lumumba plaza
 
Kama ni hvyo bas mwanza Kuna mall nyingi
1 rock city mall
2 central market
3.nyanza plaza
4.buzuruga plaza
5.nyerere road plaza
6.lumumba plaza
Only rock city mall inaqualify apo...huko kwingine ni mkusanyiko wa maduka kama ilivyo apa manzese tiptop kwenye mkusanyiko wa maduka makubwa ya jumla yasiyo na idadi😀😀
 
Shoppers nayo ni mall?! Kweli wagogo hamna exposure
Rudi shule wewe memkwa....👇👇

plaza
/ˈplɑːzə/
nounNORTH AMERICAN
1.
a public square, marketplace, or similar open space in a built-up area.
"the plaza is lively in the evenings when the pavement cafes are full"
2.
a shopping centre.
 
Rudi shule wewe memkwa....[emoji116][emoji116]

plaza
/ˈplɑːzə/
nounNORTH AMERICAN
1.
a public square, marketplace, or similar open space in a built-up area.
"the plaza is lively in the evenings when the pavement cafes are full"
2.
a shopping centre.
Nijibu swali Yani shoppers nayo kwenu ni mojawapo ya mall?
 
Back
Top Bottom