tejateja
JF-Expert Member
- Feb 26, 2015
- 1,620
- 971
Jicho la tatu hii ni nafsi yako /roho the true you.Ok,sasa kwa kuwa umeliona kama unalifahamu naomba utusaidie tunamanisha kitu gani hasa tukisema "jicho la tatu"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jicho la tatu hii ni nafsi yako /roho the true you.Ok,sasa kwa kuwa umeliona kama unalifahamu naomba utusaidie tunamanisha kitu gani hasa tukisema "jicho la tatu"
Ok,ngoja nifuatilie lakini kuna kitu napenda ujifunze,kuna post liweka in english ya mambo ya out of body experience,conclusion ilikuwa there is nothing to gain from it,you can not learn anything from it.Sasa hata hizo meditation zisizo za kimungu hamjifunzi chochote ndiyo maana hata hapa umeshindwa kutujibu unataka twende tufanye wenyewe ili na sisi tukamatwe kama mlivyokamatwa nyie na tusiamini kuna Mungu.Naenda you tube nitakujuza,biblia inasema "mioyo ina macho" sijui kama unajua?Soma efeso 1:18,nimekupa mfano tu jinsi biblia ilivyosheheni mambo ambayo wasomi na wanaojiona wana akiri wanaweza wasiyajue.Kuhusu namna ya kufungua third eye chakra hata hapa JF kuna thread mbali mbali zinazoongelea swala hilo
Hata YouTube kuna video kadhaa ambazo zinatoa mwongozo wa njia rahisi ya kufungua jicho la tatu.
Mi nakushauri meditate tu..... Kupitia meditation basi hata hilo jicho la 3 litafunguka pia na utapata kujitambua maradufu na kujua mengi sana ambayo ulikuwa ukidhani ni miujiza kumbe ni vitu vya kawaida tu.....
Mkuu swali ulilouliza nimeshamjibu Jimema,jitahidi kusoma post zingine pia ili tuwe on the sam page.Kipi kinakufanya uamini katika bible wakati hata hiyo bible yenyewe imeandikwa na wanadamu.
Bible iko na Backslashes nyingi sana hata kwa macho tu unaiona
Pole sana AquaOk,ngoja nifuatilie lakini kuna kitu napenda ujifunze,kuna post liweka in english ya mambo ya out of body experience,conclusion ilikuwa there is nothing to gain from it,you can not learn anything from it.Sasa hata hizo meditation zisizo za kimungu hamjifunzi chochote ndiyo maana hata hapa unshiundwa kutujibu unataka twende tufanye wenyewe ili na sisi tukamatwe kama mlivyokamatwa nyie na tusiamini kuna Mungu.Naenda you tube nitakujuza,biblia inasema "mioyo ina macho" sijui kama unajua?Soma efeso 1:18,nimekupa mfano tu jinsi biblia ilivyosheheni mambo ambayo wasomi na wanaojiona wana akiri wanaweza wasiyajue.
Pia biblia inasmea mwezi una mwanga mdogo,wanasayansi wanasema mwezi hauna mwanga wake.Je nani ni sahihi kati ya mwanadamu na Mungu?
Je unajua kama magharibi kwako ni Mashariki kwa wengine?Jua likizama unapoishi linazama Magharibi lakini likiwa linazama kwako maana yake linakuwa linachomoza kwa wengine walioko upande wa pili wa dunia.How come upande mmoja uwe ni magharibi na mashariki?Kuna kitu kinaitwa "the four agreement" ,mambo mengi wanadamu tunafanya ni makubaliano , mengine inawezekana si sahihi bali tunakubaliana tu.
Ole wao wanao soma maandiko ili waikosoe injiri.
Ndio kila utakachokifanya kitakuwa sahihi kwasababu hatutaenda against of nature.Nimejaribu kusoma Mara nyingi zaidi na kwa uelewa wangu nimekuwa na maswali zaidi kuliko majibu.kuhusu ulimwengu kama kila mtu ana fikra zake tofauti je anachofikiria ni sahihi? labda kila mtu akiishi kwa vile anavyoamini hakutakuwa na tatizo baadae?Mwisho wa huu ulimwengu ni nini kama kila mtu atafanya anavyotaka?
Mtu anaye mwamini Mungu hana hofu zaidi ya kuwa na hofu ya Mungu(Kuweni na hofu ya Mungu msitende dhambi) kuna tofauti ya kuwa na hofu na kuacha kufanya kitu,kama nimejieleza nina hofu nimekosea.Meditation za kimungu sina hofu nazo ila hizo zenu za elimu ya kibinadamu ziwezi kuzifanya kwani naweza fungua milango,si wewe mwenyewe umekuja hapa uliota umekuwa nyoka.Maana yake nafsi yako inaweza wekwa kwenye mwili wa nyoka na nilkuambia maana yake hauna ulinzi your vulnerabla ila kwa sababu umefungukwa na hutaki kupokea elimu mpya that is why you are who you are.Pole sana Aqua
Hapo inaonyesha ni kwa jinsi gani ulivyo na hofu. Kama una uhakika na unachokiamini hofu inatoka wapi??
Mi siwezi kukwambia kuwa labda ukimeditate itakuwa hivi na vile kwasababu tu sitaki kuwa Muongo, pale ni ufahamu wako wewe sasa mi ntaujuaje??
Ile sio kama kukariri verse za kwenye Bible lile ni swala la wewe kufungua ufahamu wako binafsi.
Hiyo post niliisoma ila niliamua kuiacha kwavile uliongea kitu usichokijua kabisa hivyo sikupenda kupoteza muda wangu
Bwana yu nawe siku zote. Haiwezekani mkawa wawili.Ok,sasa kwa kuwa umeliona kama unalifahamu naomba utusaidie tunamanisha kitu gani hasa tukisema "jicho la tatu"
Hofu ni hofu tu mkuu hebu acha kujustify basiMtu anaye mwamini Mungu hana hofu zaidi ya kuwa na hofu ya Mungu(Kuweni na hofu ya Mungu msitende dhambi) kuna tofauti ya kuwa na hofu na kuacha kufanya kitu,kama nimejieleza nina hofu nimekosea.Meditation za kimungu sina hofu nazo ila hizo zenu za elimu ya kibinadamu ziwezi kuzifanya kwani naweza fungua milango,si wewe mwenyewe umekuja hapa uliota umekuwa nyoka.Maana yake nafsi yako inaweza wekwa kwenye mwili wa nyoka na nilkuambia maana yake hauna ulinzi your vulnerabla ila kwa sababu umefungukwa na hutaki kupokea elimu mpya that is why you are who you are.
Kwahiyo mheshimiwa unapotutaka tusome biblia bila kutumia akili zetu unataka tutumie za ng'ombe au kasuku?soma kwa umakini ninayoyaandika,neno la Mungu lina uhai,biblia si kitabu cha kusoma kama kitabu kingine tena ukitumia akiri zako za kibinadamu kureason utapotea.Mapungufu unayoyaona au kusema ni mapungufu yanasababishwa na uelewa wetu wanadamu kuhusu neno la Mungu,natamani ningekutana na wewe physically ila ulisema uko nje ya Tanzania.Biblia haijipingi ila mwanadamu anaweza akajipinga katika ufahamu wake.Hicho unachokisema biblia inajipinga kimesababisha wakristo wengi wasiosoma maandiko wahamie kwa mungu mwingine wakidhani Mungu ni mmoja.Adui amekuwa akitumia biblia au mistari ya biblia kupoteza wakristo ambao hawajawekeza katika kumjua Mungu wao.
Ukiacha kuamini biblia kama neno la Mungu,ukiangalia aliyofanya Yesu hata wafuasi wake leo wanafanya na hii ndivyo inavyotakiwa kwa Mungu aliye wa kweli ,matendo yake hayatakiwi kufa akifa nabii au mtume.Kanisa la kwanza walitenda miujiza hata leo ipo,waliponya wagonjwa hata leo wagonjwa wanaponywa,pepo wanatolewa hata leo.Hii ni tofauti kwa imani zingine this is not the case.
Kwa mfano kuna sehemu Yesu aliwaambia wayahudi kwamba Mussa kwa sababu ya ugumu wa mioyo yenu aliwaambia.....Labda toa mifano ya sehemu ambapo inajipinga kama nikiwa na uwezo wa kukuelimisha au wengine wenye ufahamu watakusaidia.
Mojawapo najua ni issue ya pombe,nakumbuka baadhi ya thread.Taja jambo jingine
Kwa jinsi nilivyoelewa... ni kwamba kama mtu akijitambua na kuielewa kweli iliyo ndani yake ni uhakika uliokamilika kuwa ndani ya mtu huyo kutakuwa na UPENDO. na upendo siku zote hutoka ndani ya mtu bali si nje, na ukiwa na upendo kamwe hutokuwa mtu wa lawama lawama kama thread inavyoelezea. lakini kama utaweza kuchunguza kwa umakini unaweza ukaniambia kama ni kweli huu upendo unaohubiriwa kila siku je tunautenda? je tunauishi? je unaonekana?... hivyo basi kuwahubiri watu wapendane ni kitu kilichoonekana kimeshindikanika... zaidi zaidi ni watu kuigiza UPENDO...JE unajua ni kwanini?Nimejaribu kusoma Mara nyingi zaidi na kwa uelewa wangu nimekuwa na maswali zaidi kuliko majibu.kuhusu ulimwengu kama kila mtu ana fikra zake tofauti je anachofikiria ni sahihi? labda kila mtu akiishi kwa vile anavyoamini hakutakuwa na tatizo baadae?Mwisho wa huu ulimwengu ni nini kama kila mtu atafanya anavyotaka?
Biblia iko kama katiba ya Tanzania vile..Mkuu swali ulilouliza nimeshamjibu Jimema,jitahidi kusoma post zingine pia ili tuwe on the sam page.
Kuandikwa na wanadamu si hoja,kwani wewe ulitaka aandike Mungu wakati Mungu ni roho na hufanya kazi na wanadamu.Fuatilia historia ya biblia ningekuletea tatizo niko busy na mengine makubwa zaidi kuliko haya maswali yenu.
For your record biblia imetumiwa kujua kwamba mahali Sahihi ulipo mlima Sinai,kama wewe na Christians wengine ambao mnadhani uko Misri ,mnatakiwa mjisogeze.Hii ni moja ya jambo ambalo inaonyesha biblia iko sahihi,nikusadie tu kwamba mlima Sinai pale ambapo Musa alipasua mwamba maji yakatoka uko Saudi Aarabia.Mlima huu ni eneo takatifu sasa ,kama ulikuwa hujui Wayahudi wanazuiwa sana kuingia Saudi Aarabia,lakini kama ni msomaji wa biblia Bwana aliwambai nchi yeyote watakayokanyaga atawapatia.Kama huwa haulali na unafuatilia kuna kipindi Wayahudi watu waliwashangaa kuitaka saudi Aarabia wakati hata population ya Saudi Arabia Wayahudi ni approximately zero.
Endeleeni kufungwa,mna macho lakini hamwoni mtasikia lakini hamtaelewa.Sasa kuna watu wanasema Mungu hakutimiza ahadi ya kuwapatia Isarel nchi yao lakini aliwapatia baba zao na akawaonya wakikosea atawatawanya katikati ya mataifa .hayo yalitokea,kuundwa kwa taifa la Israel tena ni kutimia kwa neno jingine la kurudishwa kutoka huko walikokuwa wametawanywa.Na hii ilitokea baada ya Hitler kufanya alichofanya.Mwenye masikio na asikie.
Upendo! sikufikiria kabla lakini kwanini kweli ya ndani ya nafsi ya mtu uje upendo tu? huoni kama nawe umetaka kila anayefikiria ulimwengu aje na majibu yako..hili ndo ulilomaanisha? Jimena.Kwa jinsi nilivyoelewa... ni kwamba kama mtu akijitambua na kuielewa kweli iliyo ndani yake ni uhakika uliokamilika kuwa ndani ya mtu huyo kutakuwa na UPENDO. na upendo siku zote hutoka ndani ya mtu bali si nje, na ukiwa na upendo kamwe hutokuwa mtu wa lawama lawama kama thread inavyoelezea. lakini kama utaweza kuchunguza kwa umakini unaweza ukaniambia kama ni kweli huu upendo unaohubiriwa kila siku je tunautenda? je tunauishi? je unaonekana?... hivyo basi kuwahubiri watu wapendane ni kitu kilichoonekana kimeshindikanika... zaidi zaidi ni watu kuigiza UPENDO...JE unajua ni kwanini?
hivyo basi upendo wa kweli hutoka ndani yako mwenyewe... maana humo ndimo kuliko na kweli yako!
Mkuu kuna mwalimu alitaka aonyeshe jinsi ambavyo alcohol si nzuri kwa mwanadamu.Akachukua glass mbili,moja akaweka maji na nyingine akaweka alcohol,kisha akaweka chambo(worms) kwenye glass zote mbili.Baada ya muda worms waliokuwa kwenye glass yenye alcohol walikufa.Kwahiyo mheshimiwa unapotutaka tusome biblia bila kutumia akili zetu unataka tutumie za ng'ombe au kasuku?
Ulimwengu hauna mwisho! labda uko sahihi kwa unachoamini.Naomba nieleweshe kitu unaposema "Against of nature" ni nani anaamua kwamba "do this,or don't do that because it is against of nature? au chochote anachofanya binadamu ni sawa asili yake inamruhusu?Ndio kila utakachokifanya kitakuwa sahihi kwasababu hatutaenda against of nature.
Swala sio kutenda kile unachokifikiri bali kuutafuta ukweli.
Na ukweli huu hauwezi kukuletea matatizo kwasababu utakuwa umeamka, umekuwa na upendo wa kweli na wala sio upendo unaosababishwa na hofu. Kweli itakuwa ndani yako
Ulimwengu hauna mwisho mkuu
Mkuu kuna mtun nimemjibu,lakini nilitaka nikuambie kitu si kwamba unapokuwa unasoma akili yako haihusiki,issue ya kuambiwa kuomba roho mtakatifu akuongoze katika kusoma kwako ni ili usije ukaelewa ndivy sivyo.Biblia iko kama katiba ya Tanzania vile..
Unakuta kifungu kimoja kinaonya, alafu kifungu kingine kinaidhinisha.
Hata uchukue Pastors waliosoma Biblia na kuona kuwa wameielewa, ukiwaambia watafsiri baadhi ya maneno utashangaa wanajikanganya na kila mtu kutoa maana yake tena zilizo tofautiana.
Ukiwauliza kuwa bible inanitatiza sijaielewa kabisa, utasikia wakisema "soma kiroho usitumia kusoma na akili ya kimwanadamu" sasa mlitaka nitumie akili gani labda?