Dr Ahmed Albah-Shahwa
JF-Expert Member
- Apr 12, 2022
- 848
- 1,604
Morocco akiingia fainali mods fungeni hii akaunti.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wale ndugu zetu katika imaan! 😃Ila tabia ya wa Morocco kwa na mna flani inafanana na wale wanaosema kwao ni Oman.. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Just kidding
Sent from my MHA-L29 using JamiiForums mobile app
wkatae uafrika wakubali sisi tunachojua mpaka kucheza world cup wametokea kwenye mashindano yaliyoandaliwa na CAF na wamecheza na ku qualify kupitia timu za Africa na kuwakilisha Africa wakiwa pamoja na Cameroun, Senegal, Ghana naTunisia. Na mpaka nafasi waliyofikisha tunaofaidika ni Africa na siyo Uarabuni kwa kuongezewa nafasi ya timu zinazoshirikiWatajijua wenyew,ninachojua kombe hawabebi
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]Watajijua wenyew,ninachojua kombe hawabebi
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]Waache tu, kwa hayo majivuno na hivo viburi dawa yao inachemka,mizim ya Africa imekasrika itafanya jambo[emoji41]
mwafrika ngozi njeusi hao huwaoni hata rang?Morocco wamequalify kwa ajili ya SEMI-FINAL za world cup good news to Africa japo kuna rumours kuwa wao ni Arabs na so Africa na haya maneno yametoka kwao.
Well sisi sio kwamba tunawahitaji sana morocco lakini MOROCCO si Waarabu
1. Culture -utamaduni wa waarabu esp kwenye mavazi wanatofautiana sana na morocco. Asili ya mavazi ya morocco ni Africa na sio Arab, Chakula Waarabu ni RICE based food na Morrocco ni BREAD based food (mikate ya yesu)[emoji1], Linguistic wamorroco asili ya lugha yao si Kiarabu.
2. Geography -Nchi ya Morocco inapatikana Africa ya magharibi na sio Asia au bara lenye Arabs nafikiri kuwa karibu na Mecca imeeafanya kuzoea zaidi uarabu kuliko Africa.
3. Historically - watu wa kwanza kuitawala Morocco ni ROMANS in 2nd Century AD so hakuna trace zozote zinazoonyesha chimbuko la waarabu Morocco
BTW kama morocco hawapendi kuitwa Africans hilo sio tatizo ila wakumbuke WORLD CUP does not tell who is a real african and who is not.
Na sisi pia jamani tujitahidi kupambana tungekuwa na TIMU hata moja kutoka East Africa iliyofika hata 16 bora tusingekuwa watoto wa kufikia wa Morocco.
Lets find the way out
View attachment 2443361
Ila kwa mambo yetu sisi weusi siku hizi sishangai watu kutukataa
Waache tu, kwa hayo majivuno na hivo viburi dawa yao inachemka,mizim ya Africa imekasrika itafanya jambo[emoji41]
Swal la ajabu uarabu Ni asili ya watu kutoka taifa la huko uarabuni Africa Ni bara na sio taifaMorocco wamequalify kwa ajili ya SEMI-FINAL za world cup good news to Africa japo kuna rumours kuwa wao ni Arabs na so Africa na haya maneno yametoka kwao.
Well sisi sio kwamba tunawahitaji sana morocco lakini MOROCCO si Waarabu
1. Culture -utamaduni wa waarabu esp kwenye mavazi wanatofautiana sana na morocco. Asili ya mavazi ya morocco ni Africa na sio Arab, Chakula Waarabu ni RICE based food na Morrocco ni BREAD based food (mikate ya yesu)[emoji1], Linguistic wamorroco asili ya lugha yao si Kiarabu.
2. Geography -Nchi ya Morocco inapatikana Africa ya magharibi na sio Asia au bara lenye Arabs nafikiri kuwa karibu na Mecca imeeafanya kuzoea zaidi uarabu kuliko Africa.
3. Historically - watu wa kwanza kuitawala Morocco ni ROMANS in 2nd Century AD so hakuna trace zozote zinazoonyesha chimbuko la waarabu Morocco
BTW kama morocco hawapendi kuitwa Africans hilo sio tatizo ila wakumbuke WORLD CUP does not tell who is a real african and who is not.
Na sisi pia jamani tujitahidi kupambana tungekuwa na TIMU hata moja kutoka East Africa iliyofika hata 16 bora tusingekuwa watoto wa kufikia wa Morocco.
Lets find the way out
View attachment 2443361
Morocco wamequalify kwa ajili ya SEMI-FINAL za world cup good news to Africa japo kuna rumours kuwa wao ni Arabs na so Africa na haya maneno yametoka kwao.
Well sisi sio kwamba tunawahitaji sana morocco lakini MOROCCO si Waarabu
1. Culture -utamaduni wa waarabu esp kwenye mavazi wanatofautiana sana na morocco. Asili ya mavazi ya morocco ni Africa na sio Arab, Chakula Waarabu ni RICE based food na Morrocco ni BREAD based food (mikate ya yesu)[emoji1], Linguistic wamorroco asili ya lugha yao si Kiarabu.
2. Geography -Nchi ya Morocco inapatikana Africa ya magharibi na sio Asia au bara lenye Arabs nafikiri kuwa karibu na Mecca imeeafanya kuzoea zaidi uarabu kuliko Africa.
3. Historically - watu wa kwanza kuitawala Morocco ni ROMANS in 2nd Century AD so hakuna trace zozote zinazoonyesha chimbuko la waarabu Morocco
BTW kama morocco hawapendi kuitwa Africans hilo sio tatizo ila wakumbuke WORLD CUP does not tell who is a real african and who is not.
Na sisi pia jamani tujitahidi kupambana tungekuwa na TIMU hata moja kutoka East Africa iliyofika hata 16 bora tusingekuwa watoto wa kufikia wa Morocco.
Lets find the way out
View attachment 2443361
Africa ina madaraja mawili:-
Nipe tano mkuu! Tabia za viongozi wa Africa kusini ya jangwa la Sahara hazifai kuigwa!Mkuu Morocco ipo kaskazini mwa bara la Africa na si magharibi.
Na kuhusu kukataa kuwa sio nchi ya Africa na maoni yao, jeografia inaonyesha na wote duniani wanatambua kuwa ni nchi ya Africa.
Nafikiri umasikini, njaa, ujinga, siasa mbovu na upuuz mwngine wa nchi nying za Africa ndio sababu kuu ya wao kuukataa Uafrica. Na ukitazana wengi wana asili ya Kiarabu.
Note: Hakuna anaependa kuwa na ndugu mwenye sifa tajwa hapo juu.
Bado kuna watu,wanajipendekezaAchana na makoikoi hayo, waarabu hawawataki na wazungu hawawataki
Kaaazi kweli kweli walahi [emoji13]