Je, ni kweli kuwa ulimwengu huu ni kifungo cha nafsi?

Naam..
 
Wewe hayo umeyapatia wapi nyinyi ndo mnaanini vitabu vya maprofessa je hao nd wamekuumba wewe walikuwepo kipind Cha Adam na Hawa ujielewi acha kucopy na kupaste mungu akosei ss misingi yetu hpo katika dini na dini hyo nd umetupa upendo na ustaarabu sisi wenyewe nd tunafanya mzaa lkn bila dini we ungekuwa sio hpo mpk sasa maisha yko yangekuwa kama mnyama
 
Jimena naomba kujua kama nimekuelewa ujumbe wako unamaana kuwa nahitaji kuishi mimi kama ninavyojisikia ndani yangu kufuata ile kweli niliyonayo hasira,chuki,au changamoto yoyote isiwe kubwa kuliko dhamira na malengo yangu sheria na kanuni za manabii sio zangu ni zao wao maana yake nizishike zile sheria zitakazo fanikisha malengo yangu ya kweli maana yake sipaswi kuiga jambo lolote ambalo halipo ktk mfumo wa lile lililopo ndani yangu hii inamaana kuwa funguo ya ndoto zangu haziwezi kufunguka kwa kupitia funguo nyingine bali mimi mwenyewe!
 
mkuu samahani,wale waliokupa ujumbe kuhusu dini wao walikuwepo wakati adam na eva wanaumbwa?
 
Jimena shukran mkuu, elimu umeitoa 2016 nilkuwa mdogo kiufaham enzi hizo

yote ulioeleza nimejifunza 2023
umeongea ukweli ambao mtu aliemezeshwa fikra za uhalisia hawezi kuubeba

njia pekee ya kuweza kuujua ukweli ni kuweza "kuuwa natural fear" ambayo watu wamekuwa conditioned kuishi nayo

note:The third eye is you mind
 
Sasa ni wakati umefika wa wewe kuamka... Uijue kweli pasipo kutegemea mtu wala chochote
Kweli is beyond mind and words hata ukiijua huwezi kuielezea. Umejitahidi sana lakini watakao kuelewa ni wale waliofika au wale walionjiani kuelekea kwenye Kweli. Kudo sana
 
Elimu hii inapatikana Rohoni tuu. Hata Yesu alisema ilikuupata ufalme wa Minguni yakupasa uzaliwe mara ya pili. Kwa Mwili na kwa Roho. Pia alisema wamwabudio Mungu kiukweli wanapaswa kumwabudu kwa njia ya Roho na Kweli. KWELI ipo itafute nayo itakiweka huru.
 
Ni kweli. Hakuna sababu ya kujadiliana.
Hayo maarifa ya ulimwengu wa Roho unayosema, hayasemwi mahali pengine isipokuwa Dini.
Dini imekufunga usidadisi zaidi ya kuamini. Elimu ya kiroho au Spiritual knowledge inapatikana kwa vitendo vya kudadisi na tafakuri. Contemplation and meditation.
 
We umeshajipaka hiyo dawa ukaanza kuona hivyo vitu??

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi hadith za kuona nilizisikia kabla sijapata spiritual initiotion na kuzani kwenye meditation kunakuona kama theator za cinema hivi. Nimefanya meditation Lights and Sound kwa miaka 40 sasa uzoefu umenionyesha kwamba ukiona kitu au kusikia chochote wakati wa meditation unakuwa bado unastragle kwenye state of mind hiyo illusination or imagination. Real meditation states you see or hear nothing. Third eye ni additional sense of realizing things ambazo under normal awareness can not be easily complihanded kama vile kuiona kweli kwenye uongo.
 
Binafsi napenda hawa watu wa dini na vitabu vya injili na vingne wabaki na ujinga wao tu.

Kwa sababu ata ukiwaambia ukwel upo ndani yao hawata kuelewa kamwe .
 
Nadhani ndio maana mjani unatumiwa kama ibada kwa baadhi ya imani,

Ile kitu hata bila ya kujiuliza inafanya wewe ujijue ni nani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…