Amun Ra
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 4,713
- 7,218
Afya Elimu Na Kilimo Sio Kipaumbele cha serikali ya ccmTunajua Russia ni miongoni mwa wazalishaji wakubwa wa mbolea na kwa mazingira yalivyo wala halina ubishi.
Naomba serikali hebu fanyeni subsidy kwa wakulima wapeni nafuu hatakama mtawachaji baadae hata shilling chache kwa kilo kufidia gape, tusaidie sector ya kilimo kama kweli tunataka iajiri na iwavutie vijana kuingia kwenye kilimo.