Je, ni kweli kwamba mtu mwenye damu group 'O' hapati UKIMWI?

Habari wadau!

Nimekuwa nikisikia muda mrefu watu wakiongea kwamba mtu mwenye damu group O ni vigumu sana kupata Magonjwa mbali mbali ikiwemo ugonjwa hatari wa ukimwi!

Vile vile kuna ushahidi wa watu wawili ambao wamekaa kwenye ndoa kwa muda mrefu na kufiwa na wenzi wao ambao walifariki kwa ukimwi na wamezaa zaidi ya watoto wawili wawili na wao ni group O mpaka leo hawana ukimwi!
Naombeni wataalamu wa magonjwa na mahusiano katika damu wanisaidie kutatua swali hili!

Nawasilisha!

Hapo kuna kitu kingine kabisa na sio hiyo grp O ya damu! Chukua tahadhari,usijiamini na hiyo grp O yako-Utapata tu Ukimwi!!
 
Ukweli unauma, muwe mnajisomea walau Kidogo elimu za
nyanja zingine mara mpatapo nafasi! Elimu haina mwisho we mkuu mzuri!
Hiyo sayansi uliyosoma badala ya kuandika hayo yote si ungeshamjibu?
Mie sioni y yeye kujisomea au sijui kumsema elimu ya kijiweni amefanya kosa gani kuuliza.
Mbona watu na elimu zao bado wanauliza hata mambo ya eneo walilisoma?
Eti arts no nikaenda sayansi, duh jibu swali kama hiyo elimu basi haikuwa ya kijiweni... Nimesema hivi sababu ndivyo ulivyomjibu.
Acheni dharau, kama hauna jibu sepa zako sio lazima ukomenti thread ya mtu.
 
Your way of writing is stinking, stop it immediately...!!

why saying that NZOWA!!!.....Nilichomaanisha awali, ni cha kweli kabisa..na kwamba,There is NO any relation btn blood groups and HIV...bloood group are there to make blood transfusion of success..Or umeshangaa BOMBAY BLOOD GROUP!!,,yes lipo..lilipewa hilo jina after its discovery in Bombay[MUMBAI] INDIA..na linafanana na Group O..but kitaalam halina H-gene....na ni very rare..few people are in India,Europe and other places,bt very few..naBombay blood group anapewa damu na Bombay blood group mwenzie......................................................
....AM asking you,kwanini umeniambia hayo maneno hapo juuu!!!!!!
 
Ukweli unauma, muwe mnajisomea walau Kidogo elimu za
nyanja zingine mara mpatapo nafasi! Elimu haina mwisho we mkuu mzuri!

Unataka kuniambia unaweza kujibu maswali ya hizo elimu zoteeeeeeee nyingine?
mie huwa nakumbuka kitu kuwa kuuliza sio ujinga, kwa nini mtu amseme mtu bila hata kumuuliza kitu. Kuibuka tu na kuwasha maneno hiyo ni no no no as yeye alikuwa hajaeleza mengi juu yake angekuwa amejieleza weeeeee na mtu kuona hivyo basi aaagh.
 
Ok, naomba kujua nimeishi na mke mwenye UKIMWI kwa 5yrs akafariki na mtoto tuliyempata naye ameathirika lakini mm ni negative na nimeoa mke mwingine na tumepata watoto ambao wako salama, swali, hii inatokana na nini. Naomba msaada wa mawazo
 
Kupata Virusi vya UKIMWI ni hadi kutokee michubuko wakati wa tendo la ndoa...au mkiwa na vidonda/michubuko midomoni wakati wa kissing,la....Mkuu sijaelewa unaposema wew 'negative'...negativ kwamba huna Ukimwi! au una blood gruop ambalo lina Rhesus negative!
 
Ukweli utaonekana watu wakipona LIVE

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Ok, naomba kujua nimeishi na mke mwenye UKIMWI kwa 5yrs akafariki na mtoto tuliyempata naye ameathirika lakini mm ni negative na nimeoa mke mwingine na tumepata watoto ambao wako salama, swali, hii inatokana na nini. Naomba msaada wa mawazo
Kwa kila tendo la ndoa mnalofanya possibility ya kuambukizwa ukimwi ni asilimia mbili tu. Kama ingekuwa possibility ipo pengine kwa asilimia lets say 50, nakuhakikishia kuna uwezekano kwamba hadi hivi sasa Africa kungekuwa hakuna kiumbe kinachoitwa binadamu ambacho kingekuwa bado kipo hai. So likelihood ni ndogo sana, na inapotokea mwanaume ametahiriwa, basi likelihood inapungua zaidi. Maana kule mahali kunakuwa kuna ngozi ngumu kama ya kwenye kidole cha mkono tu, ambayo si rahisi kuchubuka kutokana na msuguano wa kawaida. Hatari kubwa ni iwapo tu mwanamke anakauka majimaji ya ukeni haraka, na mwanamme anatumia muda mrefu sana kupata mshindo. Hapo bwana hizo asilimia mbili zinaweza kuwa ni nyingi sana.
 
Kwa namna nilivyowahi kusikia mimi sio group O coz kwa bahati mbaya hao ndio majority. Ila inasemekana kuna wale ambao wao wana blood groups ambazo zinaweza kutoa kwa wengine ila hazipokei toka kwa wengine so wanaweza kuambukiza ila hawaugui coz wale virus huwa wanapata tabu kuzaliana kwenye makundi hayo ya damu.

Makundi niliyosikia yako hivyo ni A (+ or -) na B (+ or -) yaani group moja ni + wakati jingine ni -. Ila watu hawa wako wachache sanaa na ndio huitwa carriers.

Mwili nao huwa una uwezo wa kutengeneza resistance yake kwenye baadhi ya magonjwa. Kwa mfano mi nilipokuwa mdogo nilikuwa naugua malaria kila baada ya miezi 2. Ila baadae mwili ukatengeneza resistance against malaria na mpaka leo nina more than 10 years sijui malaria ni kitu gani. But for the case of virus hasa wa HIV never play stupidity!
 
Ni vizuri madaktari watoe ufafanuzi.
 
Ok, naomba kujua nimeishi na mke mwenye UKIMWI kwa 5yrs akafariki na mtoto tuliyempata naye ameathirika lakini mm ni negative na nimeoa mke mwingine na tumepata watoto ambao wako salama, swali, hii inatokana na nini. Naomba msaada wa mawazo

Ww utakua huna CD4receptors. Hizi receptors hutumika kama mlango/access kwa human immunodefiency virus kuingia ndani ya lymphocytes. Sasa kama huna hizo receptors ina maana virus wanakosa access ya kuingia ndani ya cell. Pili inawezekana una a very strong immunity ambayo inaweza ikaua hao virus au pia kama mkeo alikua anatumia ARV basi viral load yake ilikua chini na ndo maana pengne hakuweza kukuambukiza
 
Back
Top Bottom