Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

cc Kitombile Mikdde laizerg
Maskini Mwanza imepigwa na Dom Kwa Mapato ya TRA 🤣🤣🤣🤣

Yaani Kwa Sasa Mwanza inazidiwa na Dom Kwa Kila kitu 😆😆😆👇👇
Screenshot_20240806-163541.jpg
 
Tuipe Dodoma 20years na serikali iwe na mkakati wa kweli kuigeuza Dodoma, pengine labda kwa mbaaali turudi kwenye andiko hili... Dodoma Bado sana.. hasa maji!! Mwaka Jana nilifika chuo kikuu nikafika mitaa ya utawala pale, nikaenda msalani kidogo pale kitivo Cha informatics, aisee vyoo vilikua vichafu sana... Maji hakuna mpka tiles zimegeuka kuwa nyekundu.. mikojo kwenye sink za chooni mpka wadudu wamezaliana...

Dodoma Bado Bado!! Tuache ushabiki tu
 
Wapi ambako maji yapo Kila mahala na Kila nyumba? Taja vigezo vya msingi
 
Mm niliwahi kusema kuwa Dodoma itakuwa second largest city muda si mrefu, watu wakanibishia humu. Huu uzi utafungwa baada ya miaka miwili zitakapotoka takwimu rasmi. Waache waendelee kukomaa na Mwanza yao
 
Hadi Sasa ishakuwa ,Dodoma Ina Mapato mengi kushinda Mwanza si ya TRA Wala ya Jiji na Halmashauri
 
Tuipe Dodoma 20years na serikali iwe na mkakati wa kweli kuigeuza Dodoma, pengine labda kwa mbaaali turudi kwenye andiko hili... Dodoma Bado sana.. hasa maji!! Mwaka Jana nilifika chuo kikuu nikafika mitaa ya utawala pale, nikaenda msalani kidogo pale kitivo Cha informatics, aisee vyoo vilikua vichafu sana... Maji hakuna mpka tiles zimegeuka kuwa nyekundu.. mikojo kwenye sink za chooni mpka wadudu wamezaliana...

Dodoma Bado Bado!! Tuache ushabiki tu
Bado Kwa Dar ila sio Kwa hivyo Vijiji vyenu.

Takwimu ndio zinaongea sio empty words 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/C9p8IOptK8x/?igsh=OTk1bnNhb2pyZ2w5
Screenshot_20240806-180002.jpg
Screenshot_20240806-163541.jpg
 
Back
Top Bottom