ummu kulthum
JF-Expert Member
- Feb 6, 2012
- 2,784
- 1,317
Yaani.....
we acha tu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani.....
Habari wadau!
Nimekuwa nikisikia muda mrefu watu wakiongea kwamba mtu mwenye damu group O ni vigumu sana kupata Magonjwa mbali mbali ikiwemo ugonjwa hatari wa ukimwi!
Vile vile kuna ushahidi wa watu wawili ambao wamekaa kwenye ndoa kwa muda mrefu na kufiwa na wenzi wao ambao walifariki kwa ukimwi na wamezaa zaidi ya watoto wawili wawili na wao ni group O mpaka leo hawana ukimwi!
Naombeni wataalamu wa magonjwa na mahusiano katika damu wanisaidie kutatua swali hili!
Nawasilisha!
mmh, wee cheza peku ndo utajua. kuna jamaa zangu 2 wana group o, mbona wanao? Na mmoja alishatangulia mbele za haki.
in humans, blood group O is the largest group, more bigger than the three others combined together and that explains why there is no problem of donors for this group.
Je? na kwa Rh negative inakuaje?
Kuna suala la antibodies kuwa watu wa aina hiyo sio rahisi kupata ukimwi je hii imekaaje? nilisoma makala kumhusu mama mmoja wa mtaa wa mabanda huko kibera kenya ambaye yeye na wenzake walikuwa wanafanya biashara ya ukahaba na wenzake wote walifariki ila yeye hakupata maambukizi na uchunguzi ukaonesha kuwa ana hizo antibodies, kwa mwenye kuzijua ni kitu gani?
ukipumzika njoo ujibu tafadhali pia naomba ureply with qoute ili nifatilie majibu yako, thanks in advanceGroup O ana vi2 vinaitwa A anti-antibody na B anti-antibody...so they fight for A antigen and B antigen respectively..henc mak them impossible 2b transfused with other group.,as other group contain A antigen,B antigen...for more explanation ask me..i wil answr accordingly..now am tired..
kiswahili kigumu sana
hii mupya
Also nimewah kusom,ther ar some diseases which ar common to certain blood group..bt iyo haizuii group O frm being excluded kwa janga la HIV...na hata ivo HIV haikutajwa kweny hayo magonjw..any ABO blood group unapata HIV 2..hata kama BOMBAY BLOOD.. GROUP.