Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
There are 4 blood groups - O,A, B, AB, & all these have the positive & negative signs denoting the presence of of the rhesus facor[+ve], absence[-ve]MziziMkavu niliomba kujua kuhusu damu yangu sikuona majibu dr. niko Orh+
Ni wachache sana wenye group O.Hii haiwezi kuwa na ukweli hata kidogo,kwani majority ya population yoyote ile ni Universal Donors(Blood group O.)
Hivyo hilo lingekuwa na ukweli,kiwango cha maambukizi ya UKIMWI katika jamii kingekuwa kidogo.
me na blood gruop O na nahisi hii itakua O- na rhesus- sababu sijawah kuumwa hadi rafiki yangu aliwahi kuniuliza vipi mbon wew huwa huumwi? niliunwa malaria nikiwa darasa la pili 2003 basi. huwa natata labda mafua kutokana na vumbi that means nsipokutana na hayo mazingira siumwi. na nina afya njema hadi watu wananionea wivu. thanks you Dear Ord i know you love me. this is the glorious dedication. i feel blessed. na utukuzwe Mungu Baba
Na non developers wako kwenye O- tu?Nimeikumbuka shule ya Dr Msele kuhusu uwepo wa non developers. Hii ni aina ya watu wenye mutation kwenye genes zinazocode for production ya surface receptors CCR4 na CXCR5 ambazo ni muhimu kwa viral attachment na entry. Hawa watu therefore hawawezi kudevelop into AIDS maana virusi haviwezi kumultiply kwenye miili yao as virusi vya ukimwi ni strictly intracellular
Kweli ht mm ni mafua tuSidhani kama kuna ukweli hasa,mim nina O+ na sipatagi malaria naonewa tu na flu au matezi baasi...chukua sample kubwa ndio uwe na uhakika..
Hakuna uhusiano kati ya blood group O na maambukizi ya magonjwa.njoo hospitali uone idadi kubwa ya watu wenye blood group O wanavyoumwa.wana faida ya kupata msaada wa damu kwa haraka kwa kuwa benki zote za damu ni mara chache zinakosa damu ya group O