Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀Changamoto ya barabara Mwanza haitakuja kuisha leo wala kesho.Wanajifariji tu na vipicha.Barabara ziko wapi? Au Huwa mnapaki huko chini mnatembea Kwa miguu Hadi hapo?
Unajenga ring road kwenye mtaa au huelewi mwenzio kauliza Nini?.😀😀Changamoto ya barabara Mwanza haitakuja kuisha leo wala kesho.Wanajifariji tu na vipicha.
Wenzao Dom wanajengewa saizi Ring Road zaidi ya km 110 za lami.Dom CBD barabara za vumbi ni za kuhesabu na zenyewe kila baada ya muda unakuta zimewekwa lami...yaani wanapendelewa sana aisee. Imagine kampuni za ujenzi wa barabara kwamfano Nyanza Civil Works wamehamisha ofisi zao kutika Mwanza kwenda Dom kwasababu wana uhakika wa tender nyingi za ujenzi wa barabara ndani ya Jiji la Dodoma .
Eti vumbi la kuhesabu, unachakata akili kweli kabla ya kuandika chochote?, Dodoma vumbi liko la kutosha na haliwezi kuisha anzia jamatini hapo na kwingineko.😀😀Changamoto ya barabara Mwanza haitakuja kuisha leo wala kesho.Wanajifariji tu na vipicha.
Wenzao Dom wanajengewa saizi Ring Road zaidi ya km 110 za lami.Dom CBD barabara za vumbi ni za kuhesabu na zenyewe kila baada ya muda unakuta zimewekwa lami...yaani wanapendelewa sana aisee. Imagine kampuni za ujenzi wa barabara kwamfano Nyanza Civil Works wamehamisha ofisi zao kutika Mwanza kwenda Dom kwasababu wana uhakika wa tender nyingi za ujenzi wa barabara ndani ya Jiji la Dodoma .
😀😀Jamatini ipi kwenye barabara ya vumbi. Dom City Centre yote ni full lami ukisogea mbele maeneo ya Kilimani huko ndio balaa lami zimejengwa zinafika hadi milangoni kwa "Waheshimiwa". MWANZA haifiki hata robo ya ubora wa Dom kwenye mtandao mpana wa barabara za lami.Eti vumbi la kuhesabu, unachakata akili kweli kabla ya kuandika chochote?, Dodoma vumbi liko la kutosha na haliwezi kuisha anzia jamatini hapo na kwingineko.
Naomba kipande cha barabara Mwanza CBD chenye vumbi, ukileta sitakuja kushindana wala kubishana tena humu.😀😀Jamatini ipi kwenye barabara ya vumbi. Dom City Centre yote ni full lami ukisogea mbele maeneo ya Kilimani huko ndio balaa lami zimejengwa zinafika hadi milangoni kwa "Waheshimiwa". MWANZA haifiki hata robo ya ubora wa Dom kwenye mtandao mpana wa barabara za lami.
Nitajie main road yoyote ya vumbi Dom alafu tulinganishe na Mwanza😀😀👇👇
Serikali inahitaji kuingalia Mwanza kwenye miundombinu, ni jiji zuri sana kutembelea
Wakuu heshima yenu! Heading inajieleza, mimi ni kati ya wale watanzania waliobahatika kuishi mikoa mingi hapa nchini, kiukweli Nchi yetu kwa kiasi chake imebarikiwa kwa uzuri nimeishi Maeneo kama Lushoto, Moshi, Dodoma, Kahama na Morogoro na nimebahatika kutembelea kwa sana mikoa ya Dar, Arusha...www.jamiiforums.com
Leta Barabara za kule kwenye slums yenu 😂😂Unajenga ring road kwenye mtaa au huelewi mwenzio kauliza Nini?.
🔨🔨🔨View attachment 3112417View attachment 3112418
Kula chuma hicho, ukiweza rotate picha ili upepo wa ziwa ukupate popote ulipo na utanishukuru.
Saizi ndio wametangaza tenda, ujenzi 2025 tena km 25 😂😂😂😂
Dom Ring road 120 km
Iringa road km 50 ,6 lanes
Morogoro Road 70km,6 lanes
Singida road 50 km 6 lanes
Arusha roada 50km,4 lanes.
Kijiji Cha Mwanza kamwe haitakuja kuikaribia Dom HQ
View: https://www.instagram.com/p/DAqEj-8AibE/?igsh=dHlzdWhzOW9hdnFw
Endelea Ku post vitu vya ajabu ajabu .Wapi wamesema hizo barabara njia sita zitajengwa Dodoma tu
.kama mpango wa njia sita unaanza na barabara za majiji mengine ikiwemo mwanza View attachment 3114095
Unazungumza ukiwa kama nani we pimbi Nini Mwanza kwa eneo la CBD barabara ziko vizuri sana labda Kuna maeneo machache ya marekebisho tu miji mingi ya Tanzania ina changamoto za barabara na makazi holela hii ni kwa sababu wenye mamlaka ya mipango miji hawana exposure..Dodoma Haina maajabu sana ukilinganisha na other purposely established Capitals in Africa like Abuja in Nigeria wako ahead us japo walikuja kujifunza kwetu kwa mtu kama wewe usie na exposure unaona Dodoma is dop Fanya kutembea Toka huko mkungelambito uende hata kwa majirani zetu Kigali au Nairobi au Kisumu tu dahhh bado tuna safari sana na Kuna miji kutokana na jiografia yake kama mwanza serikali ikijikita kuiboresha tutarajie utalii kuongezeka sana kwa sababu mwanza ina visiwa karibu na jiji ingekuwa nchi zingine tungeshuhudia zikijengwa resorts za kutisha sana nchi hii watu wenye dhamana wengi sio wabunifu😀😀Changamoto ya barabara Mwanza haitakuja kuisha leo wala kesho.Wanajifariji tu na vipicha.