Je, ni kweli kuwa ulimwengu huu ni kifungo cha nafsi?

Dini za uongo ni zipi taja tatu
 
Hawezi kulijibu kwasababu hakuna uongo mahala popote katika hilo bandiko
Mmeusoma uzi wako na nmeuelewa vizuri kabisa.

Swali kwako Jimena:

Hivi unaamini uwepo wa Mungu?
Je unaamini uwepo wa uchawi

Japo swali linaweza kuonekana liko nje ya mada lakin naomba unijibu.
 
Yep, wewe pia umeshaamka, hongera, tuendelee kueneza taarifa hizi ili tuzidi kuamsha ndugu zetu....
 
Kwahiyo kwa kutojua uhai ulianzaje ndio mkaamua kumuumba mungu sio?
acha ubishi kijana ww ni kiumbe wa Mungu na bado Mungu anakupenda licha ya kiburi chako cha uzima ulicho nacho.Humjui muumba mwenye enzi kuu ungemjua muumba mwenye enzi kuu ungeheshimu neno lake
 
Hapana
Hapana
Ukiuliza maswali yanayomuhusu Mungu wanasema eti unakufuru.
Wakati unauliz ili upate kumfahamu na kumwabudu ktk roho na kwel.
Anyway ngoja nirudi zangu Kf wasije kusema akufuru bure
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…