Je, ni kweli kuwa Utumishi watapangia walimu vituo kwa kuchagua wenye GPA kubwa?

Mtu anamakarai ya kutosha alafu ndio mwalimu, wafanye hivyohivyo waanze na vipanga kwanza
 
Hello wakuu,

Kuna tetesi nimezipata kuwa Utumishi ,hawatawafanyisha usahili walimu, badala yake wame wamechagua selection criteria, nazo ni mwenye GPA kubwa atapata ajira.

Na tetesi zinasema kuwa below 3.0, unaweza husi
chaguliwe.

Je yanaukweli hayo? Na ni kweli mwenye GPA ya 4.0 anaweza kuwa mwalimu mzuri kuliko mwenyewe GPA ya 2.0?

Karibu

Katibu
Umemaliza Kwa swali ya kipima joto la itv ama? Nenda Uliza vyuo vikuu kwanini hawakuwahi badili kigezo Cha GPA kuajiri wakufunzi.

Miaka mitatu kozi msururu upate 2.0 it gives pipo hard times when comes to trustworthy.
Lakn tujiulize kama walikuwa wame shortlist. Wakiwaweka Tena Kwenye hiyo watapata Idadi inayotakiwa na wale wabunge wengi waliosimama wakidai Idadi ndogo ya walimu majimboni na wakajibiwa Kila Mmoja jibu Moja kuwa kibali kimeshatoka.
 
GPA sio kigezo kizurii
 
Back
Top Bottom