Je, ni kweli kuwa Utumishi watapangia walimu vituo kwa kuchagua wenye GPA kubwa?

Je, ni kweli kuwa Utumishi watapangia walimu vituo kwa kuchagua wenye GPA kubwa?

Hello wakuu,

Kuna tetesi nimezipata kuwa Utumishi ,hawatawafanyisha usahili walimu, badala yake wame wamechagua selection criteria, nazo ni mwenye GPA kubwa atapata ajira.

Na tetesi zinasema kuwa below 3.0, unaweza husi chaguliwe.

Je, yanaukweli hayo? Na ni kweli mwenye GPA ya 4.0 anaweza kuwa mwalimu mzuri kuliko mwenyewe GPA ya 2.0?

Karibu
Waanzie 2.7 ya masters is chini ya hapo kwisha habari yao
 
Mkuu yaan Graduate mwalimu akose GPA ya 3,,, kisa Yuko UDOM,kama Hana wenye nazo watapata,,,hii Dunia hakuna haki
Mbona wanangu wa udom na vyuo vikuu weng wataachwa maana GPA zao ni ndogo mno tofauti na vyuo vya private ma GPA makubwa makubwa
yuko
 
Mbona wanangu wa udom na vyuo vikuu weng wataachwa maana GPA zao ni ndogo mno tofauti na vyuo vya private ma GPA makubwa makubwa
KWAN ULIKATAZWA KUSOMA PRIVATE? WA PRIVATE BILA COURSE WORK YA 20 UFANYI UE, JE NYINYI UKO KWA SERIKALI VP? WA PRIVATE ANAKUA NA INTERACTION KUBWA NA LECTURERS WAKE MAANA MUDA MWNG WAPO AVAILABLE OFISN NA NDO SABABU KUBWA YA KUFAULU KWA WANAFUNZI, JE UKO SERIKALINI VP MALECTURERS UNAWAPATA MUDA WOTE UKIWA NA CHANGAMOTO? WA PRIVATE KERO ZAO ZNASIKILIZWA MAPEMA MNO NA UONGOZI HASA PALE LECTURERS WAKITAKA KUJFANYA MIUNGU WATU NA HUKU PIA MTEJA MFALME, JE HUKO SERIKALINI ZPI? BASI JUA KUNAFACTORS NYNG NJE YA MNAZOKARIRISHWA KWAMBA PRIVATE WANALEGEZEWA NDO MAANA WANA MAGPA MAKUBWA, WALE WALOSOMA PRIVATE WATAONGEZEA NYINGNE NYNY KOMAENI NA UDSM UDOM NA SUA HUKU MKIONDOKA NA GPA ZA 2.0 KWA ISHU AMBAZO NI NON ACADEMIC KABSA. MWISHO UWEZ FANANISHA TBC NA AZAMTV AU DSTV
 
Back
Top Bottom