Since magufuli na serikali ya sasa mji unakua kwa Kasi Tu, ila Wakati wa Nyerere ndio ulitelekezwa Hadi Kikwete era.Nimekuwa nikisikia sana kuwa jiji la Tanga halikui, linabaki hivyo hivyo miaka nenda miaka rudi. Sasa sijawahi kufika Tanga, je madai haya yana ukweli wowote?
Kama ni kweli serikali itafute namna ya kufufua hili jiji liendelee kukua. Wajenge hata vyuo vikuu, viwanda au namna yoyote tu jiji liwe alive.
Kwa Tanzania hatupaswi kuruhusu mji wowote ule usimame maendeleo maana bado tuna safari ndefu
Nasikia Moshi nako pamesimama. Kama ni kweli, inabidi tuandae mipango ya kuendeleza hayo maeneo. Sasahivi ni mapema sana mji wowote ule wa Tanzania kusimama maendeleo
View attachment 3554564View attachment 3554565
Kama ni kweli basi ni habari njema. Maana nimekuta TikTok watu walikuwa wanasema kuwa jiji limegandaSince magufuli na serikali ya sasa mji unakua kwa Kasi Tu, ila Wakati wa Nyerere ndio ulitelekezwa Hadi Kikwete era.
Viwanda vipya vikubwa ni vingi Sana, na Bomba la mafuta pia limechangamsha
Angalia data za NBS karibuni kwenye GDP, GDP per capita, Contribution ya makusanyo ya Serikali Etc utaona hivyo viashiria.Kama ni kweli basi ni habari njema. Maana nimekuta TikTok watu walikuwa wanasema kuwa jiji limeganda
Limeanza kukua upya baada ya uboreshaji wa Miundombinu hasa Bandari,Barabara na reli.Nimekuwa nikisikia sana kuwa jiji la Tanga halikui, linabaki hivyo hivyo miaka nenda miaka rudi. Sasa sijawahi kufika Tanga, je madai haya yana ukweli wowote?