Je, ni kweli kwamba mtu mwenye damu group 'O' hapati UKIMWI?

Je, ni kweli kwamba mtu mwenye damu group 'O' hapati UKIMWI?

Hii haiwezi kuwa na ukweli hata kidogo,kwani majority ya population yoyote ile ni Universal Donors(Blood group O.)
Hivyo hilo lingekuwa na ukweli,kiwango cha maambukizi ya UKIMWI katika jamii kingekuwa kidogo.

umechanganya madesa kaka, ni kinyume chake!
 
Vitu kama hivi ndiyo vilinifanya nisome pia na masomo ya sayansi japo mwanzoni interest zangu zilikuwa kusoma Art tu! Achana na elimu za vijiweni na saloon mkuu, utakufa ukingali mdogo kisa unajivunia group O! Soma vitabu vya sayansi uelimike mkuu elimu haina mwisho!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Hiyo sayansi uliyosoma badala ya kuandika hayo yote si ungeshamjibu?
Mie sioni y yeye kujisomea au sijui kumsema elimu ya kijiweni amefanya kosa gani kuuliza.
Mbona watu na elimu zao bado wanauliza hata mambo ya eneo walilisoma?
Eti arts no nikaenda sayansi, duh jibu swali kama hiyo elimu basi haikuwa ya kijiweni... Nimesema hivi sababu ndivyo ulivyomjibu.
Acheni dharau, kama hauna jibu sepa zako sio lazima ukomenti thread ya mtu.
 
sidhani kama kuna ukweli wowote lakini mchangiaji wa kwanza umeonyesha k2 ambacho wengi tulikuwa hatukijui
 
Nilivyosikia hiv can not survive in Delta 32, na race kubwa yenye hiyo genetic ni whites... Na hii imesabababisha wangari mathai na baadhi ya researcher kusema ukimwi umetengenezwa Laboratory kwa ajili ya kupunguza black population ndo maana whites hawasumbuki nao sana maana most have them wana Delta 32 mutation,,, we ushangai wazungu wanaharib mbaya, daily ngono, ndoa za mikataba lakin ukimwi sio ishu kwao but kwa black ni majanga tupu,,, kuna myth inasema ugonjwa huo umetengenezwa laboratory for us blacks
 
ni kweli hawapati, mimi ninaushahidi kabisa, lkn ni kwa neema ya Mungu
sidhani kama kuna
ukweli wowote lakini mchangiaji wa kwanza umeonyesha k2 ambacho wengi
tulikuwa hatukijui
 
Mimi ni group o+ sijawahi lazwa katika maisha yangu najua ni mungu but kuhusu ukimwi muwe waangalifu niliwahi tembea bila kinga dah? Ngono ilinisumbua! Ww achatu! Badili tabia hakuna cha group o.
 
RH negative haina shida,shida ipo pale baba ana negative wakati mama ana positive,mtoto wa kwanza tu ndo atapona

Mkuu kwa hiyo baba RH negative ni vizuri aoe mke RH negative? Hebu nisaidie kuna shamba boy wangu aliugua malari sana na ikabidi nimhamishie home for a while, ikabidi aongezewe damu, na kupima tu RH ni negative. Kwa sasa ana mchumba kwao ila pia nilimwambia kabla hajaoa wapime damu na mchumba ili ijulikane rasmi na waweze kupata conselling ya either kuachana au kuoana at risk. Aise hii ni ngumu sana.
 
Mimi nna group 0
nimeathirika huu mwaka wa pili sasa.
Asante mkuu Sugar-a kwa kuwa open. Ila watu wajue kuwa HIV siku hisi siyo issue. Kuna maisha baada ya VVU tena marefu mno. Tukubali hata kama ni ngumu kukubali maana ukikataa kukubali maisha yanakuwa mafupi. Bora ukubali uisho over 20 years kuliko kuhofu na kuondoka within years. Kuna rafiki yangu hakuweza kabisa kukubali hali and he died in less than two years baada ya kufahamu status yake.
 
Tunaomba wataalam wa damu wake watuambie which is the most resistant group A, B, AB, au O (With its - and + Rhs). Huwa kweli nasikia kuna watu ambao wana damu resistant kwa shock za magonjwa mengi not HIV tu i.e always wanakuwa na immune kubwa sana hata kama si kwa kula mboga na matunda or other immune boosters. Wataalaam njooni huku. Ila HVI inakamata kila group unless umebarikiwa una hako kwa R-32.
 
Hao walio kuambia wamekudanganya. Mm baba yangu alikuwa na group O+ alipatwa na huo ugonjwa wakati unaingia Tz na alifariki 1991 kwa huo ugonjwa. Ila ninacho jua mm mtu mwenye group hilo dalili za magonjwa zinaonekana mapema kuliko makundi mengine ya damu.
Mkuu omben, hata mimi nilikuwa na ufahamu kuwa watu wenye group O huwa wanaonyesha dadili za HIV mapema zaidi ukilinganisha na makundi mengine. Pole sasa baba yako alikufa kipindi ARV hakuna, wakati ule ilikuwa ni mateso makubwa sana mtu akiugua AIDS. Kwa sasa ARV inapunguza sana mateso na wengi wanakufa health wala huwezi kugundua. Kuna na mimi uncle wangu yeye alifariki miaka ya 1997 yaani alitesa sana ila mkewe bado yupo katika ARV. Amekubali hali na tunampenda kwa hiyo tuna imani ataishi hadi awaone vitukuu wake. Aliachwa na first born miaka 10 sasa ni binti wa over 20 na wadogo zake wakubwa tu. Mdogo ni positive na yuko kidato cha pili. Ila hakika HIV ni kiboko yetu.
 
Yawezekana huyo dogo ana group O-rh,nasikia hawa ndio wagumu sana kupata magonjwa pamoja na HIV.

Hiyo group 0- nasikia ndio yenyewe,nasikia hata ukichubuka ngoma hamna hapo! Sijui kama ni kweli lakini!

Wakuu nina houseboy wangu ana - na anaugua sana malari. Akiugua malari nakuambia utafikir anakufa. Kuna rafiki yangu ana O+ na ana HIV kwa miaka 10 sasa hajaanza hata ARV kwa kuwa alikubali hali. VVU inakamata makundi yote ya damu isipokuwa tu wale wachache ambao wana ile R-32. Sema tu kuwa kundi la O linaonyesha sign mapema za HIV kuliko makundi mengine.
 
UKIMWI ulibuniwa Marekani, lengo la UKIMWI ni kupunguza idadi ya watu hasa weusi. Hakuna kirusi kinaitwa HIV ambacho kinaweza kuambukizwa toka kwa mmoja kwenda kwa mwingine!, UKIMWI SI UGONJWA WA KUAMBUKIZANA.

UKIMWI NI Pharmacetical genocide, ni uuwaji wa haraiki kwa tamaa ya kuitawala dunia hii.

Tizama movie hizi 2 hapa chini. kama kuna mtu anaumwa UKIMWI ani-pm nitampa maelezo zaidi. Hata hivyo msizaliane bila sababu ardhi na chakula havitoshi:


1.


2.
 
Last edited by a moderator:
Mijadala kama hii poa sana. Scientifically evidenced arguments! Siyo kina Marctopolo, kina chillisosi na ubishi wa kijinga kijinga tu hauna hata reasons. Waje hapa wajifunze namna ya ku defend na kupinga hoja. Siyo makelele ya hovyohovyo yasiyokuwa na kichwa wala miguu. Ili mradi tu anataka watu wakubali anacholazimisha wakubali. Hii ikuje huku kuona vile watu wenye akili wanafanya!
 
Back
Top Bottom