Mikdde
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 6,200
- 5,879
Dodoma Haina kijani 😆😆
View: https://www.instagram.com/p/C4pcjE3KEqk/?igsh=MTZzOGNlaG1zY29pcQ==
Kwa hyo ukijani wa bustani ndio ukijani unaomaanisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dodoma Haina kijani 😆😆
View: https://www.instagram.com/p/C4pcjE3KEqk/?igsh=MTZzOGNlaG1zY29pcQ==
Hii ni thread ya kanda ya ziwa au ya Mwanza vs dodoma?Simiyu,Geita,Tabora =Kanda ya Ziwa
Shinyanga inaenda kuwapita nyie walalamishi wa MwanzaHii ni thread ya kanda ya ziwa au ya Mwanza vs dodoma?
Mwanza haipati support ya serikali ndiyo maana ya kusuasua. kitu kimoja kingefanyika Mwanza ingebadilika sana nayo ni upanuzi wa uwanja wa ndege kuwa wa kimataifa na njia nne barabara za Kenyatta na Nyerere.Mkuu ni suala la muda maana Dodoma inakuja kwa kasi ya 5G huku Mwanza inachechemea
Viongozi kusema uongo ni siasa ila mwananchi akiidanganya serikali ni kizaazaa viongozi wetu kwakweli kwenye hili la uwanja wa ndege wa kimataifa mmeshadanganya sana ifike mahali muone aibu!Mwanza haipati support ya serikali ndiyo maana ya kusuasua. kitu kimoja kingefanyika Mwanza ingebadilika sana nayo ni upanuzi wa uwanja wa ndege kuwa wa kimataifa na njia nne barabara za Kenyatta na Nyerere.
Kitombile Jengo jipya liko wapi mbona ni umaliziaji wa lile like godown lenu? 😆😆😆😆👇👇👇
View: https://youtu.be/LditTksgQ68?si=rRe699A2g_2f9CDq
Bado hamjasema Hadi mseme shikamoo Dodoma 🤣🤣👇👇
View: https://www.instagram.com/p/C5RKgwetvzT/?igsh=MW5jdjZueHUwdXlpeA==View attachment 2952397View attachment 2952398View attachment 2952399View attachment 2952400