Tetesi: Je, ni kweli kwamba ndege ya ATCL, Boeing 787-8 Dreamliner haina Insurance?

Status
Not open for further replies.
Mpwa, Hebu soma vizuri concern yangu, lengo ni kujua ukweli tu, haya mengine ya ushahidi ni Secondry stage
Sijatengeneza mada nyingine
Nimeuliza jee Kuna ushahidi wowote wa ku cancel hiyo cover Au ikituhumiwa ATC tunapaswa kuamini Hata Kama Hakuna ushahidi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna ushahidi umeletwa ku cancel hiyo insurance?

Yaani Mtu anaibuka anasema Insurance imekuwa Cancelled Halafu tunataka ATC wakanushe badala ya kuwataka walioleta hizo tuhuma walete ushahdi kwanza?

Ukiwa na historia ya kusema uongo inakuwa rahisi watu kutoamini pale utakaposema ukweli. Ni mara ngapi tumetangaziwa jambo linalohusu ATCL na lisiwe? Kwani mara ya kwanza kutangazwa safari za India na China ilikuwa lini (na mabango ya biashara ya safari hizo yakawekwa barabarani)? Safari hizo zipo leo?
Alietoa hiyo hoja katoa na challenge pia kuwa anasubiri mtu abishe ili atoe proof. Sasa si usubiri wahusika wabishe ili proof itolewe au isitolewe ili ujue ukweli uliopo?
 
Mpwa, Hebu soma vizuri concern yangu, lengo ni kujua ukweli tu, haya mengine ya ushahidi ni Secondry stage

Sent using Jamii Forums mobile app

Kujua ukweli ni kupata strength ya tuhuma kwanza ili defence ikiwa nyepesi uweze kumbana Mtuhumiwa

Lakin ukikubali kupokea tuhuma bila ya strong evidence jiandae Pia kupata utetezi hafifu kwa Kuwa anaejitetea Siku zote utetezi wake una base Kwenye evidence ya tuhuma zilizoletwa

Serikal ilipata Shida Sana Kwenye sakata la 1.5 Trillion kwa Kuwa tuhuma ziko base Kwenye evidence zilizoshiba

Tukitaka kuwabana vyema ATC lazima kwanza tuwabane watoa tuhuma kuhusu ushahdi
 
Ukiwa na historia ya kusema uongo inakuwa rahisi watu kutoamini pale utakaposema ukweli. Ni mara ngapi tumetangaziwa jambo linalohusu ATCL na lisiwe? Kwani mara ya kwanza kutangazwa safari za India na China ilikuwa lini (na mabango ya biashara ya safari hizo yakawekwa barabarani)? Safari hizo zipo leo?
Alietoa hiyo hoja katoa na challenge pia kuwa anasubiri mtu abishe ili atoe proof. Sasa si usubiri wahusika wabishe ili proof itolewe au isitolewe ili ujue ukweli uliopo?
Mkuu unaandika very professional, naona mtiririko mtupu wa Logic! ATCL Waje watoe ufafanuzi, hakuna ugomvi! Ndege ni zetu na Roho ni zetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa kaona Twitter tu hajui chochote kile kuhusu maswala ya usafir wa anga
Tunachoomba tuletee ushahid wote na hzo documnt zilizo kuwa cancelled na lini zilikuwa cancelled na sababu zipi zilifanya kuwa cancelled?

Intelligent people are full of dou..... While stupid people are full of confidence.

Usilete hoja kwa mahaba leta hoja kama great thinker tumia ubongo wako kuwa fikirish kabla hujaleta post ukiwa na key evidence zote.sio watuhumiwa waje akane ndio upate cha kuongea.

Huo utabir wenu wa ramli hauwez fanikiwa labda labda kwa mjinga asiejua investigation inakuwaje na conclusion ya investigation inakuwaje
 
Ukiangalia kwa angle hio tutafeli maana this is business, je huwezi fikiria kuwa kuna maadui Wanataka kutuharibia biashara? Utasubiri Adui yako aje akupe evidence Wakati unateketea? Mimi Nashauri ATCL wajitokeze wakanushe au wakubali! Anayekosa Wateja ni ATC na sio mleta Mada huko Twitter! Kumbuka nguvu ya Social media....
Kujua ukweli ni kupata strength ya tuhuma kwanza ili defence ikiwa nyepesi uweze kumbana Mtuhumiwa

Lakin ukikubali kupokea tuhuma bila ya strong evidence jiandae Pia kupata utetezi hafifu kwa Kuwa anaejitetea Siku zote utetezi wake una base Kwenye evidence ya tuhuma zilizoletwa

Serikal ilipata Shida Sana Kwenye sakata la 1.5 Trillion kwa Kuwa tuhuma ziko base Kwenye evidence zilizoshiba

Tukitaka kuwabana vyema ATC lazima kwanza tuwabane watoa tuhuma kuhusu ushahdi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa kaona Twitter tu hajui chochote kile kuhusu maswala ya usafir wa anga
Tunachoomba tuletee ushahid wote na hzo documnt zilizo kuwa cancelled na lini zilikuwa cancelled na sababu zipi zilifanya kuwa cancelled?

Intelligent people are full of dou..... While stupid people are full of confidence.

Usilete hoja kwa mahaba leta hoja kama great thinker tumia ubongo wako kuwa fikirish kabla hujaleta post ukiwa na key evidence zote.sio watuhumiwa waje akane ndio upate cha kuongea.

Huo utabir wenu wa ramli hauwez fanikiwa labda labda kwa mjinga asiejua investigation inakuwaje na conclusion ya investigation inakuwaje

Kuna ushahidi wa mazingira pia. Ngoja nikuulize; ATCL imerudishiwa uanachama wa IATA?
 
Ngoja nam nikuulize swali mana we we hukutaka jibu swali kama nilivyo uliza kwann serikali imeanza kuandaa safar za kimataifa na kwa kupasua angani Bombay mpaka huko kwa jack chain na kwingneko?
 
Mwisho wa siku mkipelekwa mahakaman mtasema mnaonewa kumbe kukosa maarifa
 
Huo uongo usio kuwa na kichwa wala miguu hizi ndege kila siku zinatungiwa mistari ya mipasho zimevumilia sana kwa sababu ni za kizungu zingekuwa za Kiafrika zinge vimba na kupasuka
umenifurahisha asubuhi hii
 
Ngoja nam nikuulize swali mana we we hukutaka jibu swali kama nilivyo uliza kwann serikali imeanza kuandaa safar za kimataifa na kwa kupasua angani Bombay mpaka huko kwa jack chain na kwingneko?

Hiyo serikali haijaanza leo "kuandaa safari za kimataifa". Hiyo taarifa ni ya tangu 2017; je hizo safari zimeanza lini? Ukweli ni kuwa ndege za ATCL hazijapewa international clearance. Ni jambo moja kwenda Zambia na Zimbabwe (shitholes kama bongo tu), lakini ni jambo jingine kwenda kwenye international hubs. Mbona Johannesburg au Nairobi haziendi?
 
Kwanza ilisemwa Dreamliner hairuki kwasababu mbovu, sasa hairuki kwasababu haina insurance! Najaribu kufikiri ingekuwaje kama ile ndege ya Ethiopia ingekuwa ya ATCL
 
Haya tuambie wewe. Mbona safari za China na India (na tulitangaziwa ndio lengo la kununua ndege hiyo uliyoitaja ili kuongeza idadi ya watalii) hazijaanza muda wote huo?
 
Mkuu, Insurance imekua cancelled baada ya kushindwa kulipa sio kwamba wamenunua bila Insurance, usipindishe hoja!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwambie huyo anaesema insurance imesitishwa aweke ushahidi na si maneno tu. Aweke evidence tuwakaange ATCL. Yamesemwa mengi sana kuhusu hizi ndege lakini bado zipo tu
 
Hiyo serikali haijaanza leo "kuandaa safari za kimataifa". Hiyo taarifa ni ya tangu 2017; je hizo safari zimeanza lini? Ukweli ni kuwa ndege za ATCL hazijapewa international clearance. Ni jambo moja kwenda Zambia na Zimbabwe (shitholes kama bongo tu), lakini ni jambo jingine kwenda kwenye international hubs. Mbona Johannesburg au Nairobi haziendi?

Zikienda Jberg utauliza Mbona Dubai haziendi!

Kutunga UOngo Ni Tasnia Kama Tasnia zingine Kama huna hiyo Taaluma lazima uumbuke
 
Haya tuambie wewe. Mbona safari za China na India (na tulitangaziwa ndio lengo la kununua ndege hiyo uliyoitaja ili kuongeza idadi ya watalii) hazijaanza muda wote huo?
Dreamliner moja haiwezi ku-operate hizo route. Lazima ziwe at least mbili, hio itaenda China only ile ingine ikija.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom