Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndugu ... wewe unaelewa nini hasa kuhusu 1-dhambi 2-kufufuliwawote tumirithi dhambi ya adamu alazima tufe na tufufuliwa Yesu ameweka mfano Mathayo 10:39
nafikiri ni kwa sababu ni kitu kilicho ndani yako... hivyo huwezi kununua.Mkuu umesema kuwa umefika wakati wa kuifahamu kweli ili kweli ituweke huru,,,
Mahali uliponichanganya ni pale uliposema "kweli haiuzwi na wala haitolewi bure".
Ufafanuzi please...
Asante kwa kumpa ufafanuzi.nafikiri ni kwa sababu ni kitu kilicho ndani yako... hivyo huwezi kununua.
na kuhusu kutotolewa bure nafikiri alimaanisha huwezi kuiona/kuipata kirahisi... hivyo inahitaji juhudi zako binafsi
Mkuu kama wao walituletea dini na sasa hawazifuati hiyo haiondoi uwepo wa Mungu,kwani hujawahi kukutana da daktari mlevi sana au anavuta sigara sana( chain smoker) na akakushauri wewe kama mgonjwa uache kuvuta sigara au kunywa pombe?je Dr. yeye kutokufuata kile alichokuambia kuna badilisha uhalisia wa madhara utakayo yapata?Swali lingine ninalojiuliza..!
Ni kuwa hao waliotuletea dini(whites) sasa hivi wao hawazifuati tena.. yani imebaki kwa wachache tu.
Nachelea kusema kuwa huenda wao walileta dini ili waweze kututawala sisi wa Africa kwa urahisi zaidi na wao wameamua kuachana nazo kwa sababu huenda wameona hazina tija kwao tena
NB: Kabla whites&Arabs hawajaleta Africa dini tulikuwa tunaabudu miungu mingine na tulikuwa tuanafanikiwa pindi tuiombapo
Nini kinakufanya uamini Biblia maana kuna contradiction za kutosha, sasa kama kweli ni kitabu cha Mungu anaejua kila kitu mbona kina makosa mengi kuliko hata vitabu visivyoitwa vya MunguMkuu kama wao walituletea dini na sasa hawazifuati hiyo haiondoi uwepo wa Mungu,kwani hujawahi kukutana da daktari mlevi sana au anavuta sigara sana( chain smoker) na akakushauri wewe kama mgonjwa uache kuvuta sigara au kunywa pombe?je Dr. yeye kutokufuata kile alichokuambia kuna badilisha uhalisia wa madhara utakayo yapata?
Take your time jifunze mambo haya kwa undani.Biblia inasema ile njia ya uzima ni nyembamba na imesongwa na miiba,sasa kama ulaya wamebaki wachache wanao amini,hiyo haifanyi Mungu kutokuwepo.Mungu ana watu wengi tu wanaom wabudu katika roho na kweli wewe kutokuamini au kuacha kumwamini ,trust me hasara ni yako mwenyewe.
Watu wasio amini katika uwepo wa Mungu wako katika kifungo ila hawajitambui na tunapojaribu kuwaamsha bado hawajitambui.
Watu wanaamini wanasayansi ambao leo wapo hai kesho wamekufa kuliko kumwamini Mungu,mambo mengi katika science kuna "assumption kibao" kila siku wanagundua .
Swali kwenu msioamini mnadhamni wanasayansi wakigundua kuna jambo linalohatarisha maisha ya dunia hii wataaambia?Trust me hawawezi kwani watasababisha hofu dunia nzima kitu ambacho si kizuri.
I have never been in the box my dear,the thing that you do no t know about me I know most of the things that you know and I know a lot of things that have been hidden from you because of the choice you made not to believe in the living God.Ukishatoka kwenye box njoo tujadili hoja sasa
soma kwa umakini ninayoyaandika,neno la Mungu lina uhai,biblia si kitabu cha kusoma kama kitabu kingine tena ukitumia akiri zako za kibinadamu kureason utapotea.Mapungufu unayoyaona au kusema ni mapungufu yanasababishwa na uelewa wetu wanadamu kuhusu neno la Mungu,natamani ningekutana na wewe physically ila ulisema uko nje ya Tanzania.Biblia haijipingi ila mwanadamu anaweza akajipinga katika ufahamu wake.Hicho unachokisema biblia inajipinga kimesababisha wakristo wengi wasiosoma maandiko wahamie kwa mungu mwingine wakidhani Mungu ni mmoja.Adui amekuwa akitumia biblia au mistari ya biblia kupoteza wakristo ambao hawajawekeza katika kumjua Mungu wao.Nini kinakufanya uamini Biblia maana kuna contradiction za kutosha, sasa kama kweli ni kitabu cha Mungu anaejua kila kitu mbona kina makosa mengi kuliko hata vitabu visivyoitwa vya Mungu
unafungua vipi jicho la tatu!? je ni jicho kwa maana ya jicho?,au unamaana nyingine ambayo sijaielewa kidogoMkuu werrason huwezi kuukimbia ukweli, hujachelewa, lifungue sasa na upate kujua ukweli maana umo ndani yako
Mkuu mimi binafsi nimeomba nielimishwe tunaposema jicho la tatu tunamanisha kitu gani hasa,watu wako kimnya.Inawezekana tuna tabia ya kutumia vitu tusivyovijua vinamanisha nini na hii ni hatari.Jimema hukunijibu hili swali langu.unafungua vipi jicho la tatu!? je ni jicho kwa maana ya jicho?,au unamaana nyingine ambayo sijaielewa kidogo
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]I have never been in the box my dear,the thing that you do no t know about me I know most of the things that you know and I know a lot of things that have been hidden from you because of the choice you made not to believe in the living God.
You're not two of you. You're only one.Mtaifahamu KWELI na hiyo KWELI itawaweka huru:thank u my JESUS!.Dunia itapita na mambo yake yote ila NENO lake ndani yangu litadumu hata milele,
Sasa hapa kwenye uzi huu tutakuwa tunatoka nje ya mada ila kiukweli yapo mengi sanasoma kwa umakini ninayoyaandika,neno la Mungu lina uhai,biblia si kitabu cha kusoma kama kitabu kingine tena ukitumia akiri zako za kibinadamu kureason utapotea.Mapungufu unayoyaona au kusema ni mapungufu yanasababishwa na uelewa wetu wanadamu kuhusu neno la Mungu,natamani ningekutana na wewe physically ila ulisema uko nje ya Tanzania.Biblia haijipingi ila mwanadamu anaweza akajipinga katika ufahamu wake.Hicho unachokisema biblia inajipinga kimesababisha wakristo wengi wasiosoma maandiko wahamie kwa mungu mwingine wakidhani Mungu ni mmoja.Adui amekuwa akitumia biblia au mistari ya biblia kupoteza wakristo ambao hawajawekeza katika kumjua Mungu wao.
Ukiacha kuamini biblia kama neno la Mungu,ukiangalia aliyofanya Yesu hata wafuasi wake leo wanafanya na hii ndivyo inavyotakiwa kwa Mungu aliye wa kweli ,matendo yake hayatakiwi kufa akifa nabii au mtume.Kanisa la kwanza walitenda miujiza hata leo ipo,waliponya wagonjwa hata leo wagonjwa wanaponywa,pepo wanatolewa hata leo.Hii ni tofauti kwa imani zingine this is not the case.
Kwa mfano kuna sehemu Yesu aliwaambia wayahudi kwamba Mussa kwa sababu ya ugumu wa mioyo yenu aliwaambia.....Labda toa mifano ya sehemu ambapo inajipinga kama nikiwa na uwezo wa kukuelimisha au wengine wenye ufahamu watakusaidia.
Mojawapo najua ni issue ya pombe,nakumbuka baadhi ya thread.Taja jambo jingine
Labda sikuwa nimeliona mkuu Aqua au pengine uliuliza maswali mengi kwa mapigoMkuu mimi binafsi nimeomba nielimishwe tunaposema jicho la tatu tunamanisha kitu gani hasa,watu wako kimnya.Inawezekana tuna tabia ya kutumia vitu tusivyovijua vinamanisha nini na hii ni hatari.Jimema hukunijibu hili swali langu.
Mkuu wanaojigamba kuwafungua wenzao hii elimu wanayo. Bali wanaitumia vibaya kwa kuwa dhurumu wenzao.Sasa tufanye nini ili watu wajitambue? Na kufahamu ya kuwa ni wajibu wa kila mmoja kueneza elimu hii?
Asante sana mkuu
Kuhusu namna ya kufungua third eye chakra hata hapa JF kuna thread mbali mbali zinazoongelea swala hilounafungua vipi jicho la tatu!? je ni jicho kwa maana ya jicho?,au unamaana nyingine ambayo sijaielewa kidogo
Mi navyoona watu wenyewe ndio ambao hawataki kujua, wamejijengea mazingira ya kutoelewa kutokana na sababu zao hata kama wakielimishwaMkuu wanaojigamba kuwafungua wenzao hii elimu wanayo. Bali wanaitumia vibaya kwa kuwa dhurumu wenzao.
Kipi kinakufanya uamini katika bible wakati hata hiyo bible yenyewe imeandikwa na wanadamu.Mkuu kama wao walituletea dini na sasa hawazifuati hiyo haiondoi uwepo wa Mungu,kwani hujawahi kukutana da daktari mlevi sana au anavuta sigara sana( chain smoker) na akakushauri wewe kama mgonjwa uache kuvuta sigara au kunywa pombe?je Dr. yeye kutokufuata kile alichokuambia kuna badilisha uhalisia wa madhara utakayo yapata?
Take your time jifunze mambo haya kwa undani.Biblia inasema ile njia ya uzima ni nyembamba na imesongwa na miiba,sasa kama ulaya wamebaki wachache wanao amini,hiyo haifanyi Mungu kutokuwepo.Mungu ana watu wengi tu wanaom wabudu katika roho na kweli wewe kutokuamini au kuacha kumwamini ,trust me hasara ni yako mwenyewe.
Watu wasio amini katika uwepo wa Mungu wako katika kifungo ila hawajitambui na tunapojaribu kuwaamsha bado hawajitambui.
Watu wanaamini wanasayansi ambao leo wapo hai kesho wamekufa kuliko kumwamini Mungu,mambo mengi katika science kuna "assumption kibao" kila siku wanagundua .
Swali kwenu msioamini mnadhamni wanasayansi wakigundua kuna jambo linalohatarisha maisha ya dunia hii wataaambia?Trust me hawawezi kwani watasababisha hofu dunia nzima kitu ambacho si kizuri.