Tatizo la jukwaa hili upagani na uchawi mwingi mno! Uzi wako unatufundisha kumkataa Mungu, eti kwamba sisi wanadamu ndo kila kitu hakuna nguvu yoyote ina tu control!?
Nataka kukuambia, You are completely wrong! Kwanza ujue, nafsi ulionayo ama roho imetoka kwa Mungu, na chochote unachofanya liwe Jema au Baya utalitambua na utachukua uamuzi.
Ukitaka kujua upo free ama controlled chagua kufanya baya, wakati huo nafsi ikikushuhudia kwamba utendalo ni baya., hii ipo Automatic.
Nataka kusema, utakuwa huru tu pale utakapotenda lililo jema, na utakuwa mtumwa pale utakapotenda baya. Hii hutokana na roho ama pumzi ya Mungu tulio nayo sisi wanadamu.