Je, ni kweli kuwa Wayahudi walikuwa weusi?

Wewe nae zitto sijui umelewa maharage ya wapi.kwanza ujue kuwa hakuna Race ya Waarabu (Cauccasians) katika mashariki ya kati isipokuwa Dark brown skin ambao mnawaita Black Africans.ndiyo wenye asili ya pale, hayo majitu meupe unayoyaona hapo ni Greeks tupu na wametokana na Neandethal Genes pool,ambayo nayo yalipukutika sana karne ya nyuma kutokana na miingiliano ya makabila ya wawindaji huko Giblatar peninsula ndo wa mwisho kufa walipatikana hapo.sasa basi tukija kwa hawa Hellenistic yaani wazungu ma greek wao walipata nguvu ya kukalia maeneo hayo, kuzaliana na kutawala kwa miaka kadhaa pia kutapakaaa tangu enzi za Hellenisation military rule 130 BC.Dola la Warumi baadaye sana likaja nalo hapo ujue weupe wanaongezeka kwa idadi na mojawapo ya Amri kubwa ilokuwa ikitilewa na watawala wale ni kuoana tu kama alivo fanya Karume kule Zanzibar.

Na Mnamo Takribani vita ya karne ya saba AD(Crusade),Weusi walifurushwa kutoka Mesopotamia ya wakati huo na wengi wakakimbilia Kusini mwa jangwa laSahara mahali ambapo palikuwa salama zaidi kwao.na wakati huo Misri ilikuwa ni Taifa lenye neema kubwa kama unavoona Marekani ya leo. kwa maana hiyo weupe hawa ambao mnawaita waarabu walipatamani sana kutawala paleivo ikapelekea vita kubwa ya karne ya saba na kusababisha mateka wengi sana, na wakimbizi wengi walikwepa Strong empire za wakati huo kama;Cush empire za sudan ya sasa, na Ethiopia ya wakti huo kwani huko nako walikamatwa na kupelekwa utumwani tu.hivo basi kupitia pwani ya Yemen ya leo baadhi walipanda majahazi pale mpaka pwani ya Afrika mashariki wakaingilia Mlima kilimanjaro kutokea mashariki ya Bahari hindi na wengine wakitokea ziwa victoria kwa maana kuwa walifuata mto Nile.na wengine nao wakazidi kwenda Kusini zaidi baadhi yao Km Wazulu,waxhosa nk.nabii amos alisema kitambo kabla. hivi
amos 9;7 beyond the livers of cush my doughter will bring suppliants.na alisema hayo wakati akiwa Mashariki ya kati,yaani israel ya leo.kwa hiyo hakuna kabila la Waarabu weupe.bali greecs'
 
sulemani mwenyewe ni mweusii ukitaka kujua soma wimbo uliobora nimesahau mstari haya mambo watu hawapendi kuongelea kwa sababu ya iwongo mwingi walipmezeshwa hats yesu no mweusi kama MNA taka ushahidi upon sio tunajikweza no ikweli
 
lazima alifanana na rangi mojawapo kati ya ranging zilizpo duniani na rangi no ya kiafrica
 
kuongezea someni isaya 18 utamuelewa huyu bwana. kilimanjaro ni mlima wa siri kubwa na pengine Tanzania ni tata sana kwa kuwa imenenwa kwenye isaya 18 Mimi nauliza je kuna nchi gani duniani tofauti na sisi iliyoweka Bendera yake juu ya mlima
 
Wakina mayahudi na wapi walianzia mayahudi ?

ila we jamaa wewe akili yako unaijua mwenyewe..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]..
 
Nakumbuka nimewahi andika kwa kirefu kuhusu hawa wayahudi Fake inaweza kusoma thread hii hapa chini

 
Wakina mayahudi na wapi walianzia mayahudi ?

ila we jamaa wewe akili yako unaijua mwenyewe..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]..
Maswali yako wazi hayo,kama hujaelewa ituhumu akili yako.
 
Maswali yako wazi hayo,kama hujaelewa ituhumu akili yako.
unajua maana ya kanusho?.
halafu kuwa na nidhamu ya kuuliza na nina kupa maneno ya ziada.
ama nikupe miaka 100 uthibitishe. . [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]..
sometimes nacheka sana ninapo kutana na komenti yako.
 
Najua vizuri sana maana ya tamko "Kanusha".

Kama navyocheka mimi sio ? Ungejibu maswali yangu ningekuona wa maana kidogo.

Nipo ....
 
Najua vizuri sana maana ya tamko "Kanusha".

Kama navyocheka mimi sio ? Ungejibu maswali yangu ningekuona wa maana kidogo.

Nipo ....
kwa hiyo na maneno ya ziada huyataki?.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haya buaannaa magharibi imekaribia sheikh
 

[emoji16][emoji16][emoji16]
 
nadhan swali lingeanzia hapo hapo misri........ Je wa misri wa kale walikua weupe kama walivyo leo au walikua weusi?
 
Mimi na pita tu maana hawa waisrael wa enzi za natanyahu siwaelewi kabisa
Maandiko yanasema israel itakanyagwa na mataifa yakijiita wayahudi lakini ni masinagogi ya shetani
Na wana wa israel watarudi kwa meri kebu kipindi na muda utakapowajia,,,,, sasa?
Mbona hawa sahivi wanakuja na ndege..
 
Kweli na kubaliana na wewe
Hahahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 



Namba 4 Hao ni masinagogi ya shetani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…