Je, ni kweli kuwa hadi Rais Magufuli anafariki mfuko wa UREA Kg 50 ulikuwa Tsh. 50,000/- leo umefika Tsh. 147,000/-

Je, ni kweli kuwa hadi Rais Magufuli anafariki mfuko wa UREA Kg 50 ulikuwa Tsh. 50,000/- leo umefika Tsh. 147,000/-

Mkulima huyu anadai ilikuwa ikiongezwa Tsh 1,000 anamwambia Waziri rudisha Tsh 50,000 Waziri wa sasa alikuwepo akiwa Naibu.

Siku amekufa kesho yake kabla hajazikwa ikaongezwa Tsh 20,000 ikawa Tsh 70,000. Leo ni Tsh 147,000 na Naibu kawa Waziri.

Wadai mnaofatilia bei ya pembejeo tupeni ukweli wa hili. Wengine tuko kwenye mafuta.
FaizaFoxy atapinga hii.

Ila ni jambo la kweli
 
Magu ni jembevla ukweli siyo mbolea tuu hadi kilo ya nyama ilishuka kuanzia elfu saba hadi elfu 5 alivyokufa tuu leo nyama inauzwa elfu 9 hadi 10 kwa kilo nawasikia sisiemu wanasema anaupiga mwingi sijui kama wanajielewa "wacha waisome namba ee sisiemu mbele kwa mbele"
 
Kwani kama ni kweli ilikuwa 50,000 kipindi hicho ilikuwa ikizalishwa hapa nchini ?? Watanzania sio wajinga sana kama watu wanavyofikiria !!!
Kwa hii komenti yako umenadi ujinga,ni hivi mbolea ilikua 60 mpaka June mwaka Jana,ambapo magu alikua kishakufa,ulaya na dunia ilipotoka mafichoni na kuanza shughuli za kilimo,mbolea ikapanda Bei kwa Kasi,kwa kuwa viwanda vilishindwa kwenda na mahitaji makubwa ya ghafla,Leo hii Vita vya urusi,ambako pia mbolea huzalishwa,imeongeza tatizo zaidi,na bado itaendelea kupanda
 
Magu ni jembevla ukweli siyo mbolea tuu hadi kilo ya nyama ilishuka kuanzia elfu saba hadi elfu 5 alivyokufa tuu leo nyama inauzwa elfu 9 hadi 10 kwa kilo nawasikia sisiemu wanasema anaupiga mwingi sijui kama wanajielewa "wacha waisome namba ee sisiemu mbele kwa mbele"
Bei za vitu kushuka Ina sababu nyingi,mojawapo ni uchumi duni(aggregate demand)
 
Kwa hii komenti yako umenadi ujinga,ni hivi mbolea ilikua 60 mpaka June mwaka Jana,ambapo magu alikua kishakufa,ulaya na dunia ilipotoka mafichoni na kuanza shughuli za kilimo,mbolea ikapanda Bei kwa Kasi,kwa kuwa viwanda vilishindwa kwenda na mahitaji makubwa ya ghafla,Leo hii Vita vya urusi,ambako pia mbolea huzalishwa,imeongeza tatizo zaidi,na bado itaendelea kupanda
Endeleeni kumdanganya mkuu !! Akija kutahamaki mambo yameshakuwa hoi bin taaban !! Wafanya biashara sio wa kuwachekea katika bidhaa muhimu !! Kwanza uelewe wewe ambaye hujaonesha ujinga kwamba nchi zilizoendelea huwa zinawapa ruzuku wakulima wake ili kuwapa morali ya kuendelea kulima kwa sababu wanajua umuhimu wa wakulima katika uchumi wa nchi !! Lakini kwa kuwa nchi zetu hizi tunazoziita masikini hazina uwezo wa kuwapa ruzuku wakulima wao basi ingekuwa ni busara serikali ihakikishe wakulima wanapata pembejeo kwa bei wanazozimudu !! Hivyo ni lazima Serikali isimamie bei za mbolea na pembejeo zingine !! Kilimo ni Uti wa mgongo wa Nchi hii !! Kilimo kinaajiri asilimia 70 mpaka 80 ya wananchi wa Nchi hii !! Serikali lazima ichukue hatua kukinusuru kilimo !!!
 
FaizaFoxy atapinga hii.

Ila ni jambo la kweli
Nipinge nini wakati naelewa sababu halisi za mfumuko wa bei.

Unaelewa nani alizuwia mikataba ya gas na mafuta kuanza kuchimbwa miaka 6 nyuma? Unajuwa nani alileta ukorofi na wawekezaji namba 2, kwa ukubwa wa mitaji yao, Tanzania mpaka wakawa wanashindwa kufanya biashara na Tanzania?

Kama huelewi nenda kaisikilize interview ya Mhando na Mama. Msijazane ujinga hapa.

Na bado, maana ndiyo kwanza mama anaifufua tena hali ya kchumi, tunaanza Alif kwa kijiti.

Kazi ya Mungu haina makosa.
 
Unabwabwaja tu,hujui kitu
 
"Correlation does not imply causation"

Huo ni msemo unaotumika kwenye research. Bei kupanda baada ya kifo cha mtu haimaniishi kifo cha mtu kimesababisha bei kupanda. Bei inaweza kuwa imepanda kwa sababu nyingine tofauti.

In research we call it post hoc fallacy.
 
Nipinge nini wakati naelewa sababu halisi za mfumuko wa bei.

Unaelewa nani alizuwia mikataba ya gas na mafuta kuanza kuchimbwa miaka 6 nyuma? Unajuwa nani alileta ukorofi na wawekezaji namba 2, kwa ukubwa wa mitaji yao, Tanzania mpaka wakawa wanashindwa kufanya biashara na Tanzania?

Kama huelewi nenda kaisikilize interview ya Mhando na Mama. Msijazane ujinga hapa.

Na bado, maana ndiyo kwanza mama anaifufua tena hali ya kchumi, tunaanza Alif kwa kijiti.

Kazi ya Mungu haina makosa.

Tulieni tu, nchi inafunguka.
 
Magufuli alikuwa ana uwezo wakupambana na wakati mgumu kwakutafuta solution na unaona kabisa Serikali yake inapambana nakumbuka kile kipindi chake Cha sukari ilivyopanda bei Serikali ikawakamata baadhi ya wafanyabiashara wengine walikuwa wahindi wameficha sukari kwenye magodown na sehemu mbalimbali na hawasambazi mtaani akatoa onyo Kali kwa wafanyabiashara watakaokaidi tamko la Serikali watakumbana na mkono wa Sheria baada ya kupita muda fulani bei sukari ikarudi bei ya awali.

Unaona kabisa alivyopambana na covid-19 unajua kabisa huyu ni Raisi but huyu Raisi wasasa jamaa kama gogo kama vile anaongoza nchi tofauti sio mfuatiliaji, anapuuzia mambo yeye amekuwa source ya matatizo hana vision yeye anachojua ni kudhurura tu nchi za watu
Huyu ndie tunaemtaka sasa, mnasema alikua mzuri lkn mifukoni kulikauka sasa hivi hata sukari ifike elfu 10 tunalalamika kidogo lkn uwezo wa kununua tunao.
 
Sawa jiwe alikua muuaji na mtesaji. Ila huyu chui jike ndio haeleweki anatembea na beat gani

Tusilaumu, bali tushauri na kutia moyo utawala, tukizingatia hali na mazingira yaliopelekea uwepo wa awamu hii.
Lin pia ole kwa wale wanaotumia hali hizo kupotosha, kuvuruga au kujinufaisha kwa namna yoyote ile. Wajue jinai haifi, mpaka iamuliwe na vyombo husika. Kuna kipindi, yote hayo yatakuwa wazi na wahusika watashughulukiwa.
 
Ni nani alizuia mkataba wa kuchata gas ambayo ndiyo hiyohiyo mali ghafi ya Urea? Kiwanda kikubwa Afrika Mashariki, kama si Afrika nzima, cha urea ilikuwa kijengwe Kusini. Nani aliyezuwia?
 
Wewe huoni vita vya Urusi na Ukraine??

Mwambieni huyo mkulima kwa sasa tunapigana vita kwanza, tukimaliza hizo vita tutalunguza na hizo mbolea, kwa sasa alime tuu bila mbolea
Bei ilipanda kabla ya vita mwaka jana mwezi wa 12 tatar ilikuwa 130,000_-
 
Ni nani alizuia mkataba wa kuchata gas ambayo ndiyo hiyohiyo mali ghafi ya Urea? Kiwanda kikubwa Afrika Mashariki, kama si Afrika nzima, cha urea ilikuwa kijengwe Kusini. Nani aliyezuwia?

Suala siyo kuzuia, bali ni sababu zilizopelekea kuzuia.
Lkn kama vingine viko juu ya namna na uwezo wako wa kufikiri basi bora ukae kimya.
 
Bei ilipanda kabla ya vita mwaka jana mwezi wa 12 tatar ilikuwa 130,000_-

Hatukatai, pengine vita nayo imechangia kwa kiasi fulani kupanda kwa bei. Lkn tunataka kuona kwa upande wetu ndani, ni hatua zipi zinachuliwa kudhibiti hilo hata kwa kiasi tu.
 
Suala siyo kuzuia, bali ni sababu zilizopelekea kuzuia.
Lkn kama vingine viko juu ya namna na uwezo wako wa kufikiri basi bora ukae kimya.
Sababu million za kutokufanya unaweza kuzipata muda wowote. Kuanza kufikiri sababu za kuzuwia kufanya kitu ni ujha wa hali ya juu, kama fikra zako ni hizo ni wakupewa pole tu.

Siku zote mafanikio huletwa kwa fikra za kufanya sio za kuzuwia, unapozishinda sababu za kuzuwia ndipo unakuwa na sababu za kufanya. Hutatuwi tatizo kwa kujiongezea matatizo.

Huna fikra za maana, una fikra za ujinga uliojazwa nao "systematically" kuanzia chekechea, umefundishwa kuziona changamoto (problems), hujafundishwa kuzuwia changamoro (prevent). Hilo ndilo tatizo lako.

Kwakukusoma tu, nimeona mawazo yako hayo finyu sana, maendeleo ya wenzako utayasoma kwenye mitandao tu.

Hujaja na wazo hata moja la kufanya, umeshikilia bango kutokufanya tu. Ujinga huo wa wazi wazi. Unaonesha kuanzia malezi yako nyumbani kwenu yalikuwa yakudhibitiwa tu, na kama hiyo haitoshi, Na shule ulizomeshwaa ikawa ni hayohayo ya kujazwa ujinga systematically. Huna jipya, una ya zamani tu.
 
Back
Top Bottom