Afya Elimu Na Kilimo Sio Kipaumbele cha serikali ya ccmTunajua Russia ni miongoni mwa wazalishaji wakubwa wa mbolea na kwa mazingira yalivyo wala halina ubishi.
Naomba serikali hebu fanyeni subsidy kwa wakulima wapeni nafuu hatakama mtawachaji baadae hata shilling chache kwa kilo kufidia gape, tusaidie sector ya kilimo kama kweli tunataka iajiri na iwavutie vijana kuingia kwenye kilimo.
kujenga kiwanja cha ndege porini kweli inahitaji uwezo wa ziada usio wa kawaidaMagufuli Alikua na Uwezo wa Ziada usio wa kawaida .
Acha ujinga wako, magufuli amemuua na kumtesa naniiii.
Kama alivyoonyesha kwenye korosho sio?Magufuli Alikua na Uwezo wa Ziada usio wa kawaida .
Inaonekana alikufanya vibaya sana kiroboto naona kwa sasa unaenjoy maisha baada ya mtesi wa familia yenu kutoweka juu ya uso wa duniaJIWE alikuwa muuaji na mtesaji wa watu wote waliokuwa wanaibia Serikali na kuharibu uchumi wa nchi na wa mtu mmoja mmoja. Aliyeko madarakani anakumbatia kundi dogo linaloibia Serikali na kutesa walio wengi. UKWELI NDIO HUO
Kumbe ulishakufaMimi na familia yetu
Vita vya Ukrain,kama vimeanza alivyofariki na bado wapo kwenye Royal tour hawajali chochote .tukiongea tunaambia tukazikwe naye Chato.Hovyo kabisa.Mkulima huyu anadai ilikuwa ikiongezwa Tsh 1,000 anamwambia Waziri rudisha Tsh 50,000 Waziri wa sasa alikuwepo akiwa naibu.
Siku amekufa kesho yake kabla hajazikwa ikaongezwa Tsh 20,000 ikawa Tsh 70,000. Leo ni Tsh 147,000 na naibu kawa Waziri.
Wadai mnaofatilia bei ya pembejeo tupeni ukweli wa hili. Wengine tuko kwenye mafuta.
CHADEMA hiihii viongozi wao wananunuliwa kwa vipande vya fedha, au kuna nyingine?Mnalalamika nn chadema hamuioni Nani kawalaZimisha kuichagua ccm
Kumbe ulishakufa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]Na bado mpaka ikifikia milioni saba ndio kidoogo tutaanza kuulizana maswali.
Kuku wanasakura wenyewe TU , hukulazimishwa kununuaChakula cha kuku kimepanda kutoka kwenye 50,000 hadi now 76000
Mtaimba nyimbo zote. Jiwe aliitwa shetani na wahuni!Mkulima huyu anadai ilikuwa ikiongezwa Tsh 1,000 anamwambia Waziri rudisha Tsh 50,000 Waziri wa sasa alikuwepo akiwa naibu.
Siku amekufa kesho yake kabla hajazikwa ikaongezwa Tsh 20,000 ikawa Tsh 70,000. Leo ni Tsh 147,000 na naibu kawa Waziri.
Wadai mnaofatilia bei ya pembejeo tupeni ukweli wa hili. Wengine tuko kwenye mafuta.
Umesema vizuri. Yeye mwenyewe akawa kilakitu. Hata katiba/sheria akawa yeye.Jiwe alikuwa ni jembe ila jembe la ovyo , aliacha kuweka misingi imara ila akaendekeza ukabila, umimi na kutengeneza legacy yake, Jiwe hastahili sifa , alikosa maona ya kuacha mfumo imara, ila akatengeneza mazingira ya kutawala milele.
Twafwa wakulima mweeh!Hakuna jinsi, hata ifike 200k kwa mfuko mtanunua tu mpaka hapo akili zitakapo wakaa sawa.
Kwani kama ni kweli ilikuwa 50,000 kipindi hicho ilikuwa ikizalishwa hapa nchini ?? Watanzania sio wajinga sana kama watu wanavyofikiria !!!Tanzania haizalishi mbolea hizo anazotumia
Na wao watakufa tu ! Kwanza kama mazao yasipopatikana ya kutosha itabidi waagize chakula kutoka nje ! Na mambo yao ya siasa hayatakuwa rahisi huko 2025 !! Kila Mara tunashauri bei ya bidhaa muhimu ni lazima zidhibitiwe na Serikali maana ukiwaachia wafanyabiashara wapange bei wanavyotaka ni lazima hali itakuwa mbaya kama ilivyo sasa !! Wafanyabiashara hawana huruma na watu! Wao wanafukuzia faida kubwa tu kila siku ! Nchi zote duniani hutoa bei elekezi katika bidhaa muhimu zinazogusa maslahi ya watu wengi !! Nimemsikia Waziri Kijaji akisema IPO sheria ya kudhibiti bei za bidhaa !! Sasa kwanini isitumike sasa ambapo wafanyabiashara wanajipangia bei kiholela eti sababu ni vita vya Ukraine ???!!Twafwa wakulima mweeh!