Malaika wa Kifo
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 4,052
- 4,621
ok! kama ni hivyo nitajuaje kama ninahiyo PROTEIN CCR5(DELTA-32)?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii haiwezi kuwa na ukweli hata kidogo,kwani majority ya population yoyote ile ni Universal Donors(Blood group O.)
Hivyo hilo lingekuwa na ukweli,kiwango cha maambukizi ya UKIMWI katika jamii kingekuwa kidogo.
Vitu kama hivi ndiyo vilinifanya nisome pia na masomo ya sayansi japo mwanzoni interest zangu zilikuwa kusoma Art tu! Achana na elimu za vijiweni na saloon mkuu, utakufa ukingali mdogo kisa unajivunia group O! Soma vitabu vya sayansi uelimike mkuu elimu haina mwisho!
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
sidhani kama kuna
ukweli wowote lakini mchangiaji wa kwanza umeonyesha k2 ambacho wengi
tulikuwa hatukijui
RH negative haina shida,shida ipo pale baba ana negative wakati mama ana positive,mtoto wa kwanza tu ndo atapona
Asante mkuu Sugar-a kwa kuwa open. Ila watu wajue kuwa HIV siku hisi siyo issue. Kuna maisha baada ya VVU tena marefu mno. Tukubali hata kama ni ngumu kukubali maana ukikataa kukubali maisha yanakuwa mafupi. Bora ukubali uisho over 20 years kuliko kuhofu na kuondoka within years. Kuna rafiki yangu hakuweza kabisa kukubali hali and he died in less than two years baada ya kufahamu status yake.Mimi nna group 0
nimeathirika huu mwaka wa pili sasa.
Mkuu omben, hata mimi nilikuwa na ufahamu kuwa watu wenye group O huwa wanaonyesha dadili za HIV mapema zaidi ukilinganisha na makundi mengine. Pole sasa baba yako alikufa kipindi ARV hakuna, wakati ule ilikuwa ni mateso makubwa sana mtu akiugua AIDS. Kwa sasa ARV inapunguza sana mateso na wengi wanakufa health wala huwezi kugundua. Kuna na mimi uncle wangu yeye alifariki miaka ya 1997 yaani alitesa sana ila mkewe bado yupo katika ARV. Amekubali hali na tunampenda kwa hiyo tuna imani ataishi hadi awaone vitukuu wake. Aliachwa na first born miaka 10 sasa ni binti wa over 20 na wadogo zake wakubwa tu. Mdogo ni positive na yuko kidato cha pili. Ila hakika HIV ni kiboko yetu.Hao walio kuambia wamekudanganya. Mm baba yangu alikuwa na group O+ alipatwa na huo ugonjwa wakati unaingia Tz na alifariki 1991 kwa huo ugonjwa. Ila ninacho jua mm mtu mwenye group hilo dalili za magonjwa zinaonekana mapema kuliko makundi mengine ya damu.
Yawezekana huyo dogo ana group O-rh,nasikia hawa ndio wagumu sana kupata magonjwa pamoja na HIV.
Hiyo group 0- nasikia ndio yenyewe,nasikia hata ukichubuka ngoma hamna hapo! Sijui kama ni kweli lakini!
Mimi nna group 0
nimeathirika huu mwaka wa pili sasa.