Mfiaukweli
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 5,636
- 8,777
I'm speaking from experience sio nadharia
Unaponunua Ndege huuziwi Kama unanunua Kandambili mwa mangi
Kuna Masharti kadhaa Na mojawapo ni kuhakikisha lazima uwe Na Insurance
Na kwa level ya Insurance company zetu hazina uwezo wa kukata Insuarance wao mpka kwa Moja kwa Kuwa mitaji yao ni Midogo hivyo lazima ukikata Insurance kwao Na wao wanakatia Insurance kimataifa
Kama ATC hawana Insurance ya Kimataifa wasijaribu Kuwa Na Safari Za Kimataifa kwa kipindi hiki
Anaekuuzia ndege hahusiki na insurance cover. Kwa mfano DRC ndege zao nyingi ni za Kirusi, hazina international insurance na airwoth clearance. Lakini japo mashirika yao haya-operate nje ya DRC bado internally yana operate.