Nsennah
JF-Expert Member
- Jan 9, 2021
- 1,947
- 1,554
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ya dodoma imekaa kama sehemu ya parade la wanafunzi wa seminary.Kwani huijui? Ni mbaya kama hayo magodown ya hapo Mwanza mnaita stendi?
🔨🔨🔨🔨👇👇Ya dodoma imekaa kama sehemu ya parade la wanafunzi wa seminary.
Dom the Capital City 👇👇View attachment 3011235unaweza kuhisi ni dubai kumbe bongo tena mwanza. Tembelea mwanza maeneo kama hayo hutojutia. Siyo unaenda mwanza unakomea mabatini sehemu za kihistoria.
Bado hujasema Mtu wa Mwanza uswazini Hadi useme 👇👇Achana na capital cty ya jangwa.
🔨🔨 Maskini Mwanza 😁😁👇👇Mtatumia nguvu sana ila bado. Mwanza ni jeshi la mtu mmoja halihitaji kupora pesa za walipa kodi kulipendezesha.
Lengo ni kuwarekebisha nyie vichaa.Chuo Cha vichaa hujengwa mahala penye uhitaji. Changamkia fursa sasa.