Je ni kweli kuwa wanaume wafupi wanayajua mahaba....?

jamani babuu hata mvuto uwepo ati! unadhani ufupi tu unatosha?pia nimemaanisha wafupi sio mbilikimo
 

hizi tabia mbona nilizikia kuwa wanazo w.wake wafupi
 
Ni thithi baba thao,pamoja na mamathao tuliohapa! thithi ndio tunaowathaa wote mnaowaona huko,twataka muelewe ya kwamba thithi ni watu wathima thatha,ufupi thio hoja,kwani hata huko kwenu wapo wafuupi.
 
Okay okay we ukiwa tayari uni :A S 100: then nipite hapo ni :car: twende tuka do the nidfull :tea:weekend ndo ishaanza ivyoo....:bump:

Poa kaa mkao,soon nita...........
 

I guess this is an assault to short men
 
Ufupi ni nini? Nijuavyo mimi mtu anakuwa mfupi relative na fulani. Christiano Ronaldo ni mfupi kwa Yao Ming!!! Sasa mnaongelea ufupi upi? Au mtu mwenye 2SD (standard deviation) from normal population au wa watu wawili wanaofananishwa? Wewe ukiwa na sm 150 na partner wako ana sm 156.00009, basi wewe ni mfupi, na yeye ni mrefu. Ndio waongelea ufupi huo au ule ufupi wa kuvunja Record za Guiness!!!!
 
OZ acha kujifanya hujaelewa.kwani we mfupi au mrefu?
 
Karibu saaana, mimi ni mfupi ukilinganisha na mwingine ila najiona mrefu nikilinganisha nanihii, sasa karibu sana, nakubaliana na wazo lako ze festi ze ledi kwani huyu mke mwenzio hapa haishi kuniganda na kila siku kila saa ananisumbua, nimepokea sms asa ivi anasema nikamchukue kazini nimrudishe home anaumwa, lakini naelewa anachomaanisha, sasa jamani mmh kama ndo faida za ufupi mie nshachoka!!!
 
Hajarishi mfupi au mrefu, kazi kazi tu unakuwa mrefu na kazia unaiweza na unakuwa mfupi na kazi huiwezi.Inatgemea mtu na mtu bwana
 
Gy acha kujifanya ujui.si uniambie tu ili nijue nami ntafute mfupi wangu...!we jipime kama mfupi niambie shughuli yako,kama u mrefu utakuwa unajielewa.
 
hahaha ....Elli unavituko.usijipime kwa mtu mmoja ati..........!
 

ULIVYOANZA KUCHANGIA NIKAFIKIRI UNAUZOEFU NAO, KUMBE UMEOKOTA TU STORI ZA MTAANI, MAANA KAMA HUJUI SAIZI YA MFAGIO INA MAANA HUJAWAHI KUPATA MWANAUME SHOTII WAACHIE WANAOJUA WATUJUZE BWANA :hippie:
 
Gy acha kujifanya ujui.si uniambie tu ili nijue nami ntafute mfupi wangu...!we jipime kama mfupi niambie shughuli yako,kama u mrefu utakuwa unajielewa.

We mama yake babu wewe
 
Hayo mambo hayana mrefu au mfupi ni suala la ubunifu na utundu wa mhusika kwani hata kama utakuwa na " mpini" mpaka umevalishwa ringi ya kuzuia kuwa usizidishe kipimo unapoingia bado unaweza usimfurahishe mpenzi wako wakati kuna mtu ana kampini ka kawaida kabisa lakini gwaride analotoa mwanamke akitoka hapo anatafuta na maji baridi ya kunywa......
 
hahahahahahahahahahah!
LEEEGREEEEEENNND MAAAAAA SHAAPSHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!
 

Inawezekana saizi isiwe kitu lakini saizi ya kidole inataka bikira ati ndo radha isikike,lakini hivihivi ni soo............hizi saizi ndogo wanazo wenye vitambi,wamevifuga mpaka vinakula nyama za muhimu
 
hahahahahahahahahahahah!
SHIBOBOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…