Je, ni kweli kuwa Utumishi watapangia walimu vituo kwa kuchagua wenye GPA kubwa?

Umemaliza Kwa swali ya kipima joto la itv ama? Nenda Uliza vyuo vikuu kwanini hawakuwahi badili kigezo Cha GPA kuajiri wakufunzi.

Miaka mitatu kozi msururu upate 2.0 it gives pipo hard times when comes to trustworthy.
Lakn tujiulize kama walikuwa wame shortlist. Wakiwaweka Tena Kwenye hiyo watapata Idadi inayotakiwa na wale wabunge wengi waliosimama wakidai Idadi ndogo ya walimu majimboni na wakajibiwa Kila Mmoja jibu Moja kuwa kibali kimeshatoka.
Ngoja tuone,ila Vyuo vingine vinalegeza kwenye GPA
 
Wamemiss interview
sioni shida kufanyiwa interview mbona shule za binafsi walimu wanafanyishwa mitiani kuwapima kila mara ndani ya kipindi cha mwaka na wanafuatiliwa kikamilifu...walimu wapimwe tena kila mara na wachujwe tusifanye mchezo na elimu kwani hakuna mbadala wake
 
Wengi husema GPA kubwa sio uwezo wa kazi. OK. Je, kuwa na GPA ndogo ndio ishara ya uwezo mkubwa wa kazi? Jibu ni HAPANA kubwa. Watu wakifanana vigezo vingine ni salama zaidi kumchukua mwenye GPA kubwa.

GPA kubwa inamaanisha kuwa huyo mwanafunzi alikuwa na jitihada sana chuoni. Na pia inamaanisha kuwa ana uwezo mkubwa wa akili na kuelewa haraka kuliko mwenye GPA ndogo. Hivyo ukimuajiri atakuwa na jitihada pia kazini na atafundishika kirahisi vitu ambavyo havijui au hana uzoefu navyo.

Waajiri wanaangalia GPA. Nawapongeza sana. Sasa wewe baki kusema GPA kubwa sio uwezo wa kazi.
 
Noma sana wanakuambia vyuo vya private GPA zao ni rahisi kuzipata
 
Back
Top Bottom