Je, ni kweli kwamba mtu mwenye damu group 'O' hapati UKIMWI?

Je, ni kweli kwamba mtu mwenye damu group 'O' hapati UKIMWI?

MziziMkavu niliomba kujua kuhusu damu yangu sikuona majibu dr. niko Orh+
There are 4 blood groups - O,A, B, AB, & all these have the positive & negative signs denoting the presence of of the rhesus facor[+ve], absence[-ve]
O+ve will be probably the biggest majority, with A, B positives equal IInd, & AB + ve the smallest, the whole of all negatives will be ~ 10-12 % only.
 
Group O nilimegawanyika sehem kuu mbili positive na negative
Ipi haiambukizw ukimwi na ipi inaambukizwa ukmw
 
Sasa mwenye group o amtafute mwenye HIV positive alafu akule pekupeku daily tuone matokeo
 
may be awe hana HIV receptors and not otherwise
 
me na blood gruop O na nahisi hii itakua O- na rhesus- sababu sijawah kuumwa hadi rafiki yangu aliwahi kuniuliza vipi mbon wew huwa huumwi? niliunwa malaria nikiwa darasa la pili 2003 basi. huwa natata labda mafua kutokana na vumbi that means nsipokutana na hayo mazingira siumwi. na nina afya njema hadi watu wananionea wivu. thanks you Dear Ord i know you love me. this is the glorious dedication. i feel blessed. na utukuzwe Mungu Baba
 
Hii haiwezi kuwa na ukweli hata kidogo,kwani majority ya population yoyote ile ni Universal Donors(Blood group O.)
Hivyo hilo lingekuwa na ukweli,kiwango cha maambukizi ya UKIMWI katika jamii kingekuwa kidogo.
Ni wachache sana wenye group O.
 
me na blood gruop O na nahisi hii itakua O- na rhesus- sababu sijawah kuumwa hadi rafiki yangu aliwahi kuniuliza vipi mbon wew huwa huumwi? niliunwa malaria nikiwa darasa la pili 2003 basi. huwa natata labda mafua kutokana na vumbi that means nsipokutana na hayo mazingira siumwi. na nina afya njema hadi watu wananionea wivu. thanks you Dear Ord i know you love me. this is the glorious dedication. i feel blessed. na utukuzwe Mungu Baba

1:Sijawahi kuumwa hadi rafiki yangu aliniuliza wewe mbona huwa humwi? 2:niliumwa maralia nikiwa darasa la pili
 
Nimeikumbuka shule ya Dr Msele kuhusu uwepo wa non developers. Hii ni aina ya watu wenye mutation kwenye genes zinazocode for production ya surface receptors CCR4 na CXCR5 ambazo ni muhimu kwa viral attachment na entry. Hawa watu therefore hawawezi kudevelop into AIDS maana virusi haviwezi kumultiply kwenye miili yao as virusi vya ukimwi ni strictly intracellular
 
Na non developers wako kwenye O- tu?
What I know kuna watu wana + mutation kwenye genes zao.

Hawa wanakuwaga na resistance kubwa sana na unaweza ukawa Fanya cloning kutengeneza dawa za kutibu gonjwa hilo. Ila taratibu haziruhusu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weeee nani kakudanganya ????

Kitu pekee kinacho elezea uwezo wakupata maambukizi ya ukimwi ni RECEPTORS ,,kila ugonjwa unakua na receptors wake ,,sasa km cell zako hazina Receptors wakupokea HIV huwezi pata lkn kinyume nahapo unapata .
 
Good answer[emoji818][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736]
Hakuna uhusiano kati ya blood group O na maambukizi ya magonjwa.njoo hospitali uone idadi kubwa ya watu wenye blood group O wanavyoumwa.wana faida ya kupata msaada wa damu kwa haraka kwa kuwa benki zote za damu ni mara chache zinakosa damu ya group O

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom