Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Gallery_1729198477071.jpg
CBD bado inatia huruma hii
 
Wagogo bado kapuka bora hata Mbeya yako juhudi za watu binafsi zinaonekana high raising za Raia zinaoneka ila kwa hapa ni Deadly, Bila mbereko ya serikali ilikua haina tofauti na MADABA
Gallery_1729198443839.jpg
 
Wagogo bado kapuka bora hata Mbeya yako juhudi za watu binafsi zinaonekana high raising za Raia zinaoneka ila kwa hapa ni Deadly, Bila mbereko ya serikali ilikua haina tofauti na MADABA View attachment 3128267
Pana shida gani hapo? Au unadhani Dom imejikusanya sehemu Moja kama Vimiji vyenu uchwara? Na hapa umepaona kwenye video? 👇👇
808C7E13-9DCC-4A6E-94D3-27604D924882.jpeg
 
T
Unataka vitu kwenye ground hayo maandiko kila mkoa yapo.
Kabla ya ground ni maandiko ya pesa,pesa ndio hizo hapo.

Mwisho Dom haijawahi ishiwa miradi , Bajeti yake ni kubwa.

Nilimsikia Mbunge wenu wa Ilemela analalamika kwamba network ya Tarura ni zaidi ya km 2,000 ila Bajeti yenu ni bil.3 😂😂😂😂

Nikasema si mnasemaga mna Mapato ya ndani jengeni Sasa vinginevyo mtaoga sana vumbi.
 
Unatapatapa sana Mzee baba.

Anaemnanga ni nani?

Kwani kabla ya Magu Dom haikuwa HQ? Ujenzi na upangaji ulishaanza kitambo ndio maana kulikuwa Kuna Bunge,UDOM,Chimwaga Complex,Chamwino Ikulu ,Barabara zote kuu za kuingia na kutoka Dom kuwekwa lami nk

Magu alitoa msukumo mkubwa ila hata asingekuwa yeye Bado Mji Mkuu ungejengwa hata iwe 2050
The sunk cost fallacy a.k.a choice variable. Huyu anauwezo wa kuanzishwa thread kwa jina la ChoiceVariable na akakomenti kwa jina la The Sunk Cost Fallacy 2 na akawa ameridhika kabisa🤣🤣🤣
 
Hawa jamaa wasukuma ndiomana wanadharauliwa sana huku mjini kwa ushamba....yaani "madini na facts" zote tunazowapa badala ya kushukuru tunawasaidia kuongeza maarifa wao ndio kwanza wanaleta ushabiki maandazi😂😂.
Yaani mtu ameenda shule alafu anashindwa hata kugoogle tu neno "Mkapa House Dodoma" akapata maarifa😂😂😂
Sasa asidharaulike kandunje wa ugogoni, mfupi na amedumaa uje umdharau giant wa kisukuma si utakuwa ulimbukeni wako. Yaani Mimi nidharaulike mbele yako si ufala huo dogo.
 
Mwanza na tumiji uchwara twingine ndio tunategemei hiyo kitu unaita down town ila Dom has many other developed places apart from the so called CBD kitu ambacho Mwanza hakuna.
🤣🤣Mwanza mitaa yao karibia yote ipo hovyohovyo haina mpangilio kamavile vijumba vya Igogo 🤣🤣 alafu eti wanataka kujilinganisha na Dom Jiji lililoanza kupangiliwa from scratch tangu enzi za Nyerere.
Mkubwa ni mkubwa tu
 
Ukiwaambia walete picha zinazoonesha mtaa mzima kama hizi hawawezi wanaokoteza picha ya nyumba nzuri mojamoja zilizotumwa kwenye thread yao ile nyingine waliyojianzishia alafu wanakuja kupost humu😂😂.
Hivi Dom wakipost picha za nyumba/makazi ya Spika au ya Naibu Waziri Mkuu si mtakimbia humu😂😂.
Dom wamewazidi mbali sana Mwanza mitaa yao yote ina "lay out" nzuri, viwanja na nyumba vimepangiliwa,kila nyumba ina hati,barabara zinafika kote,mapaa ya nyumba yamejengwa kwa mfanano wa rangi,mifumo ya majisafi na majitaka ipo "intact" ,usalama na tahadhari ya majanga ya asili imepewa kipaumbele sasa Mwanza inayojifariji kujilinganisha na Dom ikotokea kwamfano janga la moto mitaa kama Igogo vile vijumba vyote mlimani kwisha habari yake😂😂 manake gari la zimamoto haliwezi kufika kule.
20240313_134236.jpg
 
Ukiwaambia walete picha zinazoonesha mtaa mzima kama hizi hawawezi wanaokoteza picha ya nyumba nzuri mojamoja zilizotumwa kwenye thread yao ile nyingine waliyojianzishia alafu wanakuja kupost humu😂😂.
Hivi Dom wakipost picha za nyumba/makazi ya Spika au ya Naibu Waziri Mkuu si mtakimbia humu😂😂.
Dom wamewazidi mbali sana Mwanza mitaa yao yote ina "lay out" nzuri, viwanja na nyumba vimepangiliwa,kila nyumba ina hati,barabara zinafika kote,mapaa ya nyumba yamejengwa kwa mfanano wa rangi,mifumo ya majisafi na majitaka ipo "intact" ,usalama na tahadhari ya majanga ya asili imepewa kipaumbele sasa Mwanza inayojifariji kujilinganisha na Dom ikotokea kwamfano janga la moto mitaa kama Igogo vile vijumba vyote mlimani kwisha habari yake😂😂 manake gari la zimamoto haliwezi kufika kule.View attachment 3128376
Mtaa mzima kwetu hauenei kwenye picha Moja kulingana na jiografia. Ukiona mtaa mzima unaenea kwenye picha Moja ujue hamna kitu hapo
 
Back
Top Bottom