Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna muda tunatakiwa kuwa mambo ya msingi yafuatayo kwenye hizi battle tusiwe watu wa mihemko na mapenzi yaliyopitiliza kwwnye miji yetuMwanza haifiki hata nusu ya Dom kwenye upande wa mahoteli.....Kitu pekee Mwanza inachozidi Dom ni population basi😂😂
Wasomi huwa wanabishana kwa ""hoja na "facts" sio picha.Ipo siku utakuja kubisha Ikulu haipo Dom kwasababu hujaona picha ya Ikulu yote😀😀Unanipa fact ya blah blah, maneno matupu sisi siyo vipofu kama huwezi battle acha kubisha kitoto. Unaorodhesha majina ndo fact kwako??.
Hata mimi naweza weka kibao cha kuonesha five star kwenye hotel yang kwani dhambi.Hujui kusoma au....👇👇
Login • Instagram
Welcome back to Instagram. Sign in to check out what your friends, family & interests have been capturing & sharing around the world.www.instagram.com
View attachment 3066574
Acha porojo za maneno weka picha za huto tu grocery, kila hotel unayotaja iendane na picha kama ambavyo laizerg anafanya kabla sijaleta zangu 100 kali.Kuna thread ya Mwanza ya kupost picha za kuedit unaweza kwenda kule.Humu ninakupa "facts" tupu.....👇👇
-Best Western City Hotel
-The Residence
-St Gaspar
-Vizzano
-Morena
-Rafiki Dodoma
-Nasheera
-Midlands
-Ambassadors
-DM
-DS
-Dodoma Grand
-Royal Village
-African Dreams
-Inoga
-Golden Crown
-La Stanar
-Verde View
-Miramonti
-Esperanza
apo bado sijakutajia nyingine zenye hadhi ya nyotatano zinazoendelea kujengwa ikiwamo ile ya Shoppers Plaza,Chef Asili, ya Mtumba karibu na Ikulu n.k
Huwezi niambia eti una hoja kwa kutaja taja majina ya hotel basi kama wewe ni msomi mwenzetu kwenye jukwaa hili unatakiwa ukiorodhesha jina la hotel utaje na starring yake, huduma, occupancy ets ili kutoa picha ya Nini unachomaanisha. Umeulizwa shamba lako Lina ubora Gani ili tulitofautishe na la jirani yako unaanza kutaja majina ya miti yaliyomo eti mipapai, migomba, miembe, milimao wakati hata la jirani yako Lina vitu hivyo hivyo, yet unajiita mtu mwenye facts, mbona usomi unautamka haraka hivyo pasipo kutumia akili. Bro kifupi Hauna fact u don't deserve kujiita msomi.Wasomi huwa wanabishana kwa ""hoja na "facts" sio picha.Ipo siku utakuja kubisha Ikulu haipo Dom kwasababu hujaona picha ya Ikulu yote😀😀
Sifayangu kubwa humu JF huwa napresent hoja,facts na evidences na sio ushabiki kama wenzako.Nimeishi na kufanya kazi majiji yote Mwanza na Dom kwa zaidi ya miaka 8 kwahiyo naijua "in and out". Angalia mwenzako badala ya kujibu hoja na points zangu anakwambia leta picha😀😀....kunasiku nilimwambia Dom ina mtandao mkubwa wa barabara za lami kuizidi Mwanza akaniambia leta picha....sasa sijui alikua anataka picha zote za barabara zote za Dom😂😂Reality/truth, facts, figures/data pamoja na evidences/photo etc zinasaidia na kutujenga zaidi.
Kila mtu ana hoja hata mwendawazimu, weka picha twende kazi.Sifayangu kubwa humu JF huwa napresent hoja,facts na evidences na sio ushabiki kama wenzako.Nimeishi na kufanya kazi majiji yote Mwanza na Dom kwa zaidi ya miaka 8 kwahiyo naijua "in and out". Angalia mwenzako badala ya kujibu hoja na points zangu anakwambia leta picha😀😀....kunasiku nilimwambia Dom ina mtandao mkubwa wa barabara za lami kuizidi Mwanza akaniambia leta picha....sasa sijui alikua anataka picha zote za barabara zote za Dom😂😂
Which evidence umepresent ???Sifayangu kubwa humu JF huwa napresent hoja,facts na evidences na sio ushabiki kama wenzako.Nimeishi na kufanya kazi majiji yote Mwanza na Dom kwa zaidi ya miaka 8 kwahiyo naijua "in and out". Angalia mwenzako badala ya kujibu hoja na points zangu anakwambia leta picha😀😀....kunasiku nilimwambia Dom ina mtandao mkubwa wa barabara za lami kuizidi Mwanza akaniambia leta picha....sasa sijui alikua anataka picha zote za barabara zote za Dom😂😂
Kutaja majina ya hotel ni hoja kubwa mno kwake, mwamba haelewi somoKila mtu ana hoja hata mwendawazimu, weka picha twende kazi.
Wee acha we! FYI Hamna sehemu inafikia Zanzibar kwenye quality hospitality East Africa!Endelea kujifariji tu kwa upande wa mahoteli Mwanza haifiki hata robo kwa Dodoma😀😀.na kwa projects zingine za ujenzi wa mahoteli+conference centers zinazoendelea kwa sasa Dom baada ya miaka mitano mbele itaenda kuipita hadi Zanzibar..........Dar itaendelea kuongoza itafuata Dom alafu Zanzibar na Arusha ndio watafuatia.
Hoja +facts zangu zimeenda shule..MEMKWA kama wewe huwezi kuelewa ndiomana unaishia michambo+mipasho badala ya kujibu hoja kwa facts.Kila mtu ana hoja hata mwendawazimu, weka picha twende kazi.
Dodoma haina hoteli ya nyota tano mpaka sasa! Japokuwa kuna Ujenzi wa hoteli zisizopungua mbili kama sikosei Golden Tulip na JWTZ Golf course!
-The Residence by Royal VillageDodoma haina hoteli ya nyota tano mpaka sasa! Japokuwa kuna Ujenzi wa hoteli zisizopungua mbili kama sikosei Golden Tulip na JWTZ Golf course!
Umnyofoe pua mzee kitombile😂😂😂😂 acha kuchekesha watu leta picha hizo guest house za jangwani city.Nilitaka nimnyofoe pua chap kumbe yeye mwenyewe haelewi. Maana ya neno "FACT"
Huyu jamaa masare haelewi maana ya hotel ya nyota tano.Dodoma haina hoteli ya nyota tano mpaka sasa! Japokuwa kuna Ujenzi wa hoteli zisizopungua mbili kama sikosei Golden Tulip na JWTZ Golf course!
Una fact gani zaidi ya maneno nimekuambia leta picha ya hizo hotel huna nashindwa kuelewa unataka tushindane kwa maneno matupu au kwa vithibitisho? Mwenzako kaanza kuweka picha za hotels wewe unajigamba kwa maneno.Hoja +facts zangu zimeenda shule..MEMKWA kama wewe huwezi kuelewa ndiomana unaishia michambo+mipasho badala ya kujibu hoja kwa facts.
Mwanzo umesema Mwanza inaizidi Dom kwenye mahoteli...nikakupa facts kwa orodha ya top international brands za hoteli za Dom zaidi ya ishirini ninazozikumbuka haraka haraka badala ya kujibu hoja eti unataka picha😂😂😂 ndio kichaka chenu cha kujifichia kilichobakia. Unaweza kugoogle kama hoteli zote nilizotaja kuna ambayo haipo Dom
Yes hatukatai Zanzibar wapo vizuri lakini point yangu ni kuwa kwa spidi ya Dom baada ya miaka 10 mbele itakua inakaribiana ....just imagine balozi zote zikihamia Dom,taasisi zilizobakia Dar zote zikihamia Dom full house,hadi TANAPA wanatakiwa kuhamia Dom,sekta ya Utalii kwa sasa Dom wameanza kuipambania kwamfano kuanzishwa kwa hifadhi ya Wanyama ya Swagaswaga na Mkungunero-Kondoa(japo hawana vivutio vingi vya utalii).Wee acha we! FYI Hamna sehemu inafikia Zanzibar kwenye quality hospitality East Africa!