Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Mfano mdogo tu
Midland hotel dodoma
images (16).jpeg
 
Mwanza haifiki hata nusu ya Dom kwenye upande wa mahoteli.....Kitu pekee Mwanza inachozidi Dom ni population basi😂😂
Kuna muda tunatakiwa kuwa mambo ya msingi yafuatayo kwenye hizi battle tusiwe watu wa mihemko na mapenzi yaliyopitiliza kwwnye miji yetu

Reality/truth, facts, figures/data pamoja na evidences/photo etc zinasaidia na kutujenga zaidi.
Mimi ni mkweli sana ndio maana kwwnye issue ya mapato ya halmashauri niliongea wazi Mwanza ikajifunze dodoma, na pia dodoma ipo vizuri upande wa taasisi za kiserikali, lakini kitu cha ajabu wewe unaleta ujinga kwa kusema Dodoma ina mahotel mengi kushinda Mwanza naanza kukuona kama mtu roporopo usijua nini unazungumza, Mwanza karibu robo tatu imezungukwa na maji na kila sehemu ya maji kuna mahotel ya hadhi ya juu, kila eneo la Mwanza utakutana na hotel kali zenye hadhi ya nyota tatu adi mbili hii hali huwezi kuikuta Dodoma, na kama unabisha twende mdogo mdogo kwa evidence/photos.
 
Unanipa fact ya blah blah, maneno matupu sisi siyo vipofu kama huwezi battle acha kubisha kitoto. Unaorodhesha majina ndo fact kwako??.
Wasomi huwa wanabishana kwa ""hoja na "facts" sio picha.Ipo siku utakuja kubisha Ikulu haipo Dom kwasababu hujaona picha ya Ikulu yote😀😀
 
Kuna thread ya Mwanza ya kupost picha za kuedit unaweza kwenda kule.Humu ninakupa "facts" tupu.....👇👇
-Best Western City Hotel
-The Residence
-St Gaspar
-Vizzano
-Morena
-Rafiki Dodoma
-Nasheera
-Midlands
-Ambassadors
-DM
-DS
-Dodoma Grand
-Royal Village
-African Dreams
-Inoga
-Golden Crown
-La Stanar
-Verde View
-Miramonti
-Esperanza

apo bado sijakutajia nyingine zenye hadhi ya nyotatano zinazoendelea kujengwa ikiwamo ile ya Shoppers Plaza,Chef Asili, ya Mtumba karibu na Ikulu n.k
Acha porojo za maneno weka picha za huto tu grocery, kila hotel unayotaja iendane na picha kama ambavyo laizerg anafanya kabla sijaleta zangu 100 kali.
 
Wasomi huwa wanabishana kwa ""hoja na "facts" sio picha.Ipo siku utakuja kubisha Ikulu haipo Dom kwasababu hujaona picha ya Ikulu yote😀😀
Huwezi niambia eti una hoja kwa kutaja taja majina ya hotel basi kama wewe ni msomi mwenzetu kwenye jukwaa hili unatakiwa ukiorodhesha jina la hotel utaje na starring yake, huduma, occupancy ets ili kutoa picha ya Nini unachomaanisha. Umeulizwa shamba lako Lina ubora Gani ili tulitofautishe na la jirani yako unaanza kutaja majina ya miti yaliyomo eti mipapai, migomba, miembe, milimao wakati hata la jirani yako Lina vitu hivyo hivyo, yet unajiita mtu mwenye facts, mbona usomi unautamka haraka hivyo pasipo kutumia akili. Bro kifupi Hauna fact u don't deserve kujiita msomi.
 
Reality/truth, facts, figures/data pamoja na evidences/photo etc zinasaidia na kutujenga zaidi.
Sifayangu kubwa humu JF huwa napresent hoja,facts na evidences na sio ushabiki kama wenzako.Nimeishi na kufanya kazi majiji yote Mwanza na Dom kwa zaidi ya miaka 8 kwahiyo naijua "in and out". Angalia mwenzako badala ya kujibu hoja na points zangu anakwambia leta picha😀😀....kunasiku nilimwambia Dom ina mtandao mkubwa wa barabara za lami kuizidi Mwanza akaniambia leta picha....sasa sijui alikua anataka picha zote za barabara zote za Dom😂😂
 
Kila mtu ana hoja hata mwendawazimu, weka picha twende kazi.
 
Which evidence umepresent ???
 
Nilitaka nimnyofoe pua chap kumbe yeye mwenyewe haelewi. Maana ya neno "FACT"
 
Endelea kujifariji tu kwa upande wa mahoteli Mwanza haifiki hata robo kwa Dodoma😀😀.na kwa projects zingine za ujenzi wa mahoteli+conference centers zinazoendelea kwa sasa Dom baada ya miaka mitano mbele itaenda kuipita hadi Zanzibar..........Dar itaendelea kuongoza itafuata Dom alafu Zanzibar na Arusha ndio watafuatia.
Wee acha we! FYI Hamna sehemu inafikia Zanzibar kwenye quality hospitality East Africa!
 
Kila mtu ana hoja hata mwendawazimu, weka picha twende kazi.
Hoja +facts zangu zimeenda shule..MEMKWA kama wewe huwezi kuelewa ndiomana unaishia michambo+mipasho badala ya kujibu hoja kwa facts.
Mwanzo umesema Mwanza inaizidi Dom kwenye mahoteli...nikakupa facts kwa orodha ya top international brands za hoteli za Dom zaidi ya ishirini ninazozikumbuka haraka haraka badala ya kujibu hoja eti unataka picha😂😂😂 ndio kichaka chenu cha kujifichia kilichobakia. Unaweza kugoogle kama hoteli zote nilizotaja kuna ambayo haipo Dom
 
Dodoma haina hoteli ya nyota tano mpaka sasa! Japokuwa kuna Ujenzi wa hoteli zisizopungua mbili kama sikosei Golden Tulip na JWTZ Golf course!
-The Residence by Royal Village
-Best Western City Hotel
-St Gaspar Presidential Suite

n.k
 
Nilitaka nimnyofoe pua chap kumbe yeye mwenyewe haelewi. Maana ya neno "FACT"
Umnyofoe pua mzee kitombile😂😂😂😂 acha kuchekesha watu leta picha hizo guest house za jangwani city.
 
Hoja +facts zangu zimeenda shule..MEMKWA kama wewe huwezi kuelewa ndiomana unaishia michambo+mipasho badala ya kujibu hoja kwa facts.
Mwanzo umesema Mwanza inaizidi Dom kwenye mahoteli...nikakupa facts kwa orodha ya top international brands za hoteli za Dom zaidi ya ishirini ninazozikumbuka haraka haraka badala ya kujibu hoja eti unataka picha😂😂😂 ndio kichaka chenu cha kujifichia kilichobakia. Unaweza kugoogle kama hoteli zote nilizotaja kuna ambayo haipo Dom
Una fact gani zaidi ya maneno nimekuambia leta picha ya hizo hotel huna nashindwa kuelewa unataka tushindane kwa maneno matupu au kwa vithibitisho? Mwenzako kaanza kuweka picha za hotels wewe unajigamba kwa maneno.
 
Wee acha we! FYI Hamna sehemu inafikia Zanzibar kwenye quality hospitality East Africa!
Yes hatukatai Zanzibar wapo vizuri lakini point yangu ni kuwa kwa spidi ya Dom baada ya miaka 10 mbele itakua inakaribiana ....just imagine balozi zote zikihamia Dom,taasisi zilizobakia Dar zote zikihamia Dom full house,hadi TANAPA wanatakiwa kuhamia Dom,sekta ya Utalii kwa sasa Dom wameanza kuipambania kwamfano kuanzishwa kwa hifadhi ya Wanyama ya Swagaswaga na Mkungunero-Kondoa(japo hawana vivutio vingi vya utalii).
 
Back
Top Bottom