Je, ni kweli kuwa Wayahudi walikuwa weusi?

Neno Jews (wayahudi) si jamii Bali hii ni dini iliyoanzishwa na wana ukoo wa yuda kwa lengo la kumuabudu Mungu.
Baada ya wana wa Israeli kutawanyika kila pande za dunia, hiyo dini ikabaki haina mwenyewe, jamii mbali mbali zikaiga desturi zake nayo ikatawanyika huko ulaya, uturuki, marekani, urusi, ethiopia na irani ikapata wafuasi wapya.

Mtu yeyote toka pande zozote za dunia awe, mchina, mwarabu,mwafrika au mzungu akiwa mfuasi wa dini ya wayahudi ataitwa myahudi, haijalishi yeye ni muisraeli(damu ya yakobo) au laa.

Wale wayahudi wanaoitwa walowezi huko palestina ni wazungu toka ulaya na niwahumini wa dini ya wayahudi.
Hata Mimi Leo hii nikiwa muumini wa dini ya kiyahudi nitaitwa myahudi. pia naweza nikajiita muislamu,mkiristo au mpagani kama nikipenda.

Kwa hiyo mtu kuitwa myahudi haina mahusiano yoyote na damu ya yuda au wana wote wa yakobo.

Hata biblia inatambua hilo;

Ufunuo wa yohana 2:9

najua na matukano ya hao wasemao ya kuwa ni wayahudi, nao sio, bali ni sinagogi la shetani.

Akaendelea kusisitiza tena

ufunuo wa yohana 3:9

Tazama nakupa walio sinagogi la shetani wasemao kwamba ni wayahudi nao sio, bali wasema uongo.

Tusomeni maandiko.

"" watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa""
Kwakuonyesha tunasoma maandiko paragraph ya mwisho sio wanaangamia Bali wanaangamizwa
 
Waafrika ndo shida yetu ipo hapa.yesu alikuwa mweusi ukoo wake nao ukapotelea wapi?na hao weusi walienda wapi? Katika mashtaka yoote aliyoshtakiwa au matusi lisiwepo hata moja la kumsema kwanza ni mweusi? Daudi alikuwa na rangi gani?mweusi?

Waafrika tunahangaika sana na race yetu. Tunaweza jiaminisha lolote ili tupate faraja.ndo maana pia tunasema zamani waliogundua mambo walikuwa weusi.sasa wapo wapi wagunduzi weusi? Hamna. Israel ina wakazi wangapi weusi? Tuwe tunafikiria kidogo.

1. Ham ni baba wa weusi lakini sio baba wa negroes au wabantu ambao wameshathibitika kisayansi kuwa ndio Waisrael halisi hasa wa kabila la Lawi (Walawi).
2. Wimbo Ulio Bora 1:5-6, Mfalme Sulemani anajitanabaisha kuwa mweusi. Kumbuka huyu ni Muisrael
3. Waarabu wa asili ni weusi...
4. Uyahudi ni kabila pia dini. Wa uzao wa Yuda. Waisrael ama Wayahudi wengi wa leo walianza kama dini lkn baadae wakasema wao ni wa damu; Ashkenazi Jews...Ukiiangalia Mwanzo 10:1-3 utagundua Ashkenazi ni kizazi cha Yafethi, mtoto wa mwisho wa Nuhu. Israel hatokani na Yafethi bali Shem. Lakini leo hao Wayafethi wa Ashkenazi ndio Waisrael kwa asilimia kubwa!
5. Yesu alikuwa mweusi na atarudi mweusi. Ukiusoma Ufunuo 1:14-15 unamtaja Yesu katika ujio wa pili; sifa ainishwa hapo ni sifa za mtu mweusi
6. Tukumbuke Yesu mweupe na Wayahudi weupe wameanza kuwa mashuhuri mwishoni mwa karne ya 16. Hapo nyuma masanamu yote ya kanisa yalikuwa ya watu weusi: kuanzia Yesu, Yosefu, Maria, Mitume wote n.k
7. Wajuvi watajazia
 
🤣🤣🤣🤣 haya na wewe umechangia...

So alikuwa mweusi mwenye mvi ingali mtoto? 😂😂😂
Kweli wanawake mkimezeshwa mnaweza.,😂😂😂 Hakuna siku nmecheka kama leo.
Mkuu acha kejeli anachokisema Sky Eclat hajakitoa kichwani mwake kakitoa kwenye maandiko

Ufunuo 1
14 Kichwa chake na nywele zake zilikuwa nyeupe kama sufu nyeupe, kama theluji; na macho yake kama mwali wa moto;
15 na miguu yake kama shaba iliyosuguliwa sana, kana kwamba imesafishwa katika tanuru; na sauti yake kama sauti ya maji mengi.

Kwahiyo instead ya kumshambulia aliyetoa hoja ungeishambulia Biblia iliyotoa description hii ya ngozi ya Yesu kuwa ni nyeusi.
Screenshot_2018-12-10-12-17-34.png

Waafrika ndo shida yetu ipo hapa.yesu alikuwa mweusi ukoo wake nao ukapotelea wapi?na hao weusi walienda wapi? Katika mashtaka yoote aliyoshtakiwa au matusi lisiwepo hata moja la kumsema kwanza ni mweusi? Daudi alikuwa na rangi gani?mweusi?

Waafrika tunahangaika sana na race yetu. Tunaweza jiaminisha lolote ili tupate faraja.ndo maana pia tunasema zamani waliogundua mambo walikuwa weusi.sasa wapo wapi wagunduzi weusi? Hamna. Israel ina wakazi wangapi weusi? Tuwe tunafikiria kidogo.
Kuhusu waisrael kuwa weusi nimeshaeleza huko juu kuwa yakobo alizaa na watumwa wawili watoto 4 ambao wanatheolojia wanaclaim walikuwa na roots za kutoka misri ya kale ya watu weusi sasa mpaka hapo ina maana makabila 4 yalikuwa ni MEUSI.... let alone mtu kama musa alioa mke mweusi na waisrael kibao hata mfalme suleiman alifanya hivyo sasa huoni kuwa hoja ya kuwepo kwa wayahudi weusi ina mashiko???

JF intelligence ilitakiwa hoja ipingwe kwa hoja sio unakuja na kejeli kwa wanawake umenishangaza sana!! wakati hata wewe unayekosoa huna unalofahamu ndio maana ulishindwa ng'amua kuwa yesu mwenye nywele nyeupe imeandikwa wapi !!

Alafu inaonekana hujui historia huna habari kuwa kuna waisrael weusi kabisa wanaishi ethiopia na zimbabwe wanatambuliwa kuwa na Genes sawa sawa na waisrael wa kale...... Mind you makabila 10 ya Israel yalipotea so hata wwe huna ushahidi kuwa walikuwa wazungu kama hawa wa sasa.... Na kma huko zimbabwe na ethiopia kuna WEUSI wanatambuliwa wana share ''damu'' na Israel ya enzi hizo wewe ni nani kupinga wakati hata certificate ya archaeology hauna?

Beta Israel - Wikipedia

Lemba people - Wikipedia

Ukiamua kupinga kitu JF njoo na hoja sio mipasho kama Facebook....
 
hizi ndo sifa za Yesu?
sasa mbona umechukua moja tu hiyo ya nywele kama sufu, nyeupe kama theruji?
1. je yesu alipokuwa huko israel alikuwa na macho kama mwali wa moto?
2. je alikuwa na miguu kama shaba iliyosuguliwa sana?
3. je alipokuwa akiongea sauti yake ilikuwa kama maji mengi?

kama hamwelewi maandiko kwa nin

View attachment 962792

@Zitto Junior

dont panic just cool down. sawa cool down kijana. ngoja tukueleze sis ambao tunafahamu maana inawezekana kila siku unakutana na watu wasiofahamu wana kariri maneno yako na kudhania jinsi ambavyo umesoma kwenye mitandao na kutafsiri ni sahihi. na bahati mbaya you dont even aknowledge. jibu haya maswali

hizi ndo sifa za alivyokuwa Yesu?

kama hamwelewi maandiko kwa nini msiwaulize wanaoelewa? hizi sifa katika maisha ya yesu nitajie zinapatikana katika kitabu gani. na je kooote kwenye vitabu vyote vya injili wapi wamemzungumzia yesu hivi? au vitabu vya kinabii?

Ufunuo 1:16b...... na uso wake kama jua ukingiaa kwa nguvu zake."
Yesu alipokuwa Duniani alikuwa na sifa hizo? unafaham kitabu cha ufunuo kimeandikwa kwa ajili ya nyakati gani? nyie hamchelewi kusema pia yesu ni kondoo maana imeandikwa "tazama mwanakondoo wa Mungu aichukuaye dhambi ya dunia" haya mambo siyo ya kukariri au ukisoma kwenye mtandao unakuja kutafsiri huku kuwalisha matango pori wasio na uelewa.
Ufunuo 1

nikusaidie kitu. nenda pale udsm zamani ilikuwa ikiitwa ARCHAEOLOGY UNIT . kamuulize Dr Saanane au Dr Bushozi ( kwa uchache tu) atakwambia mimi ni nani. Mimi nimefanya Degree ya Archaeleogy (UDSM) na Masters ya Anthlopology Huko USA. sasa wewe kaa kudanganya watu. ukiwa challenged una panic na kujidai kutishia tishia watu na shule yako ya diploma. unachofanya wewe ni "kusoma soma" kwenye mitandano then una tafsiri basi unaona tayari wewe ni mtalaamu. ukikuta vilaza basi wanakuona kweli we mtaalamu.

Naogopa sana kutumia vitabu vya kidini kama vyanzo vya kihistoria. Lakini kwakuwa umechangia basi naomba nikujibu kwa kupitia hivyohivyo The Book Of Jubilees (The Book of Divisions) kinachozungumzia jinsi ambavyo Nuhu aliigawa dunia kwa wana wake ukisoma vizuri na ramani zake utaona matatizo yalipoanza.

Japheti, Shem na Ham walikutana na kuchagua kugawana dunia kwa vizazi vyao na baadae wakampeleka baba yao Nuhu hayo mapendekezo ambayo yeye kama mzazi aliyapitisha na kuongezea baadhi ya vitu. Alimpa Japheti eneo la Ulaya kuanzia kwenye ncha ya kaskazini ya dunia kuelekea mashariki, hapa ni ulaya yote. Alimpa Shem Asia maeneo ya mashariki ya kati na Asia. Ham alipewana maeneo ya bara la Afrika na Marekani kusini.

Tatizo lilikuja pale ambapo Kanaani alikataa kwenda Afrika kwenye eneo ambalo alipewa na babu yake na kuamua kubaki kwenye eneo lisilo lake. Ukisoma Jubilee 10:30-32 inaonyesha jinsi ambavyo Ham, Kushi na Mizarhimu walikuwa wanamkemea. Yeye bado akapinga na kukataa kuondoka, wakamlaani wakisema kwasababu umekaa kwenye ardhi isiyo ya kwako ulaaniwe wewe na vizazi vyako, vitaanguka na kufa vibaya katika hilo eneo. Wakaanani yaliwakuta kweli na walifutiliwa mbali na wahebrania.

Sasa mimi ninachouliza ni hiki tena:
Kwanini hivi vizazi vipotee tu kirahisi wakati huko Marekani kusini ushahidi wa weusi upo mkubwa ??
Hapo Mashariki ya kati kwa wana wa Ibrahimu wa kipalestina ambao baba yao Ishmaili alizaa sana na wanawake wuesi wa kikaanani na kuchanganya nao damu hadi leo hii ni kimetokea hao weusi hawapo ?
jibu ni rahisi waliuwawa mmoja baada ya mwingine kwani muarabu hajajifunza mauaji kwa kashogi
 
hizi ndo sifa za Yesu?
sasa mbona umechukua moja tu hiyo ya nywele kama sufu, nyeupe kama theruji?
1. je yesu alipokuwa huko israel alikuwa na macho kama mwali wa moto?
2. je alikuwa na miguu kama shaba iliyosuguliwa sana?
3. je alipokuwa akiongea sauti yake ilikuwa kama maji mengi?

kama hamwelewi maandiko kwa nin
Ww umekejeli wanawake ndio mmi nakuelewesha kuwa kacopy na paste biblia ilichosema sasa wanawake wanaingiaje hapo??.... Sasa ww ulitakiwa umkosoe kuwa biblia haikumaanisha hivyo in lateral meaning ila kuanza mkejeli mtu bila kutoa hoja mbadala JF intel haikuwa meant kwa hayo mambo hilo ndio nilitaka ufahamu.
 
@Zitto Junior

dont panic just cool down. sawa cool down kijana. ngoja tukueleze sis ambao tunafahamu maana inawezekana kila siku unakutana na watu wasiofahamu wana kariri maneno yako na kudhania jinsi ambavyo umesoma kwenye mitandao na kutafsiri ni sahihi. na bahati mbaya you dont even aknowledge. jibu haya maswali

hizi ndo sifa za alivyokuwa Yesu?
sasa mbona umechukua moja tu hiyo ya nywele kama sufu, nyeupe kama theruji?
1. je yesu alipokuwa huko israel alikuwa na macho kama mwali wa moto?
2. je alikuwa na miguu kama shaba iliyosuguliwa sana?
3. je alipokuwa akiongea sauti yake ilikuwa kama maji mengi?

kama hamwelewi maandiko kwa nini msiwaulize wanaoelewa? hizi sifa katika maisha ya yesu nitajie zinapatikana katika kitabu gani. na je kooote kwenye vitabu vyote vya injili wapi wamemzungumzia yesu hivi? au vitabu vya kinabii?

Ufunuo 1:16b...... na uso wake kama jua ukingiaa kwa nguvu zake."
Yesu alipokuwa Duniani alikuwa na sifa hizo? unafaham kitabu cha ufunuo kimeandikwa kwa ajili ya nyakati gani? nyie hamchelewi kusema pia yesu ni kondoo maana imeandikwa "tazama mwanakondoo wa Mungu aichukuaye dhambi ya dunia" haya mambo siyo ya kukariri au ukisoma kwenye mtandao unakuja kutafsiri huku kuwalisha matango pori wasio na uelewa.
Ufunuo 1

nikusaidie kitu. nenda pale udsm zamani ilikuwa ikiitwa ARCHAEOLOGY UNIT . kamuulize Dr Saanane au Dr Bushozi ( kwa uchache tu) atakwambia mimi ni nani. Mimi nimefanya Degree ya Archaeleogy (UDSM) na Masters ya Anthlopology Huko USA. sasa wewe kaa kudanganya watu. ukiwa challenged una panic na kujidai kutishia tishia watu na shule yako ya diploma. unachofanya wewe ni "kusoma soma" kwenye mitandano then una tafsiri basi unaona tayari wewe ni mtalaamu. ukikuta vilaza basi wanakuona kweli we mtaalamu.

14 Kichwa chake na nywele zake zilikuwa nyeupe kama sufu nyeupe, kama theluji; na macho yake kama mwali wa moto;
15 na miguu yake kama shaba iliyosuguliwa sana, kana kwamba imesafishwa katika tanuru; na sauti yake kama sauti ya maji mengi.
Hahahaha kazi sana kama na wewe una masters ndio unatoa hoja kama mtu wa darasa la saba basi ndio maana taifa letu haliendelei.... Msomi wa archeology hata hafahamu kuwa kuna waisrael weusi alafu bila aibu unajigamba una masters!! Jifunze kwa watu kama mtoa mada Malcom Lumumba hajawahi jigamba ni wasomi ila maandiko yake yametufanya tuamini ni Professor fulani mkubwa nje ya nchi ila wwe umekalia kuringia elimu ya kimakaratasi hata kujenga hoja huwezi!!

Kweli mkuu mie nina elimu ndogo sana lakini siwezi kuja na kejeli humu kama mada siielewi ndio maana mada zangu nyingi huwa za maswali zaidi ili nifundishwe sasa wwe unakuja na kejeli kuwa hakuna musirael mweusi alafu unatukana wanawake then bila aibu unasema una masters Duh

Kuhusu hayo ya Yesu nshakueleza kayacopy kwa Bible ipo kwenye ufunuo,daniel na Isaya kuwa Yesu ama description hizo sasa ulikuwa unamkejeli nini?? Si ungemueleza figurative language iliyotumika hapo kma msomi kuliko kumcheka wakati ameeleza anachofahamu

Msomi mzima umekosoa tu ila huna ulilojibu!! Ssa input ya masters student kwenye hii thread ni ipi zaidi ya maneno ya taarab kama za waswahili wa mbagala au ujiji ....nmekuuliza hayo makabila 10 yamepotea sasa unaulizaje eti Israel ya leo inaweusi wangapi ilihali walishatawanyika au nani kakudanganya 12 tribes zina reprsentation pale Tel aviv?? Msomi wa masters huyu..... Tena achiolojia Hahahahahhaha
 
sasa mbona umeshindwa kujibu maswali mepesi kama haya una bwabwaja tu baada ya kuona hoja yako ya kuhusu shule ni nyepesi sana? unajua nyie watu huwa mnapoona kuna watu wanaelewa mnajikuta mnaishiwa hoja. sasa ulidhani nami nikilaza kama nyie mnaokariri kwenye mitandao. chat kisomi sasa maana unachat kama mnavyokuwa mna pashana huko mitaani. nimekuuuliza maswali haya mbona hujibu?

jibu haya maswali

hizi ndo sifa za alivyokuwa Yesu?
sasa mbona umechukua moja tu hiyo ya nywele kama sufu, nyeupe kama theruji?
1. je yesu alipokuwa huko israel alikuwa na macho kama mwali wa moto?
2. je alikuwa na miguu kama shaba iliyosuguliwa sana?
3. je alipokuwa akiongea sauti yake ilikuwa kama maji mengi?

usiruke ruke. tulia tu ujibu kwa umakini.

Ww umekejeli wanawake ndio mmi nakuelewesha kuwa kacopy na paste biblia ilichosema sasa wanawake wanaingiaje hapo??.... Sasa ww ulitakiwa umkosoe kuwa biblia haikumaanisha hivyo in lateral meaning ila kuanza mkejeli mtu bila kutoa hoja mbadala JF intel haikuwa meant kwa hayo mambo hilo ndio nilitaka ufahamu.
 
Hahahaha kazi sana kama na wewe una masters ndio unatoa hoja kama mtu wa darasa la saba basi ndio maana taifa letu haliendelei.... Msomi wa archeology hata hafahamu kuwa kuna waisrael weusi alafu bila aibu unajigamba una masters!! Jifunze kwa watu kama mtoa mada Malcom Lumumba hajawahi jigamba ni wasomi ila maandiko yake yametufanya tuamini ni Professor fulani mkubwa nje ya nchi ila wwe umekalia kuringia elimu ya kimakaratasi hata kujenga hoja huwezi!!
hii ni mipasho. unaandika kunijubu mimi malcom unataka aje aku support? maana sijaona kama kuna sehemu nimemtaja yeye. simama mwenyewe jibu hoja kisomi mipasho na kicheko cha wanawake wa uswahilini vinakufanya uonekane ni maamuma.

Kweli mkuu mie nina elimu ndogo sana lakini siwezi kuja na kejeli humu kama mada siielewi ndio maana mada zangu nyingi huwa za maswali zaidi ili nifundishwe sasa wwe unakuja na kejeli kuwa hakuna musirael mweusi alafu unatukana wanawake then bila aibu unasema una masters Duh

Kuhusu hayo ya Yesu nshakueleza kayacopy lwa Bibpe ipo kwenye ufunuo,daniel na Isaya kuwa Yesu ama description hizo sasa ulikuwa unamkejeli nini?? Si ungemueleza figurative language iliyotumika hapo kma msomi kuliko kumcheka wakati ameeleza anachofahamu

Msomi mzima umekosoa huna ulilojibu....nmekuuliza hayo makabila 10 yamepotea sasa unasemaje eti Israel ya leo inaweusi wangapi ilihali walishatawanyika au nani kakudanganya 12 tribes zina reprsentation pale Tel aviv?? Msomi wa masters huyu..... Tena achiolojia Hahahahahhaha
 
umenikumbusha kuna jirani yangu mmoja alikuwa na mbwa mmoja anabweka sana asubuhi nikipita anabweka ila ukimtishia anakimbia ndani kwenda kumwita bwana wake.

mimi nachat nawe .. unaenda mwita malcom unamtaja malcom ili aje aku saidie? are you his girfriend madam! nimekuuliza maswali hapo jibu kama msomi siyo unacheka cheka tu kama mwanamke wa mtaani anayependa umbea. jibu maswali niliyokuuliza kama mwenye uelewa.

Waafrika ndo shida yetu ipo hapa.yesu alikuwa mweusi ukoo wake nao ukapotelea wapi?na hao weusi walienda wapi? Katika mashtaka yoote aliyoshtakiwa au matusi lisiwepo hata moja la kumsema kwanza ni mweusi? Daudi alikuwa na rangi gani?mweusi?

Waafrika tunahangaika sana na race yetu. Tunaweza jiaminisha lolote ili tupate faraja.ndo maana pia tunasema zamani waliogundua mambo walikuwa weusi.sasa wapo wapi wagunduzi weusi? Hamna. Israel ina wakazi wangapi weusi? Tuwe tunafikiria kidogo.
 
sasa mbona umeshindwa kujibu maswali mepesi kama haya una bwabwaja tu baada ya kuona hoja yako ya kuhusu shule ni nyepesi sana? unajua nyie watu huwa mnapoona kuna watu wanaelewa mnajikuta mnaishiwa hoja. sasa ulidhani nami nikilaza kama nyie mnaokariri kwenye mitandao. chat kisomi sasa maana unachat kama mnavyokuwa mna pashana huko mitaani. nimekuuuliza maswali haya mbona hujibu?

jibu haya maswali

hizi ndo sifa za alivyokuwa Yesu?
sasa mbona umechukua moja tu hiyo ya nywele kama sufu, nyeupe kama theruji?
1. je yesu alipokuwa huko israel alikuwa na macho kama mwali wa moto?
2. je alikuwa na miguu kama shaba iliyosuguliwa sana?
3. je alipokuwa akiongea sauti yake ilikuwa kama maji mengi?

usiruke ruke. tulia tu ujibu kwa umakini.
We naye shaba iliyosuguliwa na kuingizwa kwenye moto ndio imekuwa translated kama rangi nyeusi

Nywele kama sufu ndio wakatafsiri directly alikuwa na nywele nyeupe

Macho kma mwali wa moto ndio hizo red eyes

Sauti kama maji mengi alikuwa na sauti nzito ya kibantu bantu

Hivyo ndio watu walivyoutafsiri huo mstari ndio wakaja na hiyo picha nliokuwekea na ambayo sky eclat pia aliitafsiri hivo

Sasa wwe badala ya kumuelewesha kuwa Biblia haikumaanisha hivyo wwe ukaanza kejeli kana kwamba sky eclat alitoa hilo wazo kichwani mwake na kubali tu kuwa ulikuwa hufahamu Biblia iliandika hilo ndio maana ukamcheka maana ulimuona kilaza flani hivi kilichokera zaidi unaanza kukejeli wanawake wote wakati kacopy mstari wa Biblia

Then unajiita msomi..... Hyo description ya rangi ya Yesu nmeielezea kundani na kuna wasomi wenzio walitoa hoja za kisomi kama Yesu ni mweusi au lah kapitie usome sio umekalia mipasho tu ''masters student'' Teh! Teh! Teh!

Je, huu ndio ushahidi kuwa Yesu/Issa Bin Maryam alikuwa mweusi? - JamiiForums
 
mimi nachat nawe .. unaenda mwita malcom unamtaja malcom ili aje aku saidie? are you his girfriend madam! nimekuuliza maswali hapo jibu kama msomi siyo unacheka cheka tu kama mwanamke wa mtaani anayependa umbea. jibu maswali niliyokuuliza kama mwenye uelewa.
Bwana mdogo haya matusi ya nini sasa ???
Mjadala umeanza vizuri lakini nashangaa ushafika kwenye kutoa hizi kashfa.
Hebu tuziache na tujitahidi kujikita kwenye mada, naamanini hakuna anayejua kila kitu.
 
Hahahaha kazi sana kama na wewe una masters ndio unatoa hoja kama mtu wa darasa la saba basi ndio maana taifa letu haliendelei.... Msomi wa archeology hata hafahamu kuwa kuna waisrael weusi alafu bila aibu unajigamba una masters!! Jifunze kwa watu kama mtoa mada Malcom Lumumba hajawahi jigamba ni wasomi ila maandiko yake yametufanya tuamini ni Professor fulani mkubwa nje ya nchi ila wwe umekalia kuringia elimu ya kimakaratasi hata kujenga hoja huwezi!!
Mkuu naona leo umeghafirika, lakini usifike huko. Mambo mengine unayaacha yapite tu!
 
nakubaliana na wewe bwana mdogo. matusi sijui nani kayatoa. nadhani kama ungemwambia na mhusika naye akakuelewa maana anashindwa kuelewa kuwa watu wazima pia wamo humu. mimi namjibu mtu kadri anavyo stahili huwa sioni shida katika hilo. na ktika post zangu zote sijatukana tusi hata moja hata kashfa sijaweka.
Bwana mdogo haya matusi ya nini sasa ???
Mjadala umeanza vizuri lakini nashangaa ushafika kwenye kutoa hizi kashfa.
Hebu tuziache na tujitahidi kujikita kwenye mada, naamanini hakuna anayejua kila kitu.
 
Nmemtaja sababu ni uzi wake na huwa namuacknowledge nyuzi kibao sababu ananifundisha mambo kibao sana ila hajawahi hata sema kma ana diploma au cheti cha form 4 ndio maana namtolea mfano ila nashangaa wwe usie na content ndio matusi na kejeli wakati huna hoja yoyote uliojenga unaringia paperwork. Actually sihitaji nimuite mtu anisaidie maana wwe mwenyewe na masters yako hakuna unalojua na kuprove hilo jibu haya maswali

1. Umesema tuangalie Israel ya leo ina weusi wangapi sasa nisaidie ni lini Israel ya leo ina representation ya makabila yote 12 ya kingdom of Israel na Judah

2. Unauliza kma Yesu alikuwa mweupe ukoo wake uliishia wapi?? Are you serious?? Sasa kama 70 AD walifurumushwa na kutapakaa dunia nzima ulitegemea na ukoo wa Yesu hata kma ulikuwa mweusi au mwekundu ubaki hapo hapo Judah??

3. Unauliza kama Daudi ni mweusi?? Hivi Daudi si alikuwa kabila moja tu la benjamin kama sikosei mbona hujahoji makabila 4 ambayo yalikuwa yametokana na wamama watumwa weusi kutoka misri ama Daudi ndio benchmark ya rangi ya wayahudi na sio Yakobo na wake zake??

Kama msomi wa achilojia ningependa unisaidie na majibu ya haya maswali kutokana na hoja yako.
 
aiseee.... hivi ndivyo Yesu alivyokuwa? nataka unijibu hili swali. hayo maelezo yapo kama yalivyo andikwa lakini swali ndivyo yesu alivyokuwa miaka 2000 iliyopita?
1.unafahamu kitabu cha ufunuo kimeandikwa kwa ajili ya kipindi gani?
maana unapoona imeandika nikaona/au nliona kwa ufunuo haimaanishi na past tense ya matukio hayo. ni past tense ya mtu aliyeona mambo hayo lakini ni future events.
2. yesu alikuwa mwana wa daudi. je daudi alikuwa mweusi? kwa jinsi walivyo m adress kipindi kile kibinadamu. daud alikuwa mweusi?
3. wazazi wa yesu walikuwa weusi? mariamu na yusufu?
unajua hata mimi natamani sana watu wengi maarufu ,mitume na manabii wawe weusi. napenda sana na wakati mwingine natamani kusema walikuwa na kutafuta ushahidi ..lakini dhamila yangu inanisuta. 🙂🙂🙂

hii hoja ni nyepesi sana kuliko watu wanayojaribu kuifanya ionekane ni nzito sana. binafsi rangi ya yesu hainipi shida hata kama angekuwa ni wa kijani. lakini twende na simple facts na si mihemko au utashi wetu. waafrika tunatamani sana to be somewhere kimataifa tunakwama sehemu sasa badala ya kuwa fight kutoka tulipo tumeingia kwenye mkumbo wa kutafuta tafuta info za kuokoteza ku justify hisia zetu. haya nijibu hayo maswali . nakusisitizia twende taratibu. usi panic na huna haja ya kumwita malcom aje akusaidie huyo najaribu kuheshimiana naye. twende taratibu kabisa kwa kutumia tu common sense. tuachane na elimu maana elimu yangu hapa sioni hata haja ya kuitumia haya ni mambo ya mtoto wa darasa la nne mpaka tano kujibu. so why niihangaishe elimu yangu kwa mambo mepesi kama haya?
 
sasa wewe endelea kujifunza toka kwake. hilo litakusaidia. na siwezi kukulaumu ikiwa unajifunza kutoka kwake. maana kila mtu anaweza chagua apewe ilimu na nani kulingana na uelewa wake. kama anakusaidia kuelewa mshikilie sana malcom usimwache.

Back
Top Bottom