Je, ni kweli kuwa Morocco ni Waarabu na si Waafrika?

Watajijua wenyew,ninachojua kombe hawabebi
wkatae uafrika wakubali sisi tunachojua mpaka kucheza world cup wametokea kwenye mashindano yaliyoandaliwa na CAF na wamecheza na ku qualify kupitia timu za Africa na kuwakilisha Africa wakiwa pamoja na Cameroun, Senegal, Ghana naTunisia. Na mpaka nafasi waliyofikisha tunaofaidika ni Africa na siyo Uarabuni kwa kuongezewa nafasi ya timu zinazoshiriki
 
safari yao inaishia nusu fainali, hawaendi kokote
 
  • Kama Morocco ni Arabs- basi Jamaica ni African na sio American
  • Pia Turky ni Arabs not European
  • Pia Hispania ni Arabs not European. Watabaki kuwa Africans dumu daima
 
Ila kwa mambo yetu sisi weusi siku hizi sishangai watu kutukataa
 
Naomba tuelewana iliyofungwa ni MOROKO na SIO AFRICA
 
mwafrika ngozi njeusi hao huwaoni hata rang?
 
Washenzi Ndio maana wamesha fyekilia mbali walahi
Mabwege kweli walahi [emoji2959]
 
Swal la ajabu uarabu Ni asili ya watu kutoka taifa la huko uarabuni Africa Ni bara na sio taifa
 

Achana na makoikoi hayo, waarabu hawawataki na wazungu hawawataki
Kaaazi kweli kweli walahi [emoji13]
 
Kwa damu ni waarabu. Ila wako bara la Africa.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Africa ina madaraja mawili:-
(1)Africa kusini ya jangwa
la Sahara (weusi)
(2)Africa ya kaskazini (waarabu)
Kusini ya jangwa la Sahara kasoro South Africa ni balaaa! Huku ndo kina kila shida (umaskini,magonjwa,ujinga n.k) Sio rahisi waseme wao ni Waafrica
Ethiopia wenyewe ukienda kule Wahabesh wanakuuliza "Are you from Africa?" Yaani Sub Saharan Continent ni wa kubaguliwa na kila race!!!
 
Nipe tano mkuu! Tabia za viongozi wa Africa kusini ya jangwa la Sahara hazifai kuigwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…