ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Dada jikite kwenye hoja,mumekimbia kule jukwaa la Arusha mnadhani huku ndio mtaipumzikia Dom si ndio?Tangu wamekubong'onyoa Wana Arusha akili ilishama na sasa wanadodoma wanakupelekea spana kila siku, umekuwa lishangazi ππ
Nako kipigo kinaendelea ππ
View: https://youtu.be/1qtHtoRPEMs?si=8nUnXdwn4yxF2Zl1