Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Hii Habari nimekutana nayo Twitter, na mtoa Mada amesema Kama anaongopa basi ATC wakanushe! Chanzo ni kutolipwa pesa yao jamaa wakaamua ku-cancell. Tukiacha mihemko, hili linawezekana kurusha ndege bila Insurance?
Ufafanuzi
Kwa mujibu wa mleta Mada wa Twitter ni kwamba, ATC wameshindwa au hawajalipia cover notes na hivyo kuwa cancelled! Sio kwamba hawajawahi kuwa na insurance.
Siasa tuweke mbali kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app
====
UFAFANUZI
=====
NUKUU: "Ndege za ATCL zinafanya safari za ndani na nje ya nchi kwasababu zina bima iliyo hai kutoka shirika la bima Tanzania (NIC) na moja ya masharti la kukuwezesha kurusha ndege lazima ziwe na bima."- Air Tanzania ATCL