Mtego uliopo, ni kwa namna gani wewe mwanadamu utajua nguvu ulizonazo within? Kuna siku niliamua kukemea pepo, aisee lilihamanika sana...sikuwa na uzoefu kabla na mimi si mwana dini hapana, ila it worked out. Tangu nikiwa mtoto sijawahi kuota ndoto mbaya na nikashidwa, kama ni mchawi namfumua hatari..kama ni simba namtoa mbio balaa, kama ni nyoka basi hafui dafu nk.
Ni kwelli sisi wanadamu kila mmoja ana nguvu alizopewa, how to know? how tu utilize it hapo ndipo changamoto ilipo...YES.
Sasa si kila changamoto inayokupata ukimbilie kwa mganga ama kanisani kuombewa no, mtoa hoja upo sahihi jaribu nguzu zako within zinaweza kukutoa hapo ulipo kwenda unapotaka kuwa.
Ulimwengu huu umeumbwa kwa sheria, hapa huyo mchawi ama mganga, ama mtu wa dini anatumia sheria hizo.