Je, ni kweli kuwa ulimwengu huu ni kifungo cha nafsi?

Ukiuliza maswali yanayomuhusu Mungu wanasema eti unakufuru.
Wakati unauliz ili upate kumfahamu na kumwabudu ktk roho na kwel.
Anyway ngoja nirudi zangu Kf wasije kusema akufuru bure
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Wanakwambia hivyo ili usiendelee kuhoji ukaona udhaifu wake.
 
acha ubishi kijana ww ni kiumbe wa Mungu na bado Mungu anakupenda licha ya kiburi chako cha uzima ulicho nacho.Humjui muumba mwenye enzi kuu ungemjua muumba mwenye enzi kuu ungeheshimu neno lake
[emoji115] [emoji115] [emoji115] na [emoji116] [emoji116] [emoji116] rudini kwenye mada sasa
Kwahiyo kwa kutojua uhai ulianzaje ndio mkaamua kumuumba mungu sio?
 
Kwa kipindi kirefu sasa nimesikia mafundisho ya kwamba dunia hii ni kifungo cha nafsi na roho za watu... na pia wapo watu mahsusi kwa kazi ya kufungua hizi nafsi na roho zilizofungwa.

Kwanza kabisa ningependa ndugu zangu tutambue ya kwamba sisi binadamu tupo katika ASTRAL, inamaana kwamba hakuna tofauti yeyote ile katika ulimwengu unaoonekana na usiooneka, Vitu ambavyo unaweza kuvijua au kuexperience wakati umekufa pia unauwezo wa kuvitambua sasa, hivyo basi jukumu ni lako kama utataka kuvijua sasa au hadi pale utakapoonja mauti,

Katika hii dunia tunayoishi kila kitu kipo katika kanuni au sheria ambazo zinawezesha huu ulimwengu kufanya kazi zake sawia, hivyo kwa kila jambo ambalo linapata kutokea hapa duniani lina sababu zake, na sababu ndio huleta matukio... sasa ningependa mtambue hapa duniani hakuna aina yeyote ile ya miujiza, kwa sababu miujiza ni kitu ambacho hutenda kazi kinyume cha sheria za ulimwengu huu, hivyo basi ili miujiza ili iweze kutenda kazi ni lazima ifuate kanuni na sheria...

Je, tutaendelea kuita ni miujiza? Kuibuka kwa neno muujiza ni kukosa kwetu maarifa ya kutambua kanuni na sheria za ulimwengu huu.

Hii dunia au ulimwengu sio jela wala kifungo cha nafsi wala roho za watu na wala haitakuja kuwa hivyo.

Kama utakuwa unajua chochote kuhusu LAW OF ATTRACTION utaweza kutambua ya kwamba kitu chochote unachokielekezea nguvu(energy) ndivyo kitu hicho kitazidi kukua au kuongezeka, ina maana kwamba kama watu watazidi kuelekeza nguvu zao katika mambo wasiyoyataka au mabaya ndivyo watakavyozidi kuzalisha na kuyakaribisha wasiyoyataka na mabaya zaidi ya hapo mwanzo, au utashangaa kitu gani kuona mpingaji au mkemeaji wa vitu asivyovitaka akivifanya hivyohivyo anavyopinga?

Jaribu kuchunguza maeneo ambayo kuna mafundisho mengi ya kukemea vitu vibaya au vile wasivyovitaka hali ikoje? Ndugu zangu ningependa mtambue ya kwamba vitu vibaya au vile tusivyovitaka kamwe haviwezi kuondolewa kwa kuvifikiria vitu hivyo au kuviwekea nguvu... labda kama tutakuwa na uhitaji wa makubwa yake.

Ni watu pekee ambao huleta matatizo na kukimbia matokeo ya kile walicho kileta ndio hukimbilia kusema uwepo wa kufungwa kwa nafsi na roho zao katika huu ulimwengu, na ndio aina ya watu hawahawa hubaki kunyosha vidole vyao katika mambo mabaya tu, huona mabaya yanayofanya na papa au vatican, huona mabaya ya Rothischilds family, huona mabaya ya malkia wa uingereza, huona mabaya ya U.S.A n.k bila ya kujua watu hawa huelekeza nguvu(energy) zao katika maisha na mambo yao wenyewe kuwa kweli, na sisi pia kwa kiasi kikubwa huendeleza maisha yao kuwa kweli kwa kuwekeza nguvu(energy) zetu kwao.

Ndugu zangu hapa duniani hakuna nafsi wala roho ya mtu yeyote iliyo kifungoni... ila matatizo yote haya yameanzia pale tulipo ukimbia mwanga,mwanga wa kweli hivo tukaanza uoga na kuamini tusivyovijua, na kwa uoga huohuo hatuwezi kuhoji juu ya kile tunachoamini, imefika hatua kwamba watu wanatamani kufa na kwenda kuishi mbinguni, lakini swali la kujiuliza ni kwamba kama maisha ya duniani umeyashindwa je una uhakika upi kama ya mbinguni utayaweza? Maana mbinguni ni kama duniani(As above as below).

Ndugu zangu baada ya kupita na kukua kimwili huu ni wakati muafaka wa kukua kimaarifa, tuache kuwa kama watoto wadogo wanaolalamika bila ya kuchukua hatua zozote zile, huu ni wakati wa kushika majukumu yako na kuacha kunyosha vidole na kuhukumu wengine, maana pale unavyomhukumu mtu pia ujue hata wewe pia unajihukumu, ila mbaya zaidi hutaishi.....

Watu ambao huwataki ndivyo wao wenyewe walivyoamua kuwa hivyo, je ni vipi kwa wale ambao hawakutaki pia? Je si kwa jinsi wewe ulivyoamua kuwa hivyo?... Ni vigumu sana ndugu zangu kuibadilisha dunia ila dunia ni rahisi sana kukubadilisha wewe, lakini jambo la kufurahi ni kwamba dunia haiwezi kukubadilisha bila mwenyewe kukubali, hivyo lengo la mhimu ni kubadilika mwenyewe, Vatcan sio wamiliki wa hii dunia, Alpha draconis hawatatengeneza maisha yako, Reptlians hawana mamlaka yeyote juu yako, Freemasons, Illuminat Rosscrucian, Skull & bones je hawa wote wana nini na wewe? Kwanini unapoteza nguvu zako kwao?

Wana jamvi mimi nimeona wakati unakuja, na saa imeshafika na ndio tunayo sasa ya kila mmoja wetu kuitambua kweli, kweli ambayo itakuweka huru, na hii kweli ndio itakuwa mwanga wako, nawe utakuwa nuru hapa ulimwenguni, na jambo la kuzingatia ni kuwa hii kweli haiuzwi wala haitolewi bure.

Huu si wakati tena wakushika vitu usivyovijua wala kuwa na uhakika nao, ila kweli ya kweli ipo ndani yako mwenyewe... je hamkusikia ya kwamba unabii hutoka ndani ya mtu mwenyewe? Maana humo ndimo kuliko na kweli yake. Huu ndio wakati wa kila mtu kujiunganisha na chanzo halisi kutoka ndani yako mwenyewe bali si kutoka nje...

Hapo ndipo utagundua uwezo na nguvu ulizonazo, hapo ndipo utagundua wewe ni nani na umetoka wapi na kwanini upo hapa duniani.

Najua itakuwa ni vigumu kueleweka maana lengo la mtumwa ni kuwa huru ila sio habari za kufikiri kuurithi ufalme. Na hapa duniani hakuna mtu yeyote aliyemfungwa, na kama ingekuwa hivyo basi watu wote tungekuwa wafungwa wenye hali sawa, je hizi tofauti zilizipo zinatokea wapi? Je nitakuwa nimekosea kusema hawa wanaotutoa kifungoni ndio waliotuweka? Je wanashindwa nini kumkamata na kumfunga yule anayetufunga? Na je kama ni kweli wanatoa watu vifungoni inakuwaje tena ufalme wao unazidi kuimalika siku hadi siku? (Hamtachelewa kusema nakufuru)

Ndugu zangu sisi tu huru, na hakuna mtu yeyote awezaye kutufunga zaidi ya sisi wenyewe, hakuna kiongozi yoyote wa dini wala mganga yeyote mwenye mamlaka juu yako isipokuwa wewe mwenyewe... na hakuna mtu yeyote awezaye kuifungua kweli iliyo ndani yako zaidi yako mwenyewe, ni wewe tu uliye na hizo funguo, je mpaka sasa hujatambua wale wa kutoka nje wanaosema kukufungua ndivyo huzidi kukufunga zaidi kwa kukuamrisha kipi ufanye na kipi usifanye, na hata wao ndio huamua ni jinsi gani wewe uishi?

Hii ndiyo kweli ambayo leo kwa ujasiri nimepata kuja kuishuhuduia mbele yenu, kwa sababu sasa umefika wakati wa kuamka... AMKA...AMKA...AMKA. sitaweza kukwambia hiyo kweli ni nini, na inatafutwaje maana ipo ndani yako wewe na wala sio kwangu... sitataka kuendeleza kukupa mafunzo ya uongo ili uipate hiyo kweli yako... ila cha kukusaidia ni wewe kufungua macho na ubongo wako na sasa jaribu kuangalia dunia yako katika kona tofauti...

Ni kwa njinsi hii tuliupenda ulimwengu... hivyo tupo hapa kwa dhamira zetu wenyewe... na hakuna yeyote anayepaswa kulaumiwa kwa chochote kile.

Msisahau ya kuwa hakuna kitu kinachotokea kwa bahati mbaya, kila unachokifanya kina matokeo yake yawe ni mabaya au mazuri.

TUENDELEE KUISHI KWA AMANI NA UPENDO!!
naludi
 
Jimema amani ya Bwana iwe nawe?
Angalia red highlighted,zisome kwa umakini
Ningependa kujifunza kutoka kwako,kutokana na ulicho andika "kifungo" unamanisha nini? je ni fact au ni opinion watu wakiwa katika kifungo ni lazima wawe sawa kwa kila kitu?
Napenda kujua "mwanga wa kweli" ulio ongelea ni upi au unamanisha kitu gani?
Miujiza ni kitu kinachokuwa tofauti na kawaida iliyozoeleka na wanadamu au kitu kinachovunja/shinda natural laws kwa mfano kutembea juu ya maji,kupona ugonjwa ambao hauna tiba.Sasa naomba maelezo ya ziada umesema miujiza ni lazima zifuate sheria ingawa hukusema sheria zipi.Funguka please.
Najua hauamini katika mambo ya Mungu na naona umeandika kiujanja hukutaka kuwa direct lakini nimeelewa kusudi lako la kujifunika katika uandishi wako.
Nakubaliana na wewe kwa yale niliyohighlight blue.Lakini unatakiwa kujua kwamba ufahamu wetu uko limited kwa baadhi ya mambo that is why wengi mambo ya body,mind and soul topic hii wengi inawasumbua.Kile kitabu amabacho huwa unakisoma ila haumwamini Mungu aliyetajwa humo kuna sehemu kina sema mtu hayajui mambo ya rohoni isipo kuwa roho aliyemo ndani yake.
Naomba unielimishe wewe au mtu mwingine napenda kufahamu tuwe wazi ili watu wajue hasa tunaposema "jicho la tatu" tunamanisha nini haswa.
Mungu (samahani najua hauamininuwepo wake lakini no way niruhusu nimtaje) alimuumba mwanadamu ambaye ni mwili,nafsi na roho.Roho inapotengana na mwili(i.e nafsi ya uhai ambayo Mungu alimpulizia mtu) ikitoka tunasema mtu amekufa lakini ki uharisia nafsi na roho hazifi,hizo ndizo uhukumiwa na Mungu(kwa luhga nyepesi ili mwandamu aelewe assume nafsi ni ubongo wa roho katika ulimwengu wa roho,huwezi tenganisha nafsi na roho).Hivyo sikubaliani na wewe uliposema yale unayoweza kuyajua ukifa unauwezo wa kuyajua ukiwa hai,take it from me kama Mungu hajakufunulia you will never know.Mwili hutumika kutekeleza maamuzi ya nafsi au kuonyesha khari ya nfsi ya mtu,kwa mfano ukiwa na huzuni mwili utaonyesha hari ya uzuni,sasa ukifa ,roho na nafsi haziko ndani ya mwili tena zinakuwa katika ulimwengu mwingine.Kwa lugha nyingine kifo ni njia ya mtu kupelekwa katika ulimwengu mwingine usio onekana.
Kuna baadhi ya mambo mwandamu atayajua na mengine hataweza kwa mfano mipaka ya ulimwengu huu unajua iko wapi?
 
Niko kwenye eneo ambalo siwezi kuandika kwa kirefu... Ila naomba univumilie ntakujibu vizuri sana nikitulia
Wakati huo huo wengine wanaweza kukujibu
 
Uko sahihi kabisa
Swali lingine ninalojiuliza..!
Ni kuwa hao waliotuletea dini(whites) sasa hivi wao hawazifuati tena.. yani imebaki kwa wachache tu.
Nachelea kusema kuwa huenda wao walileta dini ili waweze kututawala sisi wa Africa kwa urahisi zaidi na wao wameamua kuachana nazo kwa sababu huenda wameona hazina tija kwao tena

NB: Kabla whites&Arabs hawajaleta Africa dini tulikuwa tunaabudu miungu mingine na tulikuwa tuanafanikiwa pindi tuiombapo
 
Mkuu Aqua sikukuquote kwa sababu maelezo yako ni marefu na kwa hakika yangesumbua wale wanaotumia simu ila nakujibu kama ifuatavyo:-

Kifungo kama neno lenyewe lilivyo, sikuwa na maana tofauti.
Ndio watu wakiwa katika kifungo wanapaswa wawe sawa kwa kila kitu kwasababu wote ni wafungwa. Haiwezekani mi nawewe tuwe gereza moja kisha tuwe tofauti kwa kila kitu.

Nikisema mwanga wa kweli namaanisha Kujitambua

Hakuna miujiza mkuu, na wala haitakuja kuwepo kukosa kwetu wa kujitambua ndio kunafanya mambo yakitendeka tuone miujiza. Hapo zamani pia hawakuwahi kujua kama inawezekana watu kuwasiliana kama njia hii tunayoitumia mimi na wewe kwao huu ni mujiza mkubwa ila kadri maarifa yalivyoongezeka hayo yamewezekana.
Kuhusu kutembea juu maji meli zinafanya hivyo kila siku.

Uko sahihi kabisa kuwa mimi sio mtu wa imani za kale na wala sijawahi kujificha kwenye uzi huu au wowote ule kama unavyodhani

Ufahamu wa mwanadamu sio Limited mkuu Aqua bali sisi wenyewe tu na ndio maana nimesisitiza sana watu kuamka

Kuhusu mwili kutenganishwa na roho jaribu kufanya Astral Projection tuone kama hutaweza kutoka nje ya mwili.
Hata ukifa hakuna kipya... Stori toka vitabu za kale zisikudanganye kabisa.

Mwisho kabisa naomba ufafanuzi kuhusu mipaka, sijaelewa unaongelea mipaka iliyotenganisha ulimwengu na wapi

Asante sana mkuu Aqua Natumai nimekujibu vyema maswali yako, ila kama utakuwa hujaridhika na majibu yangu usisite kuuliza kwa ufafanuzi zaidi.
 
"What does the Bible say about an out of body experience / astral projection?"

Information about the "out-of-body” experience is both vast and subjective. According to Wikipedia, one out of ten people claims to have had an out-of-body experience (OBE), and there are many different types of the experiences claimed. They range from involuntary out-of-body experiences or near-death experiences that happen after or during a trauma or accident, to what is called “astral projection" in which a person voluntarily tries to leave his/her body behind and ascend to a spiritual plane where he/she believes he/she will find truth and clarity.

A few famous Christians have had what might be called, in today’s world, an out-of-body experience, most notably the Apostle Paul. He says in 2 Corinthians 12:1-4, "I must go on boasting. Although there is nothing to be gained, I will go on to visions and revelations from the Lord. I know a man in Christ who fourteen years ago was caught up to the third heaven. Whether it was in the body or out of the body I do not know—God knows. And I know that this man—whether in the body or apart from the body I do not know, but God knows—was caught up to paradise. He heard inexpressible things, things that man is not permitted to tell." In the verses preceding this passage, Paul lists his "boasts" or the things that, if he were counting on works and good deeds to secure his salvation, would get him into heaven. Though he seems to be referring to a third party, scholars agree that he is speaking of himself in the third person. Therefore, he is including this apparent out-of-body experience in his list of boasts. The point he is making is that any revelation that comes from outside the Bible (extra-biblical revelation) is not a reliable source, and as Paul says, "There is nothing to be gained by it." This does not mean that his out-of-body experience wasn't real, only that he is not relying on it to give him truth or really to benefit himself or other people in any way.

An involuntary out-of-body experience or a near-death experience, like the Apostle Paul's, should be treated in the same way as a dream in the life of a Christian—an unexplained phenomenon that may make a good story, but does not give us truth. The only place we find absolute truth is in the Word of God. All other sources are merely subjective human accounts or interpretations based on what we can discover with our finite minds. The book of Revelation, or John's vision, is an exception to this, as are the prophecies or visions of the Old Testament prophets. In each of those cases, the prophets were told that this was a revelation from the Lord, and they should share what they had seen because it was directly from the mouth of God.

A voluntary out-of-body experience, or an “astral projection,” is a different story. A person trying to achieve an out-of-body experience in order to connect with spirits or the spirit world is practicing the occult. There are two forms of this. The first is called the “phasing” model, in which the person tries to find new spiritual truth by accessing a part of the mind that is "shut off" during everyday life. This practice is connected to Buddhism or postmodernism and the belief that enlightenment is achieved from looking within oneself. The other form, called the “mystical” model, is when the person tries to exit the body entirely, his/her spirit traveling to another plane that is not connected to the physical world at all.

The Bible explicitly warns against occult practice, or sorcery, in Galatians 5:19-20, saying that those who practice it will not inherit God's kingdom. God's commands are always for our good, and He commands us to stay far away from occult practices because there is great potential, when trying to access the spiritual world, of opening oneself up to demons who can tell us lies about God and confuse our minds. In Job 4:12-21, Eliphaz describes being visited by a lying spirit in a vision that tells him God does not regard humans and that He doesn't care for us, which is false! The phasing model is also futile, according to Scripture. Jeremiah 17:9 says, "The heart is deceitful above all things and desperately sick; who can understand it?" and 1 Corinthians 2:1-5 says, "When I came to you, brothers, I did not come with eloquence or superior wisdom as I proclaimed to you the testimony about God. For I resolved to know nothing while I was with you except Jesus Christ and him crucified. I came to you in weakness and fear, and with much trembling. My message and my preaching were not with wise and persuasive words, but with a demonstration of the Spirit's power, so that your faith might not rest on men's wisdom, but on God's power." It is futile to search for infinite wisdom inside the finite mind of man.

In conclusion, whatever sort of out-of-body experience we are talking about, the main point to remember is that an out-of-body experience will give us neither truth nor knowledge. If an involuntary out-of-body experience occurs in the life of a Christian, the best approach would be to consider it in the same category as a dream—interesting, perhaps, but not a source of truth. Christians are to find truth only in the words of God, as Jesus prays in John 17:17, "Sanctify them in the truth; Your word is truth."
 
Ukishatoka kwenye box njoo tujadili hoja sasa
 
ww hujui nachoongelea ni nini kuingia gizani namahanisha ni kutenda dhambi ndio maana tunakufa kama upo kwenye mwanga ww utakuwa haufi na ni mkamilifu 100% na haukosei chochote kwa ufupi umekamilika kila kitu!!
je ni kweli ww ni mkamilifu, haufi, haukwazi mtu yeyote, hisia zako vp!!!
Dini nyingi zinafundisha uongo eti kwamba kumbukumbu hubaki mtu anapokufa ha uendelea kuhisi, kupenda na kuchukia je ni kweli Biblia inasema ivyo ukisoma

Kwa maana walio hai wanajua kwamba watakufa;+ lakini wafu, hawajui lolote kamwe,+ wala hawana malipo tena, kwa maana kumbukumbu lao limesahauliwa.+ 6 Pia, upendo wao na chuki yao na wivu wao tayari zimepotea, 10 Yote ambayo mkono wako unapata kufanya, yafanye kwa nguvu zako zote, kwa maana hakuna kazi, wala utungaji wala ujuzi wala hekima katika Kaburi, mahali unapokwenda.” *Mhubiri 9:5, 6 10.

Pia, upendo wao na chuki yao na wivu wao tayari zimepotea

zaburi 146:4
Roho yake hutoka,+ naye hurudi kwenye udongo wake;+
Siku hiyo mawazo yake hupotea.+

hiyo ni baadhi ya mistari michache tu

PAKUA KITABU HIKI UTAELEWA KUSUDI HASA LA MUNGU NA UTAMPENDA ZAIDI HAUTAMWONA MKATILI KAMA DINI ZA UWONGO ZINAVYOFUNDISHA
PAKUA HAPA
1- unavyosema mtu ukiwa kwenye mwanga haufi unakuwa unamaanisha nini ?...je paulo, musa, yohana, marko n. k. hawakufa Kama yule gavana wa kirumi ? je hata yule masiha aliyetoka kwa bwana je ?...au unaweza kunitajia mmojawapo aliye kwenye mwanga ambaye hafi ?
2-Asilimia kubwa ya watu wanaosali ni kwa ajili ya hofu. ...na hofu yao kubwa ni kifo tu, na wanaogopa kifo kwa sababu hawajajitambua ... na hawajitambui kwa sababu masiko yao, akili zao, macho yao, hisia zote wamezitoa kwa bwana mungu wao.
je ndugu yangu haikuandikwa ya kuwa MPENDE BWANA MUNGU WAKO, KWA MOYO WAKO WOTE, KWA AKILI ZAKO ZOTE NA NGUVU ZAKO ZOTE ?... Jaribu kuwa makini kwa kujiangalia ndani yako, maana hiyo ni sehemu pekee utakayomuona...
najua siku utakayokuwa tayari utaacha kuwapakua miungu wengine.
#nimekuona ndugu ... Sasa wewe ni dreva, na dreva anayejiamini hategemei kuendesha weekend (jmos/jpill) tu, kwa kuogopa challenge barabarani.
 
Kwa kipindi kirefu sasa nimesikia mafundisho ya kwamba dunia hii ni kifungo cha nafsi na roho za watu... na pia wapo watu mahsusi kwa kazi ya kufungua hizi nafsi na roho zilizofungwa.

Kwanza kabisa ningependa ndugu zangu tutambue ya kwamba sisi binadamu tupo katika ASTRAL, inamaana kwamba hakuna tofauti yeyote ile katika ulimwengu unaoonekana na usiooneka, Vitu ambavyo unaweza kuvijua au kuexperience wakati umekufa pia unauwezo wa kuvitambua sasa, hivyo basi jukumu ni lako kama utataka kuvijua sasa au hadi pale utakapoonja mauti,

Katika hii dunia tunayoishi kila kitu kipo katika kanuni au sheria ambazo zinawezesha huu ulimwengu kufanya kazi zake sawia, hivyo kwa kila jambo ambalo linapata kutokea hapa duniani lina sababu zake, na sababu ndio huleta matukio... sasa ningependa mtambue hapa duniani hakuna aina yeyote ile ya miujiza, kwa sababu miujiza ni kitu ambacho hutenda kazi kinyume cha sheria za ulimwengu huu, hivyo basi ili miujiza ili iweze kutenda kazi ni lazima ifuate kanuni na sheria...

Je, tutaendelea kuita ni miujiza? Kuibuka kwa neno muujiza ni kukosa kwetu maarifa ya kutambua kanuni na sheria za ulimwengu huu.

Hii dunia au ulimwengu sio jela wala kifungo cha nafsi wala roho za watu na wala haitakuja kuwa hivyo.

Kama utakuwa unajua chochote kuhusu LAW OF ATTRACTION utaweza kutambua ya kwamba kitu chochote unachokielekezea nguvu(energy) ndivyo kitu hicho kitazidi kukua au kuongezeka, ina maana kwamba kama watu watazidi kuelekeza nguvu zao katika mambo wasiyoyataka au mabaya ndivyo watakavyozidi kuzalisha na kuyakaribisha wasiyoyataka na mabaya zaidi ya hapo mwanzo, au utashangaa kitu gani kuona mpingaji au mkemeaji wa vitu asivyovitaka akivifanya hivyohivyo anavyopinga?

Jaribu kuchunguza maeneo ambayo kuna mafundisho mengi ya kukemea vitu vibaya au vile wasivyovitaka hali ikoje? Ndugu zangu ningependa mtambue ya kwamba vitu vibaya au vile tusivyovitaka kamwe haviwezi kuondolewa kwa kuvifikiria vitu hivyo au kuviwekea nguvu... labda kama tutakuwa na uhitaji wa makubwa yake.

Ni watu pekee ambao huleta matatizo na kukimbia matokeo ya kile walicho kileta ndio hukimbilia kusema uwepo wa kufungwa kwa nafsi na roho zao katika huu ulimwengu, na ndio aina ya watu hawahawa hubaki kunyosha vidole vyao katika mambo mabaya tu, huona mabaya yanayofanya na papa au vatican, huona mabaya ya Rothischilds family, huona mabaya ya malkia wa uingereza, huona mabaya ya U.S.A n.k bila ya kujua watu hawa huelekeza nguvu(energy) zao katika maisha na mambo yao wenyewe kuwa kweli, na sisi pia kwa kiasi kikubwa huendeleza maisha yao kuwa kweli kwa kuwekeza nguvu(energy) zetu kwao.

Ndugu zangu hapa duniani hakuna nafsi wala roho ya mtu yeyote iliyo kifungoni... ila matatizo yote haya yameanzia pale tulipo ukimbia mwanga,mwanga wa kweli hivo tukaanza uoga na kuamini tusivyovijua, na kwa uoga huohuo hatuwezi kuhoji juu ya kile tunachoamini, imefika hatua kwamba watu wanatamani kufa na kwenda kuishi mbinguni, lakini swali la kujiuliza ni kwamba kama maisha ya duniani umeyashindwa je una uhakika upi kama ya mbinguni utayaweza? Maana mbinguni ni kama duniani(As above as below).

Ndugu zangu baada ya kupita na kukua kimwili huu ni wakati muafaka wa kukua kimaarifa, tuache kuwa kama watoto wadogo wanaolalamika bila ya kuchukua hatua zozote zile, huu ni wakati wa kushika majukumu yako na kuacha kunyosha vidole na kuhukumu wengine, maana pale unavyomhukumu mtu pia ujue hata wewe pia unajihukumu, ila mbaya zaidi hutaishi.....

Watu ambao huwataki ndivyo wao wenyewe walivyoamua kuwa hivyo, je ni vipi kwa wale ambao hawakutaki pia? Je si kwa jinsi wewe ulivyoamua kuwa hivyo?... Ni vigumu sana ndugu zangu kuibadilisha dunia ila dunia ni rahisi sana kukubadilisha wewe, lakini jambo la kufurahi ni kwamba dunia haiwezi kukubadilisha bila mwenyewe kukubali, hivyo lengo la mhimu ni kubadilika mwenyewe, Vatcan sio wamiliki wa hii dunia, Alpha draconis hawatatengeneza maisha yako, Reptlians hawana mamlaka yeyote juu yako, Freemasons, Illuminat Rosscrucian, Skull & bones je hawa wote wana nini na wewe? Kwanini unapoteza nguvu zako kwao?

Wana jamvi mimi nimeona wakati unakuja, na saa imeshafika na ndio tunayo sasa ya kila mmoja wetu kuitambua kweli, kweli ambayo itakuweka huru, na hii kweli ndio itakuwa mwanga wako, nawe utakuwa nuru hapa ulimwenguni, na jambo la kuzingatia ni kuwa hii kweli haiuzwi wala haitolewi bure.

Huu si wakati tena wakushika vitu usivyovijua wala kuwa na uhakika nao, ila kweli ya kweli ipo ndani yako mwenyewe... je hamkusikia ya kwamba unabii hutoka ndani ya mtu mwenyewe? Maana humo ndimo kuliko na kweli yake. Huu ndio wakati wa kila mtu kujiunganisha na chanzo halisi kutoka ndani yako mwenyewe bali si kutoka nje...

Hapo ndipo utagundua uwezo na nguvu ulizonazo, hapo ndipo utagundua wewe ni nani na umetoka wapi na kwanini upo hapa duniani.

Najua itakuwa ni vigumu kueleweka maana lengo la mtumwa ni kuwa huru ila sio habari za kufikiri kuurithi ufalme. Na hapa duniani hakuna mtu yeyote aliyemfungwa, na kama ingekuwa hivyo basi watu wote tungekuwa wafungwa wenye hali sawa, je hizi tofauti zilizipo zinatokea wapi? Je nitakuwa nimekosea kusema hawa wanaotutoa kifungoni ndio waliotuweka? Je wanashindwa nini kumkamata na kumfunga yule anayetufunga? Na je kama ni kweli wanatoa watu vifungoni inakuwaje tena ufalme wao unazidi kuimalika siku hadi siku? (Hamtachelewa kusema nakufuru)

Ndugu zangu sisi tu huru, na hakuna mtu yeyote awezaye kutufunga zaidi ya sisi wenyewe, hakuna kiongozi yoyote wa dini wala mganga yeyote mwenye mamlaka juu yako isipokuwa wewe mwenyewe... na hakuna mtu yeyote awezaye kuifungua kweli iliyo ndani yako zaidi yako mwenyewe, ni wewe tu uliye na hizo funguo, je mpaka sasa hujatambua wale wa kutoka nje wanaosema kukufungua ndivyo huzidi kukufunga zaidi kwa kukuamrisha kipi ufanye na kipi usifanye, na hata wao ndio huamua ni jinsi gani wewe uishi?

Hii ndiyo kweli ambayo leo kwa ujasiri nimepata kuja kuishuhuduia mbele yenu, kwa sababu sasa umefika wakati wa kuamka... AMKA...AMKA...AMKA. sitaweza kukwambia hiyo kweli ni nini, na inatafutwaje maana ipo ndani yako wewe na wala sio kwangu... sitataka kuendeleza kukupa mafunzo ya uongo ili uipate hiyo kweli yako... ila cha kukusaidia ni wewe kufungua macho na ubongo wako na sasa jaribu kuangalia dunia yako katika kona tofauti...

Ni kwa njinsi hii tuliupenda ulimwengu... hivyo tupo hapa kwa dhamira zetu wenyewe... na hakuna yeyote anayepaswa kulaumiwa kwa chochote kile.

Msisahau ya kuwa hakuna kitu kinachotokea kwa bahati mbaya, kila unachokifanya kina matokeo yake yawe ni mabaya au mazuri.

TUENDELEE KUISHI KWA AMANI NA UPENDO!!
Binadamu ni roho yenye nafsi ilifungwa kwenye nyuma ya udongo iitwayo mwili...roho hii iliyopo kifungoni itakuwa huru siku itakapo jitenga na mwili...wewe na bill gates wote mpo kifungoni..ingawa MNA tofauti kubwa za kipato ila mnafanana kitu kimoja kwamba wote mmefungwa kwenye nyumba ya udongo.
 
Unaweza kunithibitishia kuhusu hicho kifungo?
 
Mkuu umesema kuwa umefika wakati wa kuifahamu kweli ili kweli ituweke huru,,,
Mahali uliponichanganya ni pale uliposema "kweli haiuzwi na wala haitolewi bure".
Ufafanuzi please...
 
1- unavyosema mtu ukiwa kwenye mwanga haufi unakuwa unamaanisha nini ?...je paulo, musa, yohana, marko n. k. hawakufa Kama yule gavana wa kirumi ? je hata yule masiha aliyetoka kwa bwana je ?...au unaweza kunitajia mmojawapo aliye kwenye mwanga ambaye hafi ?
2-Asilimia kubwa ya watu wanaosali ni kwa ajili ya hofu. ...na hofu yao kubwa ni kifo tu, na wanaogopa kifo kwa sababu hawajajitambua ... na hawajitambui kwa sababu masiko yao, akili zao, macho yao, hisia zote wamezitoa kwa bwana mungu wao.
je ndugu yangu haikuandikwa ya kuwa MPENDE BWANA MUNGU WAKO, KWA MOYO WAKO WOTE, KWA AKILI ZAKO ZOTE NA NGUVU ZAKO ZOTE ?... Jaribu kuwa makini kwa kujiangalia ndani yako, maana hiyo ni sehemu pekee utakayomuona...
najua siku utakayokuwa tayari utaacha kuwapakua miungu wengine.
#nimekuona ndugu ... Sasa wewe ni dreva, na dreva anayejiamini hategemei kuendesha weekend (jmos/jpill) tu, kwa kuogopa challenge barabarani.
wote tumirithi dhambi ya adamu alazima tufe na tufufuliwa Yesu ameweka mfano Mathayo 10:39
 
Sasa kama kufa ni kwasababu ya dhambi mbona Yesu pia alikufa?
YESU alikufa na kufufuka hicho ni kielezo kwamba wote wanaomwamini Yehova Mungu wanaweza kushinda kifo hata kama watakufa Yehova anaweza kuwafufua
 
Back
Top Bottom