Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

IMG_20240914_125119.jpg
IMG_20240914_124023.jpg
IMG_20240914_123854.jpg
IMG_20240914_123509.jpg
IMG_20240914_123252.jpg
IMG_20240914_123046.jpg
IMG_20240914_122710.jpg
IMG_20240914_122319.jpg
IMG_20240914_113549.jpg
IMG_20240914_111634.jpg
IMG_20240914_111814.jpg

Unadhani wanapaa hewani.
 
Barabara ziko wapi? Au Huwa mnapaki huko chini mnatembea Kwa miguu Hadi hapo?
😀😀Changamoto ya barabara Mwanza haitakuja kuisha leo wala kesho.Wanajifariji tu na vipicha.
Wenzao Dom wanajengewa saizi Ring Road zaidi ya km 110 za lami.Dom CBD barabara za vumbi ni za kuhesabu na zenyewe kila baada ya muda unakuta zimewekwa lami...yaani wanapendelewa sana aisee. Imagine kampuni za ujenzi wa barabara kwamfano Nyanza Civil Works wamehamisha ofisi zao kutika Mwanza kwenda Dom kwasababu wana uhakika wa tender nyingi za ujenzi wa barabara ndani ya Jiji la Dodoma .
 
Unajenga ring road kwenye mtaa au huelewi mwenzio kauliza Nini?.
 
😀😀Changamoto ya barabara Mwanza haitakuja kuisha leo wala kesho.Wanajifariji tu na vipicha.
Wenzao Dom wanajengewa saizi Ring Road zaidi ya km 110 za lami.Dom CBD barabara za vumbi ni za kuhesabu na zenyewe kila baada ya muda unakuta zimewekwa lami...yaani wanapendelewa sana aisee. Imagine kampuni za ujenzi wa barabara kwamfano Nyanza Civil Works wamehamisha ofisi zao kutika Mwanza kwenda Dom kwasababu wana uhakika wa tender nyingi za ujenzi wa barabara ndani ya Jiji la Dodoma .
Eti vumbi la kuhesabu, unachakata akili kweli kabla ya kuandika chochote?, Dodoma vumbi liko la kutosha na haliwezi kuisha anzia jamatini hapo na kwingineko.
 
😀😀Jamatini ipi kwenye barabara ya vumbi. Dom City Centre yote ni full lami ukisogea mbele maeneo ya Kilimani huko ndio balaa lami zimejengwa zinafika hadi milangoni kwa "Waheshimiwa". MWANZA haifiki hata robo ya ubora wa Dom kwenye mtandao mpana wa barabara za lami.
Nitajie main road yoyote ya vumbi Dom alafu tulinganishe na Mwanza😀😀👇👇

Naomba kipande cha barabara Mwanza CBD chenye vumbi, ukileta sitakuja kushindana wala kubishana tena humu.
 
🔨🔨🔨

View: https://www.instagram.com/reel/DAoMKnIt

🔨🔨🔨
%5BURL%20unfurl=%22true%22%20media=%22instagram😀AoMKnItAyK%22%5Dhttps://www.instagram.com/reel/DAoMKnItAyK/?igsh=Z3lneXVkeGQ1NXJr

AyK/?igsh=Z3lneXVkeGQ1NXJr[/URL]t

Tunaannza na lot 1
Screenshot_20241002-141505.png

View:
 
Saizi ndio wametangaza tenda, ujenzi 2025 tena km 25 😂😂😂😂

Dom Ring road 120 km

Iringa road km 50 ,6 lanes

Morogoro Road 70km,6 lanes

Singida road 50 km 6 lanes

Arusha roada 50km,4 lanes.

Kijiji Cha Mwanza kamwe haitakuja kuikaribia Dom HQ

View: https://www.instagram.com/p/DAqEj-8AibE/?igsh=dHlzdWhzOW9hdnFw

Wapi wamesema hizo barabara njia sita zitajengwa Dodoma tu
.kama mpango wa njia sita unaanza na barabara za majiji mengine ikiwemo mwanza
Screenshot_20241002-144856.png
 
😀😀Changamoto ya barabara Mwanza haitakuja kuisha leo wala kesho.Wanajifariji tu na vipicha.
Wenzao Dom wanajengewa saizi Ring Road zaidi ya km 110 za lami.Dom CBD barabara za vumbi ni za kuhesabu na zenyewe kila baada ya muda unakuta zimewekwa lami...yaani wanapendelewa sana aisee. Imagine kampuni za ujenzi wa barabara kwamfano Nyanza Civil Works wamehamisha ofisi zao kutika Mwanza kwenda Dom kwasababu wana uhakika wa tender nyingi za ujenzi wa barabara ndani ya Jiji la Dodoma .
Unazungumza ukiwa kama nani we pimbi Nini Mwanza kwa eneo la CBD barabara ziko vizuri sana labda Kuna maeneo machache ya marekebisho tu miji mingi ya Tanzania ina changamoto za barabara na makazi holela hii ni kwa sababu wenye mamlaka ya mipango miji hawana exposure..Dodoma Haina maajabu sana ukilinganisha na other purposely established Capitals in Africa like Abuja in Nigeria wako ahead us japo walikuja kujifunza kwetu kwa mtu kama wewe usie na exposure unaona Dodoma is dop Fanya kutembea Toka huko mkungelambito uende hata kwa majirani zetu Kigali au Nairobi au Kisumu tu dahhh bado tuna safari sana na Kuna miji kutokana na jiografia yake kama mwanza serikali ikijikita kuiboresha tutarajie utalii kuongezeka sana kwa sababu mwanza ina visiwa karibu na jiji ingekuwa nchi zingine tungeshuhudia zikijengwa resorts za kutisha sana nchi hii watu wenye dhamana wengi sio wabunifu
 
Back
Top Bottom