mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,586
- 11,227
FaizaFoxy atapinga hii.Mkulima huyu anadai ilikuwa ikiongezwa Tsh 1,000 anamwambia Waziri rudisha Tsh 50,000 Waziri wa sasa alikuwepo akiwa Naibu.
Siku amekufa kesho yake kabla hajazikwa ikaongezwa Tsh 20,000 ikawa Tsh 70,000. Leo ni Tsh 147,000 na Naibu kawa Waziri.
Wadai mnaofatilia bei ya pembejeo tupeni ukweli wa hili. Wengine tuko kwenye mafuta.
Duh !! Kipaumbele ni kujenga maghorofa kariakoo !! Au ??Afya Elimu Na Kilimo Sio Kipaumbele cha serikali ya ccm
Na ma V 8Duh !! Kipaumbele ni kujenga maghorofa kariakoo !! Au ??
Kwa hii komenti yako umenadi ujinga,ni hivi mbolea ilikua 60 mpaka June mwaka Jana,ambapo magu alikua kishakufa,ulaya na dunia ilipotoka mafichoni na kuanza shughuli za kilimo,mbolea ikapanda Bei kwa Kasi,kwa kuwa viwanda vilishindwa kwenda na mahitaji makubwa ya ghafla,Leo hii Vita vya urusi,ambako pia mbolea huzalishwa,imeongeza tatizo zaidi,na bado itaendelea kupandaKwani kama ni kweli ilikuwa 50,000 kipindi hicho ilikuwa ikizalishwa hapa nchini ?? Watanzania sio wajinga sana kama watu wanavyofikiria !!!
Bei za vitu kushuka Ina sababu nyingi,mojawapo ni uchumi duni(aggregate demand)Magu ni jembevla ukweli siyo mbolea tuu hadi kilo ya nyama ilishuka kuanzia elfu saba hadi elfu 5 alivyokufa tuu leo nyama inauzwa elfu 9 hadi 10 kwa kilo nawasikia sisiemu wanasema anaupiga mwingi sijui kama wanajielewa "wacha waisome namba ee sisiemu mbele kwa mbele"
Endeleeni kumdanganya mkuu !! Akija kutahamaki mambo yameshakuwa hoi bin taaban !! Wafanya biashara sio wa kuwachekea katika bidhaa muhimu !! Kwanza uelewe wewe ambaye hujaonesha ujinga kwamba nchi zilizoendelea huwa zinawapa ruzuku wakulima wake ili kuwapa morali ya kuendelea kulima kwa sababu wanajua umuhimu wa wakulima katika uchumi wa nchi !! Lakini kwa kuwa nchi zetu hizi tunazoziita masikini hazina uwezo wa kuwapa ruzuku wakulima wao basi ingekuwa ni busara serikali ihakikishe wakulima wanapata pembejeo kwa bei wanazozimudu !! Hivyo ni lazima Serikali isimamie bei za mbolea na pembejeo zingine !! Kilimo ni Uti wa mgongo wa Nchi hii !! Kilimo kinaajiri asilimia 70 mpaka 80 ya wananchi wa Nchi hii !! Serikali lazima ichukue hatua kukinusuru kilimo !!!Kwa hii komenti yako umenadi ujinga,ni hivi mbolea ilikua 60 mpaka June mwaka Jana,ambapo magu alikua kishakufa,ulaya na dunia ilipotoka mafichoni na kuanza shughuli za kilimo,mbolea ikapanda Bei kwa Kasi,kwa kuwa viwanda vilishindwa kwenda na mahitaji makubwa ya ghafla,Leo hii Vita vya urusi,ambako pia mbolea huzalishwa,imeongeza tatizo zaidi,na bado itaendelea kupanda
Nipinge nini wakati naelewa sababu halisi za mfumuko wa bei.
Unabwabwaja tu,hujui kituEndeleeni kumdanganya mkuu !! Akija kutahamaki mambo yameshakuwa hoi bin taaban !! Wafanya biashara sio wa kuwachekea katika bidhaa muhimu !! Kwanza uelewe wewe ambaye hujaonesha ujinga kwamba nchi zilizoendelea huwa zinawapa ruzuku wakulima wake ili kuwapa morali ya kuendelea kulima kwa sababu wanajua umuhimu wa wakulima katika uchumi wa nchi !! Lakini kwa kuwa nchi zetu hizi tunazoziita masikini hazina uwezo wa kuwapa ruzuku wakulima wao basi ingekuwa ni busara serikali ihakikishe wakulima wanapata pembejeo kwa bei wanazozimudu !! Hivyo ni lazima Serikali isimamie bei za mbolea na pembejeo zingine !! Kilimo ni Uti wa mgongo wa Nchi hii !! Kilimo kinaajiri asilimia 70 mpaka 80 ya wananchi wa Nchi hii !! Serikali lazima ichukue hatua kukinusuru kilimo !!!
"Correlation does not imply causation"
Huo ni msemo unaotumika kwenye research. Bei kupanda baada ya kifo cha mtu haimaniishi kifo cha mtu kimesababisha bei kupanda. Bei inaweza kuwa imepanda kwa sababu nyingine tofauti.
Nipinge nini wakati naelewa sababu halisi za mfumuko wa bei.
Unaelewa nani alizuwia mikataba ya gas na mafuta kuanza kuchimbwa miaka 6 nyuma? Unajuwa nani alileta ukorofi na wawekezaji namba 2, kwa ukubwa wa mitaji yao, Tanzania mpaka wakawa wanashindwa kufanya biashara na Tanzania?
Kama huelewi nenda kaisikilize interview ya Mhando na Mama. Msijazane ujinga hapa.
Na bado, maana ndiyo kwanza mama anaifufua tena hali ya kchumi, tunaanza Alif kwa kijiti.
Kazi ya Mungu haina makosa.
Magufuli Alikua na Uwezo wa Ziada usio wa kawaida .
Wa kuwalazimisha tanesco wawafungie watu umeme kwa elfu 28 kwa kodi za wengine tena mijini wakati umeme ni anasa? Puuu presidentMagufuli Alikua na Uwezo wa Ziada usio wa kawaida .
Huyu ndie tunaemtaka sasa, mnasema alikua mzuri lkn mifukoni kulikauka sasa hivi hata sukari ifike elfu 10 tunalalamika kidogo lkn uwezo wa kununua tunao.Magufuli alikuwa ana uwezo wakupambana na wakati mgumu kwakutafuta solution na unaona kabisa Serikali yake inapambana nakumbuka kile kipindi chake Cha sukari ilivyopanda bei Serikali ikawakamata baadhi ya wafanyabiashara wengine walikuwa wahindi wameficha sukari kwenye magodown na sehemu mbalimbali na hawasambazi mtaani akatoa onyo Kali kwa wafanyabiashara watakaokaidi tamko la Serikali watakumbana na mkono wa Sheria baada ya kupita muda fulani bei sukari ikarudi bei ya awali.
Unaona kabisa alivyopambana na covid-19 unajua kabisa huyu ni Raisi but huyu Raisi wasasa jamaa kama gogo kama vile anaongoza nchi tofauti sio mfuatiliaji, anapuuzia mambo yeye amekuwa source ya matatizo hana vision yeye anachojua ni kudhurura tu nchi za watu
Sawa jiwe alikua muuaji na mtesaji. Ila huyu chui jike ndio haeleweki anatembea na beat gani
Bei ilipanda kabla ya vita mwaka jana mwezi wa 12 tatar ilikuwa 130,000_-Wewe huoni vita vya Urusi na Ukraine??
Mwambieni huyo mkulima kwa sasa tunapigana vita kwanza, tukimaliza hizo vita tutalunguza na hizo mbolea, kwa sasa alime tuu bila mbolea
Ni nani alizuia mkataba wa kuchata gas ambayo ndiyo hiyohiyo mali ghafi ya Urea? Kiwanda kikubwa Afrika Mashariki, kama si Afrika nzima, cha urea ilikuwa kijengwe Kusini. Nani aliyezuwia?
Bei ilipanda kabla ya vita mwaka jana mwezi wa 12 tatar ilikuwa 130,000_-
Sababu million za kutokufanya unaweza kuzipata muda wowote. Kuanza kufikiri sababu za kuzuwia kufanya kitu ni ujha wa hali ya juu, kama fikra zako ni hizo ni wakupewa pole tu.Suala siyo kuzuia, bali ni sababu zilizopelekea kuzuia.
Lkn kama vingine viko juu ya namna na uwezo wako wa kufikiri basi bora ukae kimya.