smaki
JF-Expert Member
- Jan 23, 2019
- 4,976
- 3,098
Wewe nae zitto sijui umelewa maharage ya wapi.kwanza ujue kuwa hakuna Race ya Waarabu (Cauccasians) katika mashariki ya kati isipokuwa Dark brown skin ambao mnawaita Black Africans.ndiyo wenye asili ya pale, hayo majitu meupe unayoyaona hapo ni Greeks tupu na wametokana na Neandethal Genes pool,ambayo nayo yalipukutika sana karne ya nyuma kutokana na miingiliano ya makabila ya wawindaji huko Giblatar peninsula ndo wa mwisho kufa walipatikana hapo.sasa basi tukija kwa hawa Hellenistic yaani wazungu ma greek wao walipata nguvu ya kukalia maeneo hayo, kuzaliana na kutawala kwa miaka kadhaa pia kutapakaaa tangu enzi za Hellenisation military rule 130 BC.Dola la Warumi baadaye sana likaja nalo hapo ujue weupe wanaongezeka kwa idadi na mojawapo ya Amri kubwa ilokuwa ikitilewa na watawala wale ni kuoana tu kama alivo fanya Karume kule Zanzibar.
Na Mnamo Takribani vita ya karne ya saba AD(Crusade),Weusi walifurushwa kutoka Mesopotamia ya wakati huo na wengi wakakimbilia Kusini mwa jangwa laSahara mahali ambapo palikuwa salama zaidi kwao.na wakati huo Misri ilikuwa ni Taifa lenye neema kubwa kama unavoona Marekani ya leo. kwa maana hiyo weupe hawa ambao mnawaita waarabu walipatamani sana kutawala paleivo ikapelekea vita kubwa ya karne ya saba na kusababisha mateka wengi sana, na wakimbizi wengi walikwepa Strong empire za wakati huo kama;Cush empire za sudan ya sasa, na Ethiopia ya wakti huo kwani huko nako walikamatwa na kupelekwa utumwani tu.hivo basi kupitia pwani ya Yemen ya leo baadhi walipanda majahazi pale mpaka pwani ya Afrika mashariki wakaingilia Mlima kilimanjaro kutokea mashariki ya Bahari hindi na wengine wakitokea ziwa victoria kwa maana kuwa walifuata mto Nile.na wengine nao wakazidi kwenda Kusini zaidi baadhi yao Km Wazulu,waxhosa nk.nabii amos alisema kitambo kabla. hivi
amos 9;7 beyond the livers of cush my doughter will bring suppliants.na alisema hayo wakati akiwa Mashariki ya kati,yaani israel ya leo.kwa hiyo hakuna kabila la Waarabu weupe.bali greecs'