msafiri.razaro
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 1,244
- 743
Swali naweza kuishi bila Muda au Nafasi?
Ni KUWA sio KUISHI, pale panapokosekana hizo diementions yaani (time and space) it means utakuwa life without body. But in the body you can experience hiyo state. Ni practise na descipline
Je Mtu anaishi kwa kuijua kweli akifa anaenda wapi?
Ukisha sema anaenda wapi, you are talking about moving to from one space to another kitu ambacho hakipo. Bali ana merge na suprime souls (attaining oneness with God) na kupata furaha ya milele ana choice ya kuzaliwa kwa special missions, tofauti na wengine yeye ana uchaguzi.
Je watu wote waliozaliwa je walisha wahi kuishi?
Ndio. Incarnation ipo mkuu.
Mwisho.
It is for choosen few. Wengi watasikia, wachache wataamini, katika walioamini, wachache zaidi watafanya uamuzi kuifuata hiyo kweli, na hata walioamuawa kuifuata hiyo kweli itajitokeza kwa wachache sana sana. It is only by grace of God that you can came across relation of Truth. Haita tokea, Dunia na Maumbile yote ni ya Mungu, Note:Creation is the game whereby God play by himself.
Sisi tulianza safari mwaka 1980 tulikuwa group la Disciples 40, todate only 3 tumefika salama, wengine bado hawaja ng'amua bado wanalumbana kwenye ulimwengu wa mawazo, wengine waliacha, wengine waliachana na miili yao hope wameshazaliwa kumalizia ngwe yao. Kumbuka lazima uwe at right place and right time with good people. Apart from few guidance from watu waliokutangulia safari ya kipekee.

In short kuwa kwenye nafsi ya kweli ni kuwa kwenye moment where there is no time or space (to be in moment state).
Nawezaje kuishi bila ya muda au nafasi?
Je mtu anaiyeishi kwakuijua kweli akifa anaenda wapi?
Watu wote wanaozaliwa je washawahi kuishi kabla?
Kama ndio je wote tukifa huku tukiijua kweli hakutazaliwa tena watu wengine?
Ahsante.