Je, ni kweli kwamba mtu mwenye damu group 'O' hapati UKIMWI?

Je, ni kweli kwamba mtu mwenye damu group 'O' hapati UKIMWI?

Chunga sana kuwa na Group 'O' sio tija mimimi na mke wangu tuna Group hilo lakini huwa tunaugua siwezi kuisifia lakini Mke wangu huwa akipima anakutwa lakini hajaugua yaani ya kulazwa ila ni kwa ajili ya ujauzito na hupewa Dawa na kurudi nyumbani (DCI MANUMBA Polisi aliugua zilipofika 500) Mimi mwenyewe niliugua Maleria mara ya mwisho miaka 30 iliyopita, siamini ndio sababu ingawa huwa natumia Konyagi
Kuhusu Ukimwi nimeeleweshwa na Dr Bingwa kuwa huo ni uono hata wagonjwa wa Group O hufariki kwa ugonjwa
Hata Group lolote anaweza kuwa carrier kutokana na sababu nyingi mojawapo alilosema ni Maumbile ya kifaa anachokitumia huwa ahakidhuriki kupokea maambukizi (kunwa binadamu wengu=ine wanawake wanayo kubwa kuliko km huyo Mama wa Kibera na kuna Wanaume ambao hata kumchubua mwenzake haiwezekani kutokana na udogo wa umbile lake kuelea kisimani)
 
in humans, blood group O is the largest group, more bigger than the three others combined together and that explains why there is no problem of donors for this group.
 
Mwenyewe dogo nimempima jana ana group O hana hiv ila mkewe ana hiv +
 
Jamani na mie Nina O- sijaugua sasa na miaka kama 5 no malaria yaani hadi huwa nahisi kama mashine mbovu kila nikipima.

I just thank God

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Hao walio kuambia wamekudanganya. Mm baba yangu alikuwa na group O+ alipatwa na huo ugonjwa wakati unaingia Tz na alifariki 1991 kwa huo ugonjwa. Ila ninacho jua mm mtu mwenye group hilo dalili za magonjwa zinaonekana mapema kuliko makundi mengine ya damu.
 
Mi mwanzo nilizani nina group '0' kumbe nina group b namshukulu MNGU kwani sijawahi kulazwa malelia ninaugua malamojamoja inaweza kupitahata miaka mitatu naninaweza nikakaanayo hata wiki sijanywa dawa na ikaponatu. je namimihapo ninasaidiwa na nini?
 
Duuh ngoja wataalamu waje watueleze ...mimi nina blood group O rh -ve mara ya mwisho kuumwa ni mwaka 2001 niliugua taifodi baada ya hapo sikuwahi kuugua malaria hata siku moja me huwa ni mafua , tumbo kama nikila kitu kichafu hainichukui saa 1 tumbo kuanza kukoroga na nkishashusha mzgo kushney.....ila inabidi uwe makini mkuu kavu noma magonjwa ya zinaa unapata kama kawa so take care...
 
Mwenyewe dogo nimempima jana ana group O hana hiv ila mkewe ana hiv +

Yawezekana huyo dogo ana group O-rh,nasikia hawa ndio wagumu sana kupata magonjwa pamoja na HIV.
 
Jamani na mie Nina O- sijaugua sasa na miaka kama 5 no malaria yaani hadi huwa nahisi kama mashine mbovu kila nikipima.

I just thank God

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

Hiyo group 0- nasikia ndio yenyewe,nasikia hata ukichubuka ngoma hamna hapo! Sijui kama ni kweli lakini!
 
Hakuna uhusiano kati ya blood group O na maambukizi ya magonjwa.njoo hospitali uone idadi kubwa ya watu wenye blood group O wanavyoumwa.wana faida ya kupata msaada wa damu kwa haraka kwa kuwa benki zote za damu ni mara chache zinakosa damu ya group O
 
Hao walio kuambia wamekudanganya. Mm baba yangu alikuwa na group O+ alipatwa na huo ugonjwa wakati unaingia Tz na alifariki 1991 kwa huo ugonjwa. Ila ninacho jua mm mtu mwenye group hilo dalili za magonjwa zinaonekana mapema kuliko makundi mengine ya damu.

Nafikiri hapa kundi lengwa ni wenye group O-rh,kwa maelezo ya watu ninayopata ni kwamba group 0+rh anaweza kuambukizwa!
 
Mi mwanzo nilizani nina group '0' kumbe nina group b namshukulu MNGU kwani sijawahi kulazwa malelia ninaugua malamojamoja inaweza kupitahata miaka mitatu naninaweza nikakaanayo hata wiki sijanywa dawa na ikaponatu. je namimihapo ninasaidiwa na nini?

Nadhani utakuwa na B-rh!
 
Only group O- which is very rare,na sio kwamba hawapati HIV ila wako very resistant kwa vijidudu viletavyo magonjwa ikiwemo virus na watu wanaamini au tunadanganya hawapati ukimwi,mm sio daktari ila nilielezwa na rafiki ambae ni daktari
Forget it.
People with Blood Group O are inherently immune to HIV infection.
Fact.
Your only worry in this world ni kaswende, how lucky!
So you take your rangimbili as prophylaxis and enjoy the game!
 
Iko hivi Rh+ ni wengi sana kama 85% ya world population ni Rh + na iliyobakia ni Rh- so hadi hapo ushaona nani wengi
 
Sijakuelewa Mkuu!

Nilikuwa nasoma kuhusu Rhesus factor ndio nikakutana na sehemu imeandika kuwa most of people have rhesus factor positive which is equal to 85% na negative ni 15%
 
Forget it.
People with Blood Group O are inherently immune to HIV infection.
Fact.
Your only worry in this world ni kaswende, how lucky!
So you take your rangimbili as prophylaxis and enjoy the game!
duuuh hii kali ya wakali sasa utatupoteza mkuu:A S shade:
 
Back
Top Bottom